azam tv

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.

View More On Wikipedia.org
  1. Spacefox

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutumia King'amuzi kwenye kompyuta (PC)

    Habari za humu ndani, Nina king'amuzi cha Azam TV nahitaji niunganishe na Kompyuta mpakato. Kwa anayefahamu namna ya kuunganisha naomba anielekeze Shukrani.
  2. Madish Installers

    JamiiForums Tanzania Kwanini dish (king'amuzi) chako kinasumbua signal mara kwa mara!?

    1.Ufungwaji wa Dish - Uimara wa sehemu ilipofungwa - Fundi amefungaje je kama huyu - Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal) - kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable inayopeleka signal kwenye king'amuzi imefunikwa ili maji yasiingie n.k? 2.Cable kama imeungwa (ilikuwa...
  3. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Azam TV wafanyakazi Customer Care kuna tatizo kubwa

    Hawa wadada wanaopokea simu zetu kutusaidia matatizo mbalimbali ya decoder za azam kiukweli waliopo azam wanasikitisha sana. Wadada hawa wanapokea simu kama vile hawataki kuzungumza na mteja. Hawaonekani kama wana tabasamu au wanaipenda kazi yao. Unaongea na mdada anakukatisha au anamalizia...
  4. Cybergates

    JamiiForums Tanzania Azam TV Satellite yenu Eutelsat 7A ºE haifanya kazi

    Watu wa azam tv satellite mnayotumia 7A haifanyikazi channel hazionekani, jaribuni kuangalia connection zenu, watu tumelipia halafuhatupati channel zilizofanya tulipiie Kama kuna watu wa Azam Huku, fanyaeni kazi. customer care yenu mbovu unamsubiri mhudumu dk 10
  5. K

    JamiiForums Tanzania AZAM TV kama mlivyoonekana leo live zaidi ya saa 3 na 8 August, 2020 Lissu akija hapo tuwaone live

    Pamoja na mitambo kukata kata..bado AZAM TV mmeendelea kurusha picha zisizoonekana vizuri ili mradi lengo lenu la kumrusha Mubashara Mgombea wa CCM. Tunaomba mfanye hivi pia siku ya Jumamosi atakapokuja kuchukua fomu mgombea wa chama kikuuu cha upinzani.
Back
Top Bottom