Barua ya wazi kwa Zitto Kabwe: Jitoe kwenye Kamati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, hana nia njema

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,090
Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT

Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini.

Mheshimiwa, Zitto
Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa benefit of doubt, pale chama chako na wewe mlipoamua kushiriki kikao cha msajili katika kile walichotuaminisha kuwa ni kutafuta muafaka wa kisiasa nchini. Na nilikuunga mkono kuhudhuria kwa sababu zifuatazo:

1. Wewe ni kiongozi wa TCD, Tanzania center for democracy, kwa hiyo ingekuwa ajabu majority ya wanachama wako wawe interested kuhudhuria halafu wewe mwenyekiti wao usiende

2. Pili ACT ni chama chenye maamuzi yake yatokayo vikaoni, kama chama kimeamua kinashiriki, basi kiongozi wake atake asitake itabidi atii msimamo wa chama

3. Kutofautiana katika falsafa za namna ya kutafuta solution, ni jambo la kawaida. Kwamba baadhi wanaweza kuamini katika disengagement na wengine wakaamini katika engagement.

Kutokana na nukta hizo juu, binafsi niliiona nia yako njema na niliunga mkono ushiriki wako.

Ila sasa, baada ya Msajili kutengeneza timu yake hii ya kuchakata maazimio, binafsi ninaona yafuatayo:

1. Msajili hana nia njema
Timu ya Msajili imejaa watu ambao kwa misimamo yao, mienendo yao ni watu ambao misimamo yao ni ya kuunga mkono mitizamo CCM na serikali za CCM.

Majority ya timu ile ya msajili, hawajawahi kukemea hata mara moja uvunjwaji wa demokrasia nchini. Infact wapo watu on record, wakitoa kauli huko nyuma za kudogosha hitajio la kikatiba la kutoa haki za kisiasa kwa vyama zilizoko kikatiba. Je kuna maajabu gani unadhani yatapatikana kwa kujiengage na watu wenye msimamo wa dhahiri wa kutopenda demokrasia?

2. Kiongozi wa BAKWATA na padri wanafanya nini ndani ya kamati?
Hii nchi haina dini rasmi, leo hii Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam anafanya nini kwenye kutafuta solutions za kisiasa za nchi yetu?.
Ukiachilia mbali hoja hiyo, Sheikh wa mkoa wa Dar misimamo yake inajulikana wazi toka wakati wa Magufuli, siku zote hajawahi kuwa mtu wa haki kwa makundi yote ya kijamii nchini. Siku zote amecaucus na serikali za CCM, na kauli zake za kuipa moral cover serikali hata inapominya haki.

Ukiwa na jicho la udadisi utaona msajili anataka kutumia viongozi hawa wa dini kama cover ya kutafuta kuaminika mbele ya umma, maana anajua watanzania wengi wanaheshimu dini, kwa hiyo anataka kuwatumia hswa kama greese ya kulainisha mambo yake.

3. Zitto wanataka kukutumia kujustify nia yao ovu ya kuminya demokrasia nchini.
Watawala wamegundua kutumia mabavu kuminya demokrasia ni unsustainable, sasa wanataka compliance ya vyama vya kisiasa kupitia vyama hivyo kwa kujua au kutojua ili vijikaange kwa mafuta yake yenyewe. Mheshimiwa Zitto, while wewe binafsi unaweza kuwa na NIA NJEMA, but inaonyesha wazi kuwa SERIKALI haina Nia njema kulinda demokrasia. Na ushahidi wa ukosefu wa nia njema ni Uundwaji wa Timu kama hii iliyokaa kilaghailaghai!. Sasa Ndugu Zitto jiulize, unataka kubariki mchezo huu?

4. Haki za msingi za kikatiba ni non negotiatable
Ni common sense kudiscuss vitu ambavyo bado havipo kikatiba kwa. mfano madai ya katiba mpya n. k. Lakini zile haki ambazo tayari ziko kikatiba na kisheria zinaundiwa Task Force ili iweje? - Huoni kwamba, hata kitendo chenyewe cha kukaa mezani, kujadili hilo suala ni matusi makubwa kwa wananchi?

