azam tv

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.

View More On Wikipedia.org
  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

    Huku bei ni mserereko kabisa. Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli.. Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania Azam TV leo bure tu

    Chaneli zipo free tu sijui kuna aliyebonyeza kitufe kisichotakiwa kubonyezwa
  3. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mnazingua

    Nimelipia king'amuzi toka jana channel hazifunguki,namba zenu za simu hazipokelewi.Mna nini?
  4. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Azam TV tafuteni wakalimani

    Kinachoendelea hapa KMC Complex kwenye mahojiano baada ya Mechi ya KMC dhidi ya Singida BS Kati ya Mtangazaji na makocha Gamond na Maximo ni aibu.
  5. Kanali_

    JamiiForums Tanzania GE2025 AZAM TV mnatukosea wateja wenu na kuwagawa, kwa kuweka hotuba ya mgombea wa CCM ambazo kiuhalisia ni kampeni!

    Kumekuwa na utaratibu wa kila siku ya mechi kubwa dakika chache kabla ya mechi kuanza mnaweka hotuba ya mgombea wa CCM au machawa wake ikiambatana na ahadi kibao ambazo kiuhalisia ni kampeni! Hii ni dhulma kwa wateja wenu wasiomuunga mkono huyo mgombea lakini pia mnajenga chuki na matabaka kwa...
  6. misasa

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

    Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye tumesanuliwa na Polepole kuwa ni Mwanamtandao?
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Azam TV ipo shida ?

    Niko naangalia la liga hapa ñaona kama inascratch inaleta mawimbi, na hata mchana niliona kwenye MECHI ya al nassr Hilo tatizo, lakini za CHAN hazina shida. Ni king'amuzi changu au kuna mwingne kaliona Hilo?
  8. maroon7

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa mpira Azam TV waache kupotosha matumizi ya baadhi ya maneno ya kiswahili

    Azam TV inawatangazaji mahiri sana wa mpira ila kinachosikitisha ni namna wanavyoamua holela kubadili maneno au matumizi ya maneno bila kujua athari zake. Mfano walianza kuita mpira eti mali, na hii imekua kama lugha rasmi kwao.. kuanzia dakika ya kwanza hadi ya mwisho unaweza usisikie wametaja...
  9. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania UTV ya Azam Tv sio free tena

    Kifupi Azam TV wamefungia UTV sio Bure Tena, tafadhali msije mkafungia na local channel nyingine mtaua bendi.
  10. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Mmejiandaaje na bei mpya ya vifurushi vya Azam Tv?

    Wapenda kandanda na tamthilia za kutafsiri kutokea king’amuzi cha Azam Tv mmejiandaaje na bei mpya za vifurushi? Tetesi ni kuwa bei mpya zinakuja mwezi Septemba.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Azam TV anavizidi ving'amuzi vingine

    Miaka kadhaa iliyopita, Azam TV alikuwa anazidiwa na kampuni nyingine kama Star Times kwa idadi ya ving'amuzi lakini kwa sasa hali ni tofauti. Azam TV ndiye anaeongoza na anavizidi ving'amuzi vingine mbali kwa idadi ya watumiaji. Hii ni kwa mujibu wa takwimu za TCRA zinazitaja idadi ya...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Goodluck wa Azam TV (Morning Trumpet) anahoji watu bila weledi

    Nawasalimia nyote. Nimekuwa nikifuatilia mahojiano mbalimbali ya moja kwa moja kipindi cha morning trumpet, Azam TV. Kwa maoni yangu mtangazaji Goodluck amekuwa akifanya mahojiano bila weledi, amekuwa akibishana na mgeni bila hoja za msingi. Anakua msemaji mkuu bila kumpa mgeni nafasi ya...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtangazaji wa Azam Tv, Hasheem Ibwe atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga, Kilimanjaro kupitia CCM

    Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. == MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.... Salamu kwa Vijana wenzangu, Huu ni wakati wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simba imesababisha watu wapoteze ajira zao, gharama za kuleta marefa wa nje, hasara kwa Azam tv na mashabiki na bado imecheza mpira mbovu sana

    Habari wadau. Ukweli simba ya msimu huu ilipaswa wachezaji wote na viongozi wachapwe viboko. 1. Simba kugoma tarehe 8 kwa sababu ya kipuuzi ya mazoezi ya nusu saa, imesababisha ma bosi wa bodi ya ligi wamejiuzulu. Wazee wa watu wamepoteza ajira yao. Watoto wao wanateseka sababu baba hana kazi...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu sana Azam TV kutelekeza wateja na kuangalia Mpira wa Simba na Yanga

    Sijawahi kuona ujinga kama huu tangu nianze kujihusisha na Ving'amuzi. Yaani hata huduma kwa wateja imefungwa Ni aibu sana!
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Karia atatangaza kujiuzulu TFF ndani ya saa 24, sababu kuu ni kuikumbatia Azam TV

    Inasemekana mashambulizi yamemzidia President Karibu kutoka kila Kona, kuanzia serikalini, vilabu na wadau Kuna kampuni kubwa ya kurusha matangazo ya mpira imekuwa ikipiga hodi TFF kuomba kurusha ligi ya NBC PL, lakini Rais Karia amekuwa akikumbatia Azam media, japo hiyo kampuni ilitangaza...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania AZAM TV washinda kesi, wataendelea kuonesha vitasa

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media dhidi ya Bondia, Amos Mwamakula aliyetakiwa kulipwa fidia ya Tsh. milioni 250 baada ya kushinda kesi ya uvunjifu wa haki miliki ya wazo lake ambayo ilitolewa na Mahakama ya Kivukoni. Ushindi huo wa Azam unakuja baada ya kukata rufaa kupinga...
  18. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Hili tangazo la Azam TV fainali ya 2 CAFCC limekosa uhalisia

    Tangazo ulitengenezwa kabla ya Mechi ya mkondo wa Kwanza May 17, 2025 shabiki akijigamba Morocco Kwa tutampiga na Kwa Mkapa hatoki Mtu. Sasa kwao Berkane kashinda na Mechi haiko Kwa Mkapa lakini linaendelea kutolewa siku Hadi siku. Huu ni ukosefu wa ubunifu.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Azam TV yenye malipo nafuu

    Habari zenu wakubwa! Kuna kitu natamani kuelimishwa, mimi ni mtumiaji wa Azam TV, huku kwetu tunauziwa Tsh 99,000 complete but without any package ang Tsh 55,000 Dekoda pekee without any package. Unalazimika kununua package ya Tsh 28,000 ili iweze kufunguliwa baada ya kununua. Ila sasa kuna...
  20. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Soka nchini yameletwa na Azam TV, wadhamini na wafadhili wa vilabu sio umahiri wa Bodi ya Ligi wala TFF

    Ninashangaa sana wadau wanaosifia kwamba maendeleo ya mpira wa Tanzania yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na TFF na Bodi ya Ligi, Jambo ambalo si kweli. Miaka kadhaa hapo nyuma timu nyingi hazikuwa na hali nzuri kifedha kiasi cha kushindwa kusafiri kwenye mechi za mikoani, Ilikuwa ni jambo gumu mno...
Back
Top Bottom