Lengo kuu la kuchumbia au kupeleka barua ya posa ni nini?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,183
3,547
Wadada wengi mnapokuwa katika mahusiano huwa wanapenda ku insist upeleke barua kwao au uchumbie

Hivyo ningependa kufahamu hivi lengo kuu la kuandika barua ya posa na kuchumbia huwa ni nini haswaa

Na kwanini huwa tunachumbia?
 
Back
Top Bottom