Nanunua mahindi bei 350/kg nipo Arusha

laurentie

Senior Member
Feb 24, 2012
100
76
Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu
bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo.

Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani 100.

Mawasiliano 0622115570/0784418789

1620218927184.png

 
350 labda kama unataka mahindi ambayo yapo kwenye magunzi bado….upukuchue mwenyewe 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom