azam tv

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.

View More On Wikipedia.org
  1. Sharbel

    JamiiForums Tanzania Sina imani na hizi statistics wanazotoa Azam tv, kama ni kweli

    Kwa wale wote walio angalia game ya Prison na Simba, kwenye uchambuzi wa dakika 45 za mwanzo, ilionekana Simba kapiga shuti moja lililolenga goli na moja lisilolenga, kitu ambacho si sahihi hata wao wachambuzi walikiri hazipo sawa. Je, ni leo tu wamekosea? au ni mbinu za makusudi ? Na vipi za...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Azam acheni ubahili, ajirini watangazaji wanaojua Kiswahili na Kifaransa. Mechi ya Tanzania na Congo leo ni Kifaransa tu hamna mkalimani

    Azam acheni ubahili ajirini watangazaji wanaojua Kiswahili na Kifaransa mechi ya Tanzania na Congo ni kifaransa tu hamna mkalimani mnatia aibu Media zingine pia achaneni na watangazaji wajua tu kiswahili na kingereza ajilini wanaojua mbali na kiswahili na kingereza wanajua kifaransa nk Hao...
  3. Ilitara kimura

    JamiiForums Tanzania Azam tv kuweni serious mechi ya Tanzania na DR Congo yaani picha ni mbaya mno

    Naangalia mechi ya Tanzania na DR Congo yaani picha ni mbaya mno naona Azam tvna hawa washirika wao kwenye kurusha wanatumia tecno. Azam TV inabidi mjitafakari
  4. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

    Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2 Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala...
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Azam TV kupewa kuonyesha mashindano ya Club Bingwa Africa na Shirikisho kupitia FTA(ZBC2) je hii channel itakuwa free bila kulipia kwenye decoder zao?

    CAF wametangaza washindi wa Bid za kuonesha Mechi za Champions League na Kombe la Shirikisho kwa msimu huu. Azam Tv ni Moja ya washindi lakini katika kipengele Cha FTA (Free to Air) Maana yake Mechi za CAF tutaziona kupitia ZBC 2 pekee maana ndio chanel ya Bure hiyo. Sasa najiuliza mpka Leo...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Azam TV hawataonesha tena Vitasa, sababu ni mali ya Mwamakula

    Bondia Twaha Kiduku amethibitisha kuwa Azam Media haitarusha michezo ya masumbwi tena kutokana na mashtaka yaliyofunguliwa. Amepongeza Azam Media kwa mchango wake mkubwa katika kukuza michezo na sanaa nchini, akitaja kwamba kupitia Azam TV, michezo na vipaji vya vijana vimeimarika na kuleta...
  7. Black Pundit

    JamiiForums Tanzania EFM NDANI YA AZAM TV

    Habari za Majukumu na uzima Wakuu...... Hivi ni kweli ETV wamekuwa excluded kwenye list channels za AZAM TV ........? Maana siku hizi ni miezi miwili vhivi iliyopita nkilipia vifurushi vya AZAM TVsioni kabisa channel ya ETV Mwenye majibu tafadhali ... Natanguliza shukrani .
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya hili neno pale Azam sports

    Wakuu, hivi hili neno HD huwa lina maana gani pale Azam sports? Huwa naliona tu lakini sielewi
  9. E

    JamiiForums Tanzania Azam tv haiwatendei haki wateja wake kwa kupandisha vifurushi vyake bei kubwa Mno

    Azam tv kwema, Hamtutendei haki watumiaji wa visimbuzi vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa kuongeza gharama za vifurushi vyenu tunaomba mfanyie kazi maoni ya wateja wenu mfano startime ligi...
  10. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Azam TV na Tamthilia za Kigeni

    Habar zenu wanajamvi. Pamoja na kwamba Azam Tv wanajinasibu kuwa wanawasaidia kuwakuza, kuwajenga na kuwatangaza wasanii wa ndani wa tamthilia na filamu kwa kupitia channel ya Sinema Zetu. Lakini uhalisia uliopo na usiojificha Azam Tv inazitangaza zaidi filamu na tamthilia za kigeni kuliko za...
  11. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Azam TV, kwamba Robert F. Kennedy ni mtoto wa John F Kenedy?

    Asilimia 99.8 ya Watangazaji wa hizi media za sasa ni weupe sana vichwani, wao mada wanazo zijua ni za kusifia na kuabudu na pia Mada za Yanga na Simba. Nje ya Mada za Yanga na Simba na Mada za kusifia hawa watangazaji ni weupe sana vichwani na sijui wanapatikana vipi. Media zimejaa vipindi vya...
  12. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Hivi wapenzi wa King'amuzi cha Azam tofauti na ligi ya Tanzania kuna nini?

    Salam.Juzi nililipia azam kucheki ligi.ilipoisha sioni cha kuangalia ikarudi nilipie dstv angalau content zimeshiba Azam movie zao za Mbc sio HD,Picha zao sio nzuri,huo ndio ukweli. Sitangazi biashara ila azam jirekebusheni na Dstv punguzeni bei na msiondoe channel kila wakati.
  13. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Waziri mpya wa Mawasiliano, anza kazi na Azam Media. Wamepanga kutupiga kwenye vifurushi vipya

    Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000 na 3000 kuwa 4000. Azam decoder hawana Ubora kuzidi Dstv, Wanatumia kigezo cha kutuonyesha mipira Ili kuchaji gharama zaidi, ongezeko hilo ni kama...
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo bei mpya za vifurushi vya Azam TV

    Nimepataa dondoo kuhusu bei mpya ambazo zitakuja kutangazwa siku chache zijazo na kampuni ya AzamTv. Kwasasa kuwaona akina Pacome au akina Debora na Fei Toto ubaoni ni Sh 28,000/= Ndio kifurushi cha Azam Plus kimepanda kutoka 25,000 mpaka 28,000. Sawa na ongezeko la 3,000/= Ubaya Ubwela tu
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Azam Tv wazindua chaneli mpya Azam Sports 4HD, watarusha La liga pamoja na Serie A

    Azam Tv wamezindua chaneli mpya ya Azam Sports 4HD na watarusha La liga ( Ligi Kuu ya Hispania) pamoja na Ligi Kuu ya Italy (Serie A) Chaneli hiyo itaanza kuruka hewani 1 August 2024. Tayari Azam Tv anarusha Ligi Kuu ya Tanzania, Ligi Kuu Kenya, Saudia Arabia, Ufaransa, Caf Champions League...
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Azam TV wazindua mitambo mipya ikiwemo VAR, kamera moja tu imegharimu Tsh. Milioni 500

    Aisee nimeangalia uwekezaji wa Azam TV kwa kununua mitambo mipya ya mabilioni ya pesa. Duuuh kuna media zina pesa wallah....Mabilioni ya pesa hapo yametumika!! Hawa watu wamejipanga kweli, nimeona tu kamera moja ya ubora wa kimataifa kama zile wanazotumia huko Hollywood nk ni milioni 500 na...
  17. Voice of Tanzania

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maboresho ya Azam TV

    Wadau naomba msaada wa transponder mpya za Azam TV kwa mwenye king'amuzi chake kilichopokea maboresho. Sipati channel za nyumani kwenye list ya channel zangu.
  18. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

    Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
  19. G

    JamiiForums Tanzania Azam TV hawaonyeshi matukio ya sherehe za ubingwa, wamegeuza kiwe kipindi cha kutembeza mic kufanya mahojiano

    Nilijianda kuangalia sherehe hizi za ubingwa lakini inakaribiaa lisaa sasa nachoona ni mahojiano tu, inakera sana. Kipindi kimegeuka kuwa kama cha Seki ama Skonga, tunaemuona ni mtangazaji anazunguka uwanjani kuhoji wachezaji na benchi la ufundi. Leo ni siku ya sherehe za ubingwa, Hakukuwa na...
  20. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dishi lipi zuri kwa matumizi?

    Namzungu best yangu kanitext ananiuliza which is the best dish for me to buy so i can watch movies and other good stuff
Back
Top Bottom