Wadau,
Kutokana na huyu rafiki angu kutokuwa na Kitambulish cha aina yoyote nimeamua kumshauri aangalie na option ya kuomba barua kutoka Serikali yake ya mtaa anayoishi.
Sasa wakuu naomba mwongozo kwa mtu aliyewahi kutumia hii option inakuwaje hyo barua na ni kweli utumishi wanakubali bila...
Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.
Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...
Kwako Mwalimu.
Mwalimu, nakumbuka siku ya kwanza tulikutana shuleni kwako. Nikiwa kama mzazi niliyeingiwa na usasa na kuachana na mila za kale za kumfungia mwanangu wa kike ndani, nikaona nikukabidhi wewe mwalimu.
Nilifanya hivyo nikitegemea kuwa mwanangu angepata malezi bora katika mikono...
Nimepata hii barua ninmesikitika Sana. Wakati wa uzinduzi tuliambiwa pesa ipo. Sasa hii barua ni ya Nini? Au ndio kura kwa urefu wa kamba yake? Huku namuona waziri akiwa anatembea na Choppa. Nazani tumeona. Hii barua inamaana gani kwetu wananchi?
Kutokana na tangazo lilitolewa Jana bungeni kuhusu ajira mpya bira shaka wizara yako ndo mnufaika mkubwa hivyo yafuatayo yazingatiwe
1.wahanga wa ajira za walimu ni wahitimu wa mwaka 2015 ambao bado wako mtaani ajabu ni kuwa wanaachwa na kuchukuliwa wa 2019 hapa huwa mnatumia njia gani
2. Kwa...
Wanafunzi wawili wa kidato cha kwanza, ambao kila mmoja aliacha shule ili kufanya shughuli za kujiingizia kipato kusaidia wazazi wao, wamepata ufadhili wa kuendelea na masomo yao katika Shule ya Sekondari ya Ocean iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani, Mtwara.
Mmoja kati yao ni Taufiq Hamis...
"MTOTO ALIYEANDIKA BARUA YA KUACHA SHULE ANA AKILI SANA" RC TABORA
"Niliongea na mkuu wa mkoa wa Mtwara baada ya kuona barua ya mtoto aliyetaka kuacha shule, nikamwambia huyu mtoto ana akili sana kwasababu haiwezekani mwanafunzi mtoro aandike barua kama hiyo, nikamwambia mkuu wa mkoa wa Mtwara...
Idi Amin of Uganda (Presidents SPEECH)
For those of us who English is not their first language, read on!!Here is a speech delivered by Idi Amin at a sumptuous luncheon hosted By Queen Elizabeth II of Great Britain .
My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament...
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu
Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
Wasalaam
Klabu yangu kubwa nawashauri tena. Niliwambia ukweli mechi ya Red Arrows ndicho kilichotokea.
1. Katika vilabu vikubwa Afrika mmo top ten lakini utani uwanjani na kuchangamka mwishoni mwa mechi itaendelea kuwacost.
2. Upangaji Wa kikosi ndio mnapoteaga balaa. Yaani wewe ni klabu kubwa...
kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama,
Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT,
dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
Mheshimiwa Zitto:
Siku hizi Nchi inakopa na sehemu kubwa ya mikopo(Kiuwiano) inakwenda Zanzibar.
Nchi ya watu chini ya milioni mbili inapewa zaidi ya 25% ya mikopo ambayo Jamhuri ya muungano wa Tanzania inakopa.
Na tunajua sehemu kubwa ya hilo deni itakuja kulipwa na Watanganyika kwa sababu...
BARUA YA WAZI KWA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA AMBAYE NI RAIS WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA MANTIKI YA MGOGORO WA KIKATIBA SKAUTI
Salaam kwako Mheshimiwa Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, rais wa chama cha Skauti Tanzania.
Napenda kuchukua nafasi hii kuelezea yangu machache...
KWAKO F.A MBOWE
S.L.P GEREZANI
Nianze kukupa pole na hongera gerezani siyo mahali salama na pazuri kwako.
Nianzi kwa kusema ..
Leo kuna kitu nimejifunza juu ya utatuzi wa migogoro hasa katika kipengele cha CONFLICT MANAGEMENT
Ili uweze kuendelea na maisha ya furaha pasipo karaha muda...
Salam kutoka wilaya Ngorongoro.
Mhe.Rais wananchi wa Ngorongoro kama walivyo Watanzania wengi walikuwa na imani na wewe lakini imani inapungua siku baada ya siku.
Mhe.rais kwa 2020 jimbo la Ngorongoro kwa nafasi ya rais mlizoa kura zaidi ya 87% na tangu uhuru wa nchi hii hili jimbo halikuwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.