azam tv

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    Rasmi: AZAM TV watambulisha visimbuzi maalumu vya kwenye mabasi ya mikoani na magari ya safari ndefu

    Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo. ======== Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with...
  2. Mlalamikaji daily

    Mitandao ina nguvu; hatimaye Azam TV wamekuwa waungwana kwenye Krismasi ya mwaka huu 2023

    Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini.. Kwa mfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa...
  3. Kitchener

    Uchambuzi wa kisiasa Azam TV Desemba 18, 2023

    Kuna kijana mmoja, mwembamba hivi ni mwalimu wa Mwalimu Nyerere memorial kama sikosei, huwa anapenda sana kuchambua mambo ya Urusi, na Palestina. huyu kijana ni mdini na amekuwa akisambaza sumu nyingi sana, watu wengi wamekuwa wanalalamika ila naona wanachelea kuliongea, anachokileta Tanzania ni...
  4. mangiTz

    Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

    Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo. Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
  5. BARD AI

    DOKEZO Responded Wasiwasi Mwabulambo wa Azam TV atajwa kupokea Rushwa ya Tsh. 800,000 ili aidhinishe kipindi cha TV

    ===== UPDATES: 01 DEC 2023 ===== Kampuni ya Azam Media Ltd, imebaini vipande vya picha jongefu vinavyosambaa kupitia mitandao ya kijamii vikimuonesha mwigizaji na mtengeneza filamu, Deogratius Shija, akiwatuhunu baadhi ya wafanyakazi wa kampuni yetu kwa vitendo vya rushwa. Kampuni yetu...
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    Azam Tv kupita channel ya sinema zetu, wawaombe msahama walimu kwa kuwadhalilisha

    Nipo zangu home nimetulia naperuzi kutafuta channel nzuri ya kuangalia nikatua channel ya sinema zetu Azam Tv namba 103 wanaonyesha movie inaitwa simuulizi, Introduction kabla movie yenyewe kuanza. Picha inaanza mabinti wako kisimani wanateka maji, wakaanza kubishana kuhusu Mwalimu mkorofi...
  7. Zanzibar-ASP

    Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa!

    Kilichotokea jana kwenye ufunguzi wa mashindano ya African Football League kwenye mechi kati ya Simba na Al Ahly kupitia Azam TV ambapo kwa sekunde kadhaa kimakusudi walionyesha bango la mashabiki lenye maandishi yenye mlengo wa kushabikia siasa za mashariki ya kati (kifupi bango lile lilikuwa...
  8. Suley2019

    FT: Simba 2-2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20.10.2023 | African Football League

    Haya haya ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia. Leo tarehe 20/10/2023 Tanzania itashuhudia mtanange wa kihistoria kati ya timu ya Simba ya Tanzania dhidi ya Al Ahly ya Misri. Mechi hii ni ya ufunguzi wa michuano ya African Football League ambayo inachezwa barani Afrika kwa mara ya...
  9. Boss la DP World

    Azam TV Acheni Unafiki: Chagueni moja

    Nilipeleka tangazo la pombe pale kwaajili ya kudhamini matangazo ya mechi za NBCPL na baadhi ya vipindi kwenye channel za Azam Sports 1 na UTV. Mhusika akanijibu kuwa hawapokei matangazo ya pombe kwakuwa yanakiuka misingi ya kiimani hivyo wamiliki hawataki. Sasa najiuliza je hao wamiliki kwao...
  10. 29Oct2025

    Azam tv wako sawa kweli?

    Wameamua kabisa kutonesha kidonda cha kile kichapo cha 4-1 kati ya mnyama simba na wazee wa kukalia mwiko Mechi inarudiwa muda huu azam sports 3 hd
  11. Mr mutuu

    Azam tv naapa lazima ntawashtaki

    Kuna ujinga unaendelea hii nchi tushafanywa kama wapuuzi, Azam vifurushi tushalipia Cha ajabu Kila siku za mechi mnatuletea ujumbe kana kwamba hatujalipa, ukipiga simu customer care wanakuambia upige *150*50*5# kuweza kupata huduma kama ushalipia, upuuzi ni kwamba Huduma Hio wanakata muda wa...
  12. Complicator

    AZAM TV na Bodi ya Ligi mnatuibia pesa watazamaji wa ligi kupitia king’amuzi chenu

    Naandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kugundua kwamba miezi miwili sasa imepita bila kuwa na mwendekezo mzuri wa kuonyesha mechi za ligi kuu ya nbc,ndani ya mwezi unaangalia game mbili au tatu halafu unatakiwa kulipia tena. Kwa mfano weekend hii iliyoisha kulikua na shida gani mpaka...
  13. Kilimbatzz

    Azam TV wataonyesha mechi ya Bumamuru vs Mamelodi Sundowns?

    Wakuu naomba kujuzwa... Je, Azam wataonyesha mechi tajwa hapo juu hapo kesho? Natanguliza shukrani
  14. CK Allan

    Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe! Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo .. Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
  15. DELETED ACCOUNT

    AZAM na Baraka Mpenja punguzeni mahaba kwa Yanga, kuweni professionals

    Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili. Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi"...
  16. Greatest Of All Time

    Ligi ya Saudia sasa kurushwa ndani ya Azam TV

    Kufuatia mastaa wengi kwenda kucheza ligi ya Saudia huko Uarabuni wakiwemo Cristiano Ronaldo, Sadio Mane, Bobby Firmino, Riyad Mahrez na wengineo wengi, hatimaye Azam Media wameamua kurusha ligi hiyo mubashara. Mwanasoka utaendelea kuwafatilia wachezaji wako pendwa waliopo Uarabuni kupita Azam...
  17. Hismastersvoice

    AZAM TV imeniuzi kifurushi cha Access Denied!

    Mods isomeke "mmeniuzia" AZAM Tv wanatuibia wateja, nimekua nikinunua kifurushi cha Azam Tv kwa shiling 8,000/= kikiwa na chaneli muhimu kwangu, lakini kifurushi hicho kimepandishwa bei na kuwa shilingi 10,000/= hili si tatizo, tatizo ni pale wameondoa chaneli nyingi na kutuachia maganda...
  18. Orketeemi

    Msaada wa changamoto hii ya kadi ya Azam TV

    Wakuu Nina king'amuzi kipya cha AZAM Card nikiweka naona maandishi " Smart card mute" Nawapigia Azam wako busy. Nifanye nini?
  19. Greatest Of All Time

    Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

    Nimepokea sms ya AzamTv kuhusu kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 01/08/2023. Mkeka ni kama ifuatavyo;
  20. Kalpana

    Tamthilia ya Unfaithfull Azam Tv ni ya moto

    Hii tamthilia bwana ni ya moto..imejua kuwaanika wanaume yani kiufupi ni tamthilia inayogusa maisha ya familia nyingi.. Kwa upande mwingine inafundisha wanawake kudandia waume za watu kunavyotokea puani... Nasikia wanaume hawaipendi kabisaaa. Wahusika wakuu ni Asia,,volkan,,na Derin Karibuni...
Back
Top Bottom