Ndugu Zitto
Huenda wewe una nia njema, lakini imedhihirika serikali ya CCM inacheza game, haina nia njema. Sasa ni jukumu lako hilo kuliona na kufanya maamuzi. Ama ulegitimize nia ovu na mkakati ovu wa chama cha Mapinduzi, au uachane na huu. mchezo mbaya na hatari wa kujustify uminywaji wa demokrasia nchini.
 
Kama msajili hana nia njema, na Zitto pia hawezi kuwa na nia njema sababu nae ni sehemu ya serikali, ameshaonesha mara nyingi anavyoweza kwenda kinyume na makubaliano ya upinzani ilimradi yeye apate anachotaka.

Kwa maoni yangu Zitto aendelee kubaki hapo hapo ndipo panapomfaa, hilo genge lililoteuliwa na msajili na Zitto binafsi wanaendana vizuri sana, yuko na rafiki zake.

- Wote lengo lao ni moja CCM iendelee kutawala na Zitto na ACT yake apate wabunge kadhaa maisha yake kisiasa yaende.

Kwangu hiyo timu yote ni upuuzi, kupoteza muda na fedha, nina hakika hakuna lolote la maana litakalotoka kwenye mapendekezo ya hao waajiri na vibaraka wa CCM wanaounda hiyo timu.
 
Ni kazi sana kutenganisha ubinafsi, unafiki, maslahi binafsi na zitto.

Lakini kauli yake moja ambayo nimewahi kumwamini na alisema ukweli ni hii " usimwamini mwanasiasa yeyote"

Hapo hapo rafiki yangu mwingine akaniambia "politics is worse than prostitution"
 
Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT

Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini.

Mheshimiwa, Zitto
Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa benefit of doubt, pale chama chako na wewe mlipoamua kushiriki kikao cha msajili katika kile walichotuaminisha kuwa ni kutafuta muafaka wa kisiasa nchini. Na nilikuunga mkono kuhudhuria kwa sababu zifuatazo:

1. Wewe ni kiongozi wa TCD, Tanzania center for democracy, kwa hiyo ingekuwa ajabu majority ya wanachama wako wawe interested kuhudhuria halafu wewe mwenyekiti wao usiende

2. Pili ACT ni chama chenye maamuzi yake yatokayo vikaoni, kama chama kimeamua kinashiriki, basi kiongozi wake atake asitake itabidi atii msimamo wa chama

3. Kutofautiana katika falsafa za namna ya kutafuta solution, ni jambo la kawaida. Kwamba baadhi wanaweza kuamini katika disengagement na wengine wakaamini katika engagement.

Kutokana na nukta hizo juu, binafsi niliiona nia yako njema na niliunga mkono ushiriki wako.

Ila sasa, baada ya Msajili kutengeneza timu yake hii ya kuchakata maazimio, binafsi ninaona yafuatayo:

1. Msajili hana nia njema
Timu ya Msajili imejaa watu ambao kwa misimamo yao, mienendo yao ni watu ambao misimamo yao ni ya kuunga mkono mitizamo CCM na serikali za CCM.
Majority ya timu ile ya msajili, hawajawahi kukemea hata mara moja uvunjwaji wa demokrasia nchini. Infact wapo watu on record, wakitoa kauli huko nyuma za kudogosha hitajio la kikatiba la kutoa haki za kisiasa kwa vyama zilizoko kikatiba. Je kuna maajabu gani unadhani yatapatikana kwa kujiengage na watu wenye msimamo wa dhahiri wa kutopenda demokrasia?

2. Kiongozi wa BAKWATA na padri wanafanya nini ndani ya kamati?
Hii nchi haina dini rasmi, leo hii Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam anafanya nini kwenye kutafuta solutions za kisiasa za nchi yetu?.
Ukiachilia mbali hoja hiyo, Sheikh wa mkoa wa Dar misimamo yake inajulikana wazi toka wakati wa Magufuli, siku zote hajawahi kuwa mtu wa haki kwa makundi yote ya kijamii nchini. Siku zote amecaucus na serikali za CCM, na kauli zake za kuipa moral cover serikali hata inapominya haki.
Ukiwa na jicho la udadisi utaona msajili anataka kutumia viongozi hawa wa dini kama cover ya kutafuta kuaminika mbele ya umma, maana anajua watanzania wengi wanaheshimu dini, kwa hiyo anataka kuwatumia hswa kama greese ya kulainisha mambo yake.

3. Zitto wanataka kukutumia kujustify nia yao ovu ya kuminya demokrasia nchini.
Watawala wamegundua kutumia mabavu kuminya demokrasia ni unsustainable, sasa wanataka compliance ya vyama vya kisiasa kwa kujua au kutojua ili vijikaange kwa mafuta yake yenyewe. Mheshimiwa Zitto, while wewe binafsi unaweza kuwa na NIA NJEMA, but inaonyesha wazi kuwa SERIKALI haina Nia njema kulinda demokrasia. Na ushahidi wa ukosefu wa nia njema ni Uundwaji wa Timu kama hii iliyokaa kisiasa!. Sasa Ndugu Zitto jiulize, unataka kubariki mchezo huu?

4. Haki za msingi za kikatiba ni non negotiatable
Ni common sense kudiscuss vitu ambavyo bado havipo kikatiba kwa. mfano madai ya katiba mpya n. k. Lakini zile haki ambazo tayari ziko kikatiba na kisheria zinaundiwa Task Force ili iweje? - Huoni kwamba, hata kitendo chenyewe cha kukaa mezani, kujadili hilo suala ni matusi makubwa kwa wananchi?

Ndugu Zitto
Huenda wewe una nia njema, lakini imedhihirika serikali ya CCM inacheza game, haina nia njema.
Sasa ni jukumu lako hilo kuliona na kufanya maamuzi. Ama ulegitimize nia ovu na mkakati ovu wa chama cha Mapinduzi, au uachane na huu. mchezo mbaya na hatari wa kujustify uminywaji wa demokrasia nchini.
Umeongea mambo mazito na tafakarishi sana.
 
Ndugu Zitto Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT

Pole na majukumu ya kazi zako. Nakuandikia hii barua ili mimi na wewe tuweze kureason, na kuchukua hatua sahihi ya kisiasa inayoendelea nchini kwa manufaa ya usitawi wa demokrasia nchini.

Mheshimiwa, Zitto
Mimi binafsi ni miongoni mwa watu waliokupa benefit of doubt, pale chama chako na wewe mlipoamua kushiriki kikao cha msajili katika kile walichotuaminisha kuwa ni kutafuta muafaka wa kisiasa nchini. Na nilikuunga mkono kuhudhuria kwa sababu zifuatazo:

1. Wewe ni kiongozi wa TCD, Tanzania center for democracy, kwa hiyo ingekuwa ajabu majority ya wanachama wako wawe interested kuhudhuria halafu wewe mwenyekiti wao usiende

2. Pili ACT ni chama chenye maamuzi yake yatokayo vikaoni, kama chama kimeamua kinashiriki, basi kiongozi wake atake asitake itabidi atii msimamo wa chama

3. Kutofautiana katika falsafa za namna ya kutafuta solution, ni jambo la kawaida. Kwamba baadhi wanaweza kuamini katika disengagement na wengine wakaamini katika engagement.

Kutokana na nukta hizo juu, binafsi niliiona nia yako njema na niliunga mkono ushiriki wako.

Ila sasa, baada ya Msajili kutengeneza timu yake hii ya kuchakata maazimio, binafsi ninaona yafuatayo:

1. Msajili hana nia njema
Timu ya Msajili imejaa watu ambao kwa misimamo yao, mienendo yao ni watu ambao misimamo yao ni ya kuunga mkono mitizamo CCM na serikali za CCM.
Majority ya timu ile ya msajili, hawajawahi kukemea hata mara moja uvunjwaji wa demokrasia nchini. Infact wapo watu on record, wakitoa kauli huko nyuma za kudogosha hitajio la kikatiba la kutoa haki za kisiasa kwa vyama zilizoko kikatiba. Je kuna maajabu gani unadhani yatapatikana kwa kujiengage na watu wenye msimamo wa dhahiri wa kutopenda demokrasia?

2. Kiongozi wa BAKWATA na padri wanafanya nini ndani ya kamati?
Hii nchi haina dini rasmi, leo hii Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam anafanya nini kwenye kutafuta solutions za kisiasa za nchi yetu?.
Ukiachilia mbali hoja hiyo, Sheikh wa mkoa wa Dar misimamo yake inajulikana wazi toka wakati wa Magufuli, siku zote hajawahi kuwa mtu wa haki kwa makundi yote ya kijamii nchini. Siku zote amecaucus na serikali za CCM, na kauli zake za kuipa moral cover serikali hata inapominya haki.
Ukiwa na jicho la udadisi utaona msajili anataka kutumia viongozi hawa wa dini kama cover ya kutafuta kuaminika mbele ya umma, maana anajua watanzania wengi wanaheshimu dini, kwa hiyo anataka kuwatumia hswa kama greese ya kulainisha mambo yake.

3. Zitto wanataka kukutumia kujustify nia yao ovu ya kuminya demokrasia nchini.
Watawala wamegundua kutumia mabavu kuminya demokrasia ni unsustainable, sasa wanataka compliance ya vyama vya kisiasa kupitia vyama hivyo kwa kujua au kutojua ili vijikaange kwa mafuta yake yenyewe. Mheshimiwa Zitto, while wewe binafsi unaweza kuwa na NIA NJEMA, but inaonyesha wazi kuwa SERIKALI haina Nia njema kulinda demokrasia. Na ushahidi wa ukosefu wa nia njema ni Uundwaji wa Timu kama hii iliyokaa kisiasa!. Sasa Ndugu Zitto jiulize, unataka kubariki mchezo huu?

Alhadi musa salum ana tuhuma za kuwa agent wa kina Msuya pia anautia doa uislamu ni snichi hatari. Infact anaweza kutumiwa hata kwenye killing mission huyo na msiamini kwasababu ana cover ya dini.
 
Mkuu mimi kama Mmawia huwa kila siku nakuwa tofauti kabisa na wanao muita Zzk kuwa ni mzalendo.

Zzk hajawahi hata siku moja kuwa mzalendo wala mtiifu kwa upinzani .

Zzk ni bingwa wa kutumia fulsa pale zinapopatikana hivyo hata huko yupo kimkakati maana waliochagua hao watu wanajua kuwa ni mtiifu kwao kutimiza malengo yao.
 
Kama msajili hana nia njema, na Zitto pia hawezi kuwa na nia njema sababu nae ni sehemu ya serikali, ameshaonesha mara nyingi anavyoweza kwenda kinyume na makubaliano ya upinzani ilimradi yeye apate anachotaka.

Kwa maoni yangu Zitto aendelee kubaki hapo hapo ndipo panapomfaa, hilo genge lililoteuliwa na msajili na Zitto binafsi wanaendana vizuri sana, yuko na rafiki zake.

- Wote lengo lao ni moja CCM iendelee kutawala na Zitto na ACT yake apate wabunge kadhaa maisha yake kisiasa yaende.

Kwangu hiyo timu yote ni upuuzi, kupoteza muda na fedha, nina hakika hakuna lolote la maana litakalotoka kwenye mapendekezo ya hao waajiri na vibaraka wa CCM wanaounda hiyo timu.
Zzk ni msaliti wa juhudi zilizo kwisha kufanywa na upinzani na hafai wala hana sifa ya kuwa mpinzani.
 
Ni kazi sana kutenganisha ubinafsi, unafiki, maslahi binafsi na zitto.

Lakini kauli yake moja ambayo nimewahi kumwamini na alisema ukweli ni hii " usimwamini mwanasiasa yeyote"

Hapo hapo rafiki yangu mwingine akaniambia "politics is worse than prostitution"
Haswaaaa
 
Kwani Zitto ameanza kutumika na ccm leo? , Hiyo Kamati ni haramu, ni ya ccm na marafiki zake.

Mambo hayaqezi kuwa rahisi kiasi hiki, angalia ccm na serikali wanavyo pambana na chadema.. Kikao tuu cha kata cha chadema OCD lazima atie timu kuzuia

Back
Top Bottom