Yanga katika ubora wao wa sasa na Simba ya Kipindi kile, Bado Yanga hii ya Moto Imepiga Team kubwa kuzidi Simba Ile.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,729
3,290
Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao.

Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli.
Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama
NKANA serious!!!
Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga anaenda kumpasua Ahly Cairo.

Fainali au kivyovyote akikutana na Mamelodi atampasua Mamelodi.

Yanga ya Moto imepasua tema kama
BELOUZIDAD
TP MAZEMBE
MONASTR
USMA
ongeza Zingine

Half leta Team ambazo Simba alizipasua.
Ety
Nkana
Jwaneng😂😂😂
 
Kiukweli yanga imeiva sana..huwez ilinganisha na Simba ya Kipindi kile katika ubora wao.

Yanga hii inapiga Vigogo kwelikweli.
Ila we Simba ya Kipindi kile inafunga Team kama
NKANA serious!!!
Hii Yanga imebakiza Team Mbili tu kuzipasua nazo ni Mamelodi na Al Ahly ambazo naamin Next round yanga anaenda kumpasua Ahly Cairo.

Fainali au kivyovyote akikutana na Mamelodi atampasua Mamelodi.

Yanga ya Moto imepasua tema kama
BELOUZIDAD
TP MAZEMBE
MONASTR
USMA
ongeza Zingine

Half leta Team ambazo Simba alizipasua.
Ety
Nkana
Jwaneng😂😂😂
Kumbe belouizdad simba hajawahi kumpasua utoto raha sana mtoto akifurahia akili inamruka.Totoo nakukumbusha tu simba kampasua Belousdad,ahly,wydad,zamalek,kaizer chief,olando pirates,primier de agosto,ismailia,berkane , petro atletico,as vita club na wengine wengi, naona kucheza makundi baada ya miaka 20 kumekulevya, unajisikiaje totoo kujulishwa kama haijui au upewe na matokeo
 
Kumbe belouizdad simba hajawahi kumpasua utoto raha sana mtoto akifurahia akili inamruka.Totoo nakukumbusha tu simba kampasua Belousdad,ahly,wydad,zamalek,kaizer chief,olando pirates,primier de agosto,ismailia,berkane , petro atletico,as vita club unajisikiaje totoo kujulishwa kama haijui au upewe na matokeo
Duuuh ulichoandika akiona Mpenzi wako atajiuliza huyu Mtu ndio Zwazwa Kias hiki.

Siwez kukujibu ila kesho amka usome tena hio Reply yako utajua wapi umekosea.
 
Na kuna propaganda iliingizwa hivi karibu na Yule mkongo na Yule jamaa aliyefukuzwa upande wa pili ili kuitoa timu relini lakini haikuzaa Matunda mission failed .
 
Back
Top Bottom