Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.
Kama unafuatilia Azam Tv kwa sasa..
Zile habari Hasi za chadema mfano wale G55 ndio wanazitangaza kwa urefu sana.
Lakini habari zenye Chanya kwa chadema huwa wanazitangaza kwa ufupi sana au kuzikata kata..
Tena zile habari muhimu za Chadema hawazipost kabisa .
Mfano tukio la kukamatwa kwa Mh...
Jamani kuna nini kinaendelea kwa anaejua kati ya Azam media na CHADEMA,naona wanareport taarifa hasi tu kuhusu CHADEMA, kama ni taarifa nyingine basi wanapewa muda mfupi mno,au CCM wameinunua kana walivyo fanya kwa channel 10,mwenye kujua tafadhali.
Wakuu
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, alipaswa kutoa taarifa muhimu kwa umma kuhusu masuala ya uchaguzi kupitia vyombo vingi vya habari ili kuhakikisha taarifa hizo zinawafikia Watanzania wote kwa uwiano na uwazi.
Kwa kuwa uchaguzi ni suala...
TANZIA: Uongozi wa kampuni ya Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake, Rahab Fred Fungo, aliyekuwa Mhariri Mkuu Msaidizi kwenye Idara ya Habari na Matukio.
Rahab amefariki dunia Aprili 5, 2025 jijini Dar es Salaam wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya...
Bila kupoteza muda asalaam alaykum
Bwana asifiwe.
Msiokua na mungu habari zenu.
Azam tv mmekua na tabia ya kukata matangazo ya mpira yakiwa mubashara.
Jambo hili linakera na kuzua sinto fahamu.
Nikweli brand yenu ni kubwa fanyeni kazi kama ma professional.
Mnakera mnakera mnakera
Mjadala nimeusikia haswa amri kiemba akikazania kauli kuwa hata marudio ya camera za azam haikuona kitendo alichofanya mchezaji kupewa red card ...swali je hizi camera hazikuliona tukio hilo la baka kwenye picha..... napatwa na wasi wasi na ubora wa kamera za azam labda ni chache uwanjani au...
Wachambuzi na watangazaji wa Azam Tv wanapata taabu sana kuwatetea akina Faisal na wenzake,
Timu inabebwa haibebeki wanaulizwa hiyo ni penati au la, wanapatwa na kigugumizi
Kuwatetea Azam FC lazima uwe na sifa za uchawa
Habari ndio hiyo. Mjumbe hauwawi azam Media. Kuna malalamiko watu wanasajili azam max kupitia namba za visimbuzi ambavyo si vya kwao. Je taarifa hizi wanazipata wapi kama si kwa Wafanyakazi wenu? Naomba hili suala lichukuliwe siriazi huu ni wizi kama wizi mwingine wa kimtandao. Serikali naomba...
Azam TV Niwapongeze kwa kusaidia kuleta mapinduzi makubwa kwenye soka la Tanzania kwa sasa kila nyumba ina shabiki wa mpira kama si familia nzima, Mnastahili pongezi.
Lakini hofu yangu ni juu ya kuongezeka kwa vijana wavivu wanaopenda kuangalia mpira muda wote wakimaliza NBC PL wanaenda Laliga...
Tunakubali Simba tuko kifungoni ila Azam TV watakuwa wazalendo sana wakiweka sauti bandia za mashabiki ili kunogesha matangazo yao ya mechi hiyo.
Wenzetu huko walikoendelea ndiyo wanafanyaga pale mechi zinapochezwa bila mashabiki.
Magoli ya Ateba na Mpanzu (2) ya siku hiyo yanastahili kelele...
Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa Azam TV, fanyieni kazi tatizo hili la giza na tafuteni nafasi nzuri ya kuchukua video tofauti na...
Kuna hii ishu inayowahusu ripota wa Azam TV mikoani, wapo walioanza na kampuni wapo waliojiunga na Azam baadaye. Kwa mujibu wa mikataba yao ambayo ni renewable Kila baada ya Mwaka Mmoja au miaka miwili inatagemeana na maamuzi ya Viongozi, hawa watu ndiyo injini ya habari ya Azam News na baadhi...
Na leo waliogopa kuzitumia kwakuwa Watu wa Yanga SC walitonywa kuwa huenda TFF ikawashtukiza kupitia Watumishi wake kadhaa kufanya Uchunguzi Wachezaji wao.
Kitendo cha mwana Yanga SC huyo mwenye Ushawishi mkubwa katika mpira wa Tanzania kuchoka Kutengwa na Mtu aliyemuamini (Rais wa Yanga SC)...
Naona azam TV wana fursa pale kwenye behewa za sgr kuliko kila siku watu kuangalia ile royal tour kila siku ambayo imekaa kisiasa zaidi zile behewa zingechapwa azam tv tuu shughuri iishe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.