bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaojitafuta anzisheni familia mkishajipata, mnaharibu maisha ya watu na kutengeneza single mothers wengi

    Naomba niende kwenye point kabisa. Hii ni kwa wanaume/kaka/vijana kama mimi. Najua life ni ngumu na kwa kipindi hiki mwanaume kutafuta mpaka ukajipata sio kitu cha muda mfupi inachukua muda sana. Basi hii isipelekee kuwatesa viumbe wa upande wa pili basi. Utakuta mwanaume anasema ooh. Mimi...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliopata ubaba kabla ya ndoa, ilikuwaje, ulichukua maaamuzi gani, ndie uliemuoa?

    Nakumbuka jioni ya siku kama ya leo kuelekea weekend nilimuita aje tuspend kwangu. Mida kama hii nashangaa msosi naoukuta mezani sio kawaida yake kuniandalia akija, aliandaa juice nzito, pilau la nazi na njegere. nimemaliza kula namsifu kwa mapishi yake ajiandae nae nimle, ndio akanifungukia...
  3. JamiiForums Tanzania Ladies, waume zenu wana-cheat sio kwa sababu yenu ila ni kwa sababu ni hurka yao ila bado pia sio asili yao.

    Najua kuna watu watabisha sana ila mwanaume hata kama mwanamke wake ageuze mahaba na yawe kama ya wacheza pornograph lazima tu mwanaume atafata tu hurka yake ya kucheat. Hata kama bado aoe wake 10, bado tu atatafuta sexual pleasure kutoka nje. Mwanaume ana cheat ili apate comfort tofauti na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa somo hili wanasiasa wote Tanzania bado ni kizazi cha wapigania uhuru-uhuru wa bendera

    https://www.youtube.com/watch?v=pCEYJFpwydw
  5. JamiiForums Tanzania Ligi ya Tanzania inakuzwa na watu wa nje, viwango vya wachezaji wetu (timu ya Taifa na vilabu) bado

    ....
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu hapa wakuu. Kuna mdada nmemtongoza kanambia anamchumba leo mwaka umepita, bado anaendelea kusogea karibu yangu

    Nikimwita gheto anakuja, akiniomba msaada nampa. Nampenda sana huwa nikimwuliza anasema "nakupenda lakini shida ni yule mtu nilienae". Nifanyeje ili nmpate wakuu?
  7. JamiiForums Tanzania Baba bado anaendelea kuchukuliwa poa kwenye jamii

    "Formula yangu ni ile ile mwaka wa 7 sasa. Nikimtumia baba pesa X mama 2X" - Idriss Sultan Vijana kama hawa wakizeeka ndio wanaongoza kutoa lawama kwa watoto wao wa kiume kuwa wanaegemea sana kwa mama wakati utaratibu waliuanza wenyewe.
  8. JamiiForums Tanzania Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Facebook bado ni mtandao muhimu sana duniani

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na kasumba ya watanzania wengi kuukataa na kuudharau mtandao huu wangine wamefikia hata kutaka kufuta account zao huko facebook Hali ambayo nimeona ni tofauti sana huko duniani kwa mabara ya ulaya na Asia wengi wameendelea kuutumia kwa manufaa makubwa Kuna kitu...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa vigezo hivi bado sitotoboa UN agencies?

    Wakuu nina Bachelor ya agribusiness saizi nipo namalizia masters ya project management skills &packages nilizonazo • advanced excel,spss,word,power point •Valid driving licence .Report writing skills •business plan •Passport •Research proposal •communication skills niongeze wapi niweze...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe ni kipi ambacho hajakamilisha, kwanini bado Mwenyekiti?

    Ni kitu gani ambacho bado Mbowe hajakamilisha kinacho muweka kwenye kiti cha uenyekiti hadi sasa? Naomba nitajiwe. Upi mbadala wa Mbowe katika kiti cha uenyekiti wa chama? Uenyekiti wa Mbowe wa kipindi kirefu una faidi zipi na hasara zipi katika demokrasia na ukuaji wake?
  12. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya Wanawake wilaya ya Mbogwe za tarehe 7/3/2024 bado takwimu za unyanyasaji wa kijinsia zipo juu

    Wilaya ya Mbogwe Leo inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani chini ya kaulimbiu " WEKEZA KWA WANAWAKE KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA NA USTAWI WA JAMII" huku takwimu za unyanyasaji zikionesha wanawake waliofanyiwa unyanyasaji na kutoa taarifa zikiwa 1309 na wasichana zikiwa 50. Taarifa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi yazionya Hospitali Binafsi kutokupokea Wagonjwa Wa dharura na Kuwa Discharge Wagonjwa mahtuti

    Serikali bado inaendelea na Sakata hili la BIMA baada ya waziri Kuongea na Huku Hospitali Zikizidi kukaza Shingo na kukataa Kukubali ombi la waziri na serkali.. Sasa msajili Wa Bodi ya Ushauri wa Hospitali Binafsi aja na Taarifa ya kuwaonya.
  15. JamiiForums Tanzania Gamond: Yanga nayoitaka bado kidogo

    Huyu jamaa anaitakia nini kolouzidad?
  16. JamiiForums Tanzania Makonda tunajua ukimya wako wa ghafla si wa kawaida

    Nilishasema kuwa watafichwa Watu wote juu ya yanayoendelea ila siyo Malaika mpendwa mimi wa Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE, ila nikisema hivi huwa mnaniona kama vile hamnazo (nimedata) Kunakotukuka. Kama kuna Kosa kubwa na la Kiufundi ambalo CCM na hasa Rais Samia (Mwenyekiti CCM Taifa) alilifanya...
  17. JamiiForums Tanzania Mateka wa kiyahudi wasipopatikana je Israel itafanya nini?? Je bado wapo hai?

    Tukiwa tunaona nakushuhudia nguvu kubwa Israeli kubomoa ukanda wa gaza wote kama inavyojinasibu kuwa ni operation lakini kwa wachambuzi wa kivita wanasema Israel inatafuta mateka wakiyahudi 253+ ambao walitekwa na Hamas! Wakati huo Vyama vya upinzani na wananchi wa Israel wakiandamana kumtaka...
  18. JamiiForums Tanzania Bado tabia ya bodaboda inapotekea ajali kujichukulia maamuzi

    Bado nazidi kukazia maneno ya nabii lema kuhusu hawa bodaboda. Sijui wanachuki gani na wenye magari wawe wamekosea au wajakosea wao ujiona ni watu special sana. wamechoma bus la saibaba huko tanga. Hii nimoja ya bodaboda kufanya matukio haya hata kusababisha mauaji kama ikitokea ajali inayohusu...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume mliooa na bado mna michepuko nje mmeoa kwa ajili gani?

    Hivi wanaume mliooa na bado na michepuko nje mmeoa kwa ajili gani sasa? Au mihemko na mkumbo wa ndoa ndio uliowasukuma kufanya hivyo? Huwa nashangaa sana mwanaume anasema ameoa na bado yupo busy na michepuko, sasa nini maana ya ndoa? Ndoa ni fashion?
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania latest Car ni chache sana kuonekana. Bado wanaagiza Magari ya 2000-2010

    Kwanini Tanzania bado wanaagiza Magari ya zamani sana. Yaani mpaka Leo mtu bado anaagiza Old Model Car.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…