askofu

  1. Hivi Baba Askofu Dkt. Bagonza na Askofu Niyemugizi wameshawahi kuandika vitabu? Natamani kuvisoma

    Wanajamvi, kama heading inavyojieleza, nimejaribu ku google sijaona. Nimeamua niulize humu ndani endapo kuna yeyote anayefahamu kama niliowataja hapo juu, wameshawahi kuandika vitabu au hata kitabu na vikawa published? Ningependa kufahamu. Na kama hawana, napenda kuchukuwa nafasi hii kuwaomba...
  2. Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU

    CAG na TAKUKURU Watanzania wanapenda sana kushindanisha. Vijiwe vingi utakuja mijadala nani zaidi kati ya DC na DED, Waziri na RC, CAG na DG-PCCB, nk. Wanaweza hata kushindanisha hata visivyo na uhusiano kama nani zaidi kati ya Askofu na Mtendaji Kata, Nabii na Sangoma fulani, rubani wa ndege...
  3. Askofu Bagonza atangaza ibada kurejea kuanzia Mei 31, waumini wote watatakiwa kuvaa barakoa

    Askofu Benson Kagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza amesema, ibada zilizositishwa ili kujikinga na maambukizo ya ugonjwa unaotokana na virusi vya corona (COVID-19) zitarejea tarehe 31 Mei...
  4. Askofu Gamanywa: Pepo la kuasi liko ndani ya vyama vyote vya siasa siyo upinzani pekee

    MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.
  5. J

    Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

    Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima. Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo. Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama...
  6. Askofu Bagonza: Maadili ya madaraka wakati wa vita

    MAADILI YA MADARAKA WAKATI WA VITA Taifa letu liko vitani. Tunapambana na adui asiyeonekana kwa macho bali kwa mashine kali ya kisasa iliyo DsM. Tunachokiona kwa macho ni majeruhi, vifo, mazishi na majonzi. Mara tuone askari yule kavunjika mguu, mara yule kanyofolewa macho yote na kamanda yule...
  7. Askofu Benson Bagonza asikitishwa na mwenendo wa Rais Magufuli, anena haya...

    "Aliyeteuwa hakuomboleza. Aliyeteuliwa hataomboleza. Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku" Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu...
  8. S

    China watataka dunia nzima wawe wao tu - Marehemu Askofu Kulola

    Nimemkumbuka Askofu Kulola Leo sikuwahi kusali wala kuhudhuria moja kwa moja katika kanisa lake lakini naheshimu huduma yake sana alipita vijiji vingi karibu 8000 kipindi hicho ndio muhubiri aliyetembea sana kwa miguu na kufika vijiji Vingi kuhubiri kabla ya kuhubiri mijini.Na alihubiri neno na...
  9. Askofu Niwemugizi: Ukiwa katikati ya vita kumuomba Mungu ni muhimu sana, lakini kujificha ili adui asikupate kirahisi ni muhimu pia

    Anaandika Baba Askofu, Severine Niwemugizi, Askofu wa jimbo Katoliki Rulenge - Ngara. ________________ Kwenye haya mapambano ya Korona, yatasemwa mengi. Wengine tutaambiwa hatuna imani. Sawa. Lakini kwenye vita mambo hayaendi kwa utaratibu wa kawaida. Ukiwa katikati ya vita kumuomba Mungu ni...
  10. Askofu Benson Bagonza: Tumeamua kumuomba Mungu kama Taifa, kweli tumuombe Mungu na siyo kumtukuza au kumsifia mwanadamu yeyote

    Asante Baba Askofu Bagonza. Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo. Mungu akutunze baba yetu. ======= Anaandika Bagonza ( PhD) CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza...
  11. Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona

    Kanisa Katoliki Jimboni Rulenge-Ngara, wamesitisha kabisa Ibada/misa. Watu wasali nyumbani! Pia amewataka waumini wajikinge na COVID-19 na kuchukua tahadhari Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara limesema limesitisha Ibada za Misa, maadhimisho mengine yanayokusanya Waumini wengi Kanisani na...
  12. Askofu Bagonza: Vita ya Kagera VS Corona

    VITA YA KAGERA Vs CORONA Wakati wa vita ya Kagera, Baba wa Taifa akiwa Rais wa Tanzania, alilazimika kufanya mabadiliko ya uongozi wa Mkoa wa Ziwa Magharibi. Mkoa huu ulikuwa katika eneo la msitari wa mbele vitani. Alimuondoa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa na kumteua mwingine anayendana na mabadiliko...
  13. Askofu Shoo asisitiza NEC kusimamia uchaguzi huru, wa haki na wenye ukweli

    Moshi/Mwanza. Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limeisihi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia mchakato mzima wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kwa uaminifu, uhuru na haki. Kanisa hilo limesema haki na kweli ikitamalaki katika taasisi au taifa lolote, umoja...
  14. J

    Askofu Gwajima: Waafrika tumepitia taabu nyingi kuanzia Utumwa, ukoloni, magonjwa na umaskini tukashinda hata Corona haitatuweza

    Askofu Gwajima yuko mubashara Clouds tv akiongelea ugonjwa wa Corona na waandishi nguli Baby Kabaye na msaidizi wake Hassan Ngoma. Gwajima anasema Corona ni tatizo litakalopita kama yale yote yalivyopita huko nyuma na watanzania wasiogope bali wasimame imara imara kwa sababu Mungu anatupigania...
  15. S

    Baba Askofu Munga: Akili na hekima. Corona sio sawa na Wapinzani

    Wakati huu dondoo kubwa ya taifa na ambayo serikali yetu inaipa msukumo mkubwa ni mapambano dhidi ya kirusi corona. Mapambano haya hayana mzaha wala kebehi na yanadai umoja na mshikamano wa kitaifa. Usemi wa Ndg. Polepole kwamba corona ni sawa na wapinzani ni lugha ya mtu anayeligawa taifa...
  16. Askofu Niwemugizi asikitishwa na Kauli ya Humphrey Polepole kuwafananisha Wapinzani na Corona

    Nimesikitika sana kusoma maneno kwenye mtandao ambayo sijaamini yamesemwa kweli na mtu ambaye huko nyuma nilimheshimu sana, kwamba, tunaomba Mungu ugonjwa huu uondoke, Corona ni sawa na wapinzani nchini“. Nikayakumbuka maneno ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Anna Mgwira aliyosema jana...
  17. Askofu Benson Bagonza: Mbu akitua kwenye korodani, hukufanya ujifunze kutumia akili kumwondoa kuliko kutumia nguvu!

    Ubarikiwe sana Baba Askofu Bagonza. Wewe ni dokta (PhD) wa ukweli... hakuna wa kufanana nawe kwenye tasnia yote ya kichungaji and beyond!
  18. Askofu Mkuu Emmaus Bandekile Mwamakula: Haki katika hukumu

    Leo tarehe 10 Machi 2020 ni siku ambayo Mahakama ya Kisutu, Jijini Dar es Salaam itatoa hukumu katika Kesi ya Uchochezi inayowakabili Viongozi Waadamizi wa CHADEMA akiwemo Mbunge wa Hai ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho na Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mheshimiwa Freeman Mbowe. Hii...
  19. Kamati ya Amani ya Maaskofu na Mashekhe yamuonya Askofu Gwajima

    Kamati ya Kitaifa ya pamoja kwa Maaskofu na Maashekhe ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini nchini Tanzania imemkemea Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima kutoana madai ya kusambaza kipeperushi na sauti kwa lugha ya kisukuma chenye lengo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…