barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

    Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo. Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya “Ripoti...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT

    Naomba kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuapishwa kuwa Rais- wa JMT. Nikupe pole kwa kupata nafasi hii ukiwa katika hali ya majonzi na nikuombe usitetereke, umepokea kijiti angali nchi inakimbia kiuchumi nawe usikubali kwa namna yoyote kwenda speed ndogo kuliko mtangulizi wako, kanyaga mafuta...
  3. Mpandisha mishahara

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama! Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Watanzania: Tuibadirishe gesi asilia kuwa Petroli

    Habarini za mihangaiko ndugu Watanzania. Gesi asilia ni malighafi inayoweza kutumika kuzalisha petroli. Ndugu zangu biashara ya mafuta ya petroli ni biashara yenye faida sana. Kama tungejitahidi kutafuta mtaji tujenge kiwanda kimoja cha kuibadirisha gesi asilia kuwa mafuta ya petroli hakika...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Italia waiandikia barua kamusi kubadilisha kisawe cha neno 'mwanamke'

    Zaidi ya watu 100 wamesaini barua kuitaka Kamusi ya Mtandaoni nchini Italia, Treccani kubadilisha kisawe cha neno mwanamke katika kamusi yake. Kampeni hiyo inalenga kuondoa neno 'puttana' kama kisawe cha neno 'mwanamke' ambalo linatafsiriwa kama 'kahaba' wakidai kuwa linamfanya mwanamke...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini enzi za kuandikiana barua za mapenzi?

    Miaka inaenda kasi sana, leo hii watu wanatumiana sms, emoji nk. Lakini miaka yetu wakati tunaanza kutafuta wapenzi tuliandika barua kwani haikuwa si rahisi kusimama na binti na ukaongea naye njiani. Hivo ilikubidi uandike barua na kuvizia alafu unaitumbukiza ndani ya daftari lake au kupitia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Botswana: Rais Masisi kuhutubia taifa wiki hii juu ya mwenendo wa janga la Corona

    Rais wa Botswana Dr Masisi ametangaza kuhutubia taifa week hii kueleza hatua inayofuata katika kupambana na ugonjwa wa Corona. Tetesi zinasema Rais huenda akafungulia curfew iliyokuwa imewekwa tangu January mwanzoni ya kutotembea kuanzia saa moja usiku wengine wanabashiri huenda akaruhusu bar na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais: Mhesimiwa, Mungu ametusikia sasa na wewe tusikie

    Mheshimiwa Rais Yesu anasema kuwa, kabla hamjaomba chochote kutoka kwa Baba yenu aliyeko mbinguni yeye ameshatambua mkitakacho! Tulipofunga na kusali kwenye wimbi la kwanza la korona, Mungu alitusikia na alituonyesha kitu gani cha kufanya kwenye hili tatizo ili tunusurike. Mheshimiwa Rais...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Barua ya Sheikh Ponda kwenda kwa Askofu Mwamakula hii hapa

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Sheikh Ponda alimtuma Katibu Muhtasi wake kupeleka barua nyumbani kwa Askofu Mwamakula , siku ambayo Baba Askofu aliitisha mkutano na waandishi wa habari wa nje na ndani . Lengo la barua hiyo ni kutambua mchango wa Askofu Mwamakula katika kupigania Katiba mpya na...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hamisa Mobeto amtaka Kajala kumwomba msamaha na kufuta ujumbe wa Instagram ndani ya saa 12

    Mji umezidi kuwa mzito aisee mwanadada Hamisa Mobeto ameandika barua ya kumshitaki Kajala kwa kutoa tuhuma za uongo kwenye post yake aliyopost hivi karibu. Kamwambia Kama atamuomba radhi kwa public na kutofuta ujumbe huo wa tuhuma dhidi yake ndani ya masaa 12 atamfungulia kesi ya kuchafua brand...
  11. Mpingamkoloni

    JamiiForums Tanzania Barua Kwa Mheshiwa Rais: Tunaomba Utupe Ardhi ya Tanganyika Packers Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Tawi la Mbeya

    Mheshimiwa Rais! Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU. Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Barua kutoka chama cha wanaume wabahili

    Chama chetu cha wanaume wabahili Tanzania ( chawawa) Kinapenda kuwatangazia wanachama wake kuwa Kesho kwetu sisi hakuna kitu kinachoitwa Valentine day . Bali tutashinda tukiabudu kanisani na kusifu Muumba aliye juu. Hii ikimaanisha mengi ikiwemo swala mtambuka la gharama na kufidia pesa za...
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza, barua ya kumkaribisha Rais Magufuli Mkoani Kagera na tahakiki ya mjadala tunduizi

    A. UTANGULIZI Rais wa Tanzania, John Magufuli alikuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi wilayani Karagwe na baadaye Wilayani Bukoba tangu tarehe 18 Januari 2020. Inaonekana kuwa, siku hiyo, Askofu Dr. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, aliandika barua tepe kwa ajili ya kumkaribisha Rais...
  14. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

    Amani iwe kwako! Mimi nikiwa kama muumini wa Kanisa lako la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki nimeshangazwa na ujumbe ulioutuma katika barua ya wazi kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwani umeacha jukumu la msingi uliloitiwa na Mungu la kutuhubiria wananchi ili tuokoke na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Barua za uteuzi Zanzibar zinaandikwa kwa ufasaha, Jamuhuri igeni

    Barua zote za uteuzi za Rais wa Zanzibar zina kifungu Cha sheria au katiba kinachompa Rais mamlaka ya uteuzi. Barua za Muungano zinakosa hiki kipengele muhimu sijui kwanini, naamini ipo haja ya kuiga wenzetu wanavyooandika. Japo font, mpangilio wa haya barua za Msigwa zinavutia zaidi. Mwisho...
  16. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Barua" fupi" kwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Magufuli

    Salaam Wana JF, Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku. Baada ya Salaam hizo niangazie kusudi la barua hii fupi, Andiko hili kimaudhui ni kutambua Mchango wa kipekee...
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaijibu barua ya bunge la Marekani dhidi ya kesi ya Rusesabagina

    Rais Kagame alisema kwamba mpinzani wake mkuu Paul Rusesabagina alidanganywa akajileta mwenyewe nchini Rwanda. Waziri wa Sheria nchini Rwanda amemjibu mjumbe wa bunge la Marekani ambaye alikuwa amemwandikia Rais Paul Kagame akimtaka Paul Rusesabagina aachiliwe huru , mkosoaji mkuu wa serikali...
  18. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna Wilaya au mkoa ambapo wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014 na kuendelea wamepata barua za kupanda daraja?

    Ndugu yangu ni mfanyakazi wa Serikalini ameajiriwa mwaka 2014 alisikia tetesi kuwa mwaka huu hauishi anaweza kuhama walau kutoka daraja alilosota nalo kwa miaka 6 kuhamia daraja lingine. Je, kuna wilaya wameshaanza kupandisha ama Ni MITANO TENA?
  19. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  20. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu barua ya kazi

    Hivi wadau kuna uhusiano wowote wa lugha kwa Tangazo la kazi lililoandikwa kwa kiswahili au kingereza na barua ya maombi ya kazi, inatakiwa iendane na lugha iliyotumika kwenye tangazo..?
Back
Top Bottom