arusha

  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania sifa 10 za kipekee zinazoitambulisha Arusha Duniani kote

    A-Town/ R-Chuga/ Geneva of Africa yote ni majina ya utani kuwakilisha Jiji la Arusha. Jiji hili la tatu kwa maendeleo Tanzania utalii na usafi ni baadhi ya sifa zake za kuvutia. Wenyeji wa Arusha ni Wamaasai, Waarusha, Wairaqw, Wameru, n.k Hizi ni sifa 10 za kipekee zinazoitambulisha Arusha...
  2. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania Halmashauri jiji la Arusha inanyanyasa Wafanyabiashara wa nyama

    Wafanyabiashara wa maduka jijini Arusha wamelalamikia Halmashauri ya jiji la Arusha Kutokana na hatua ya kufunga maduka Yao wanapokuwa wakidai leseni au Kodi mbalimbali Jambo ambalo linakiuka maelekezo ya Serikali ya kutofunga maduka ya Wafanyabiashara. Miongoni mwa Wafanyabiashara hao, Juma...
  3. Misunderstood

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata gari za mkoani Arusha Usiku

    Habari wakuu! Nahitaji kujua kama kuna usafiri wowote wa jioni au usiku wa kwenda Arusha! Nimepata dharura nahitaji kusafiri jioni/usiku wa leo huko na nimezoea kusafiri na mabus ya kawaida tu! Nimefatilia Kilimanjaro Xprs safari za usiku wamesitisha kwa mda! Msaada wenu tafadhali wapi naweza...
  4. swahibu ramadhani

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mianzini, Majengo, Makao mapya, ni sehemu ipi nzuri ya kupanga Arusha?

    Naimani nimesomeka hapo, Kwanini nimechangua hayo maeneo kwasababu niwe karibu na kazini ili nisiwe natumia nauli....naweza nikapata Single Cha Bila choo ndani kuanzia Elfu Arobaini(40). Na chenye geti ndani kwaajili ya usalama zaidi.
  5. cefixime

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Cha Bata Arusha

    Wakuu tupeane location kwa hapa Arusha kiwanja kilichotulia Cha kimyakimya.
  6. mshale21

    JamiiForums Tanzania Jina la Sabaya lasimamisha kesi kwa muda

    Kukosewa kwa jina la tatu la mshitakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha Lengai Ole Sabaya, kumesababisha malumbano ya kisheria na kuahirishwa kesi kwa muda. Katika hati ya maelezo ya mashitaka, jina Sabaya limesomeka Sayaba na kusababisha kuibuka kwa malumbano ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Basi gani zuri luxury Arusha Dar

    Habari wandugu. Nina safari ya Arusha hivi karibuni. Naomba kufahamu gari zuri luxury naweza kupanda nikafurahia safari. Ahsante.
  8. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Barabara ya njia nne Arusha Inufaishe waendesha vyombo vya moto pia

    Kwa wale wageni Arusha, Kuna barabara nzuri sana kutokea Sakina hadi Tengeru na kuna mpango wa kuindeleza ifike Namanaga na Holili kwa upande wa pili Pamoja na kupendezesha mji kwa kiasi kikubwa kwa mtazamo wangu kuna changamoto inayotakiwa kufanyiwa kazi. Hii barabara pamoja na kuwa na njia...
  9. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kanisa lashitakiwa kwa tuhuma za utapeli wa eneo

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru inatarajia kuanza kusikilizwa Desemba 6, mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba wilaya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Arusha na uzembe kwenye Corona

    Nimesali leo Kanisa Katoliki Ngaranaro (kwa Babu) ibada ya misa ya kwanza. Nimesikitika sana hakuna tahadhari yoyote kuhusu corona hakuna hata tangazo zaidi ya vindoo vya maji ambavyo hakuna kuhimizwa watu kunawa. Ibada ni ndefu bila sababu kuanzia saa 12.30 asubuhi mpaka saa 2.20 asubuhi...
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bilionea Mathias Manga afariki dunia

    Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Mathias Manga, bilionea wa jiji la Arusha amefariki dunia. Mfanyabiashara wa Arusha Mathias Manga, mmiliki wa Gold Crest Mwanza na Arusha, amefariki akiwa Afrika Kusini kwa matibabu Pia, Soma=> Mfanyabiashara wa madini Mathias Manga, apigwa risasi(2015)
  12. sisya

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mzinga ondoeni walanguzi

    Sisi wenye migodi nje ya ukuta tukihitaji milipuko hapa Mzinga Arusha tunaambiwa hakuna ila ukienda kwa walanguzi ipo na wanatuambia wamechukulia Mzinga. Ni mwezi wa pili sasa kila nikifuatilia naambiwa hakuna. Arusha unaambiwa hakuna ukienda Mirerani Mzinga ipo, na kwakuwa utaratibu wa kutoa...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbowe akikutwa na hatia kauli ya Dkt. Mollel juu ya mabomu ya Arusha itaunga dots

    Ni binadamu wachache sana wanaoweza kuunga dots na kupata what is what. Dkt Mollel ambae alishawahi kuwa mmoja wa viongozi waandamizi wa CHADEMA alishawahi kudai kuwa CHADEMA inahusika na ugaidi. Na ndio ilipanga njama za mabomu ya Arusha ambayo yalijeruhi watu na kuua watu. Leo hii Chairman...
  14. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Sabaya kesho kujulikana kama ana kesi ya Kujibu ama la!!

    Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha kesho inatarajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha na kupora Mali na fedha inayomkabili Sabaya na wenzake wawili iwapo Sabaya na wenzake kama wanakesi ya Kujibu ama la. Uamuzi huo utatolewa kesho majira ya saa tatu asubuhi na hakimu...
  15. MR TOXIC

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja

    Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua. UPDATE: 06 August, 2021 Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha. Aidha...
  16. Undava King

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Arusha mnatuaibisha Watanzania

    Yero subahi wanangu wa ngaramtoni, mbauda, ngalimi na sanawari, mtu akisikia unasafiri unaelekea arusha kichwani anakuhusudu kama mtu anayeelekea. Geneva ya kibongobongo mawazo yake ni sahihi isipokuwa atokuwa sawa akidhania ya kuwa pia unafaidi raha ya kusafiri kwa usafiri wenye comfort na...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Upelelezi Arusha: Niliona mapungufu kwa Sabaya, alikuwa mteule wa Rais sikufanya chochote

    Akitoa ushahidi wa kesi ya Sabaya, Mkuu wa upelelezi amesema alipigiwa simu na aliyekuwa DC wa Arusha Kenani Kihongosi akiniarifu kuwa DC wa Hai ana watuhumiwa hapa Arusha hivyo nimpe ushirikiano. Mara baada ya kufika ofisini kwangu akiwa na watuhumiwa wawili niliambiwa hawa ni wahujumu uchumi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi wajitokeza kwa wingi kupokea chanjo ya Corona

    Zoezi la kuzindua chanjo kwa mkoa wa Arusha hatimaye limefanyika na wananchi kadhaa kuhudhuria tukio hilo lililofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha. Katika tukio hilo lililohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa mkoa ikiwepo kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa pamoja na...
  19. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua askari Arusha adaiwa kufa akijaribu kuwatoroka polisi

    Jambazi aliyemuua kwa kumkata mapanga Askari polisi, H.2407 Constable Damasi Magoti wa kituo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Jacob Kideko au Ramadhani Kichwa(43) Mkazi wa Makiba amefariki dunia katika jaribio la kuwatoroka polisi alipokuwa akisafirishwa jijini Arusha. Kwa mujibu wa...
  20. sekion27

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi ya uhasibu Arusha

    Nahitaji kazi ya uhasibu nipo Arusha, elimu yangu ni bachelor of accounting and finance nimemaliza 2019. Nina zoefu wa kutumia tally na kuandaa cash statement vizuri katika computer. Pia nina uzoefu wa kufanya marketing and sales. Nilikuwa nafanya biashara ila mambo yangu yameenda tofauti kwa...
Back
Top Bottom