arusha

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kulikoni utitiri wa shule za Chekechea Arusha mjini zisizokidhi vigezo? Mamlaka zitazame hili haraka sana

    Wakuu naombeni msaada kuhusu hii wizara ya elimu. Kuna mambo naona hayaendi sawasawa kuhusu hizi shule za chekechea/nursery. Mimi sio mwenyeji sana nimehamia Arusha majuzi tu nikabahatika kupita maeneo ya Sanawari kuanzia Sanawari ya chini mpaka ya juu nimekuta shule za chekechea ni nyingi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Job Vacancy at The School of St Jude

    The School of St Jude is looking for a Higher Education Scholarship Officer. What you’ll do Identify international scholarship opportunities that provide access to higher education to high-achieving, low-income students. Identify and build key relationships with international higher...
  3. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania RPC Kinondoni aliyemwambia Mbowe hachomoki ndiye alimwambia Lema hashindi Arusha

    Kumbe huyu RPC ambaye alimtolea maneno mabaya Mbowe kuwa "this time huchomoki tutakupiga na kesi ya ugaidi(kwa maneno ya John Mrema) "vile vile aliwahi kumwambia Lema akiwa RCO Arusha kuwa hatashinda uchaguzi kwa sababu yeye ni Kada. Maneno haya aliyasema ndugu Godbless Lema mbunge mstaafu...
  4. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi auawa kwa panga akijaribu kumkamata mwizi usiku nyumbani kwake

    Askari polisi katika kituo kidogo Cha polisi Mbughuni wilayani Arumeru, Mkoani hapa, ameuawa kwa kukatwa na panga kichwani wakati akijaribu kumkamata mtuhumiwa.wa wizi. Tukio hilo limetokea Jana majira ya saa tano usiku katika Kijiji Cha Makiba wakati Askari huyo( jina linahifadhiwa) alipoenda...
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania TANZIA Hidaya wa Pepe Kalle afariki dunia jijini Arusha

    Mwanamama maarufu na mrembo Hidaya Khamis Mtumwa almaarufu Hidaya wa Pepe Kalle amefariki Dunia leo asubuhi jijini Arusha, msiba upo nyumbani kwake Kaloleni. Hidaya alitamba miaka ya mwanzoni mwa 90 baada ya mkongwe wa mziki wa Rhumba Marehemu Pepe Kalle kumtungia wimbo wa kumsifia. Marehemu...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Shahidi kesi ya Sabaya, wenzake aenda kushiriki swala la Eid El Hajj, kesi yaahirishwa

    Kesi ya Sabaya? Ha ha ha! Anashinda mchana hivi anaondoka akionesha vidole viwili alama ya ushindi. Huku akiwa amewagaragaza waliomshtaki. Mbona inaonekana tu ipo wazi wala hata haihitaji Darubini kuangalia kesi inavyoelekea. ---- Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai ole Sabaya na...
  7. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania RC Mongela awashukia Wafanyabiashara waliogeuza Mkoa wa Arusha uchochoro wa bidhaa bandia

    Na Joseph Ngilisho ARUSHA MKUU wa Mkoa wa Arusha John Mongela ameagiza kuchukuliwa hatua Kali kwa wafanyabiashara wasiowaaminifu ambao bado wanaendekeza tabia ya kuingiza bidhaa bandia mkoani humo kwa lengo la kujipatia faida zaidi huku wakihatarisha Afya za walaji. Akiongea wakati akifungua...
  8. Sudysmile

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji katika shamba langu heka 10 mkoa wa Arusha

    Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation nahitaji mtu tutakayeingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja . Tunatumia diesel kujaza maji kwenye bwawa. Bwawa lina uwezo wa kuingia maji lita ml 1.2 maji yakatokea kwenye kisima mita 107. So...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Moto wasababisha familia kulala nje

    . Moto uliowaka kwa siku tano mfululizo katika nyumba iliyopo Kijiji cha Olovolosi wilayani Arumeru umesababisha wapangaji kulala nje ili kuokoa maisha yao. Mwenyekiti wa kijiji hicho, Emmanuel Losiyoni amesema moto huo ulianza Julai 7 na unaunguza nguo, magodoro na vyombo vya ndani tu. "Baada...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto afikishwa mahakamani kwa kumnyonga mwenzake

    Mtoto wa miaka 15 aliyekuwa akifanya kazi za ndani amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akikabiliwa na shtaka la mauaji ya mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu. Amefikishwa mahakamani leo Ijumaa Julai 9, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha huku...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Elishilia Kaaya amefariki dunia

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini Arusha.
  12. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Naona kuna kila dalili ya Prof Jay kutimkia CCM

    Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa mujibu wa Chadema ni moja ya watu waliotumika kuingiza mamlakani utwala dharimu wa CCM. Wakati...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ashikiliwa na Polisi kwa kumuua kaka yake kwa kumzuia kumwingilia shemeji yake kimwili

    Jeshi la polisi mkoani Arusha linamshikilia Melita Ndaletyan, mfugaji na mkazi wa Noondoto wilayani Longido, baada ya kumuuwa kwa kumkata na kitu chenye ncha kali shingoni Kaka yake Kiseri Ndaletyan, baada ya mtuhumiwa kuzuiliwa kumuingilia kimwili mke wa kaka yake huyo. ==== Mwanaume...
  14. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Arusha kama mji wetu mkuu wa kitalii una Hoteli yoyote inayomilikiwa na brand kubwa?

    eti, ni hoteli gani Arusha inamilikiwa na franchise kubwa ya hoteli? brands kama Serena, Sheraton, Kempinski, Hyatt nk, ipo?
  15. fatherhood

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa nauli ya basi kutoaka Dar es Salaam - Arusha

    Kama heading above inavyojieleza nahitaji kujua nauli ya kwenda Arusha. Mimi natokea Dar es salaam kwenda Arusha. Nahitaji kujua bei zote za luxury na normal.
  16. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mgogoro wa ardhi baina ya kanisa la Christ Synagogue Ministries na mjane yaunguruma Arusha

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru imeahirishwa hadi Agosti 11 mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba la wilaya ya...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aliyemnyonga mtoto wa mwaka mmoja Arusha asema sio tukio lake la kwanza

    TUKIO la mtoto wa mwaka mmoja na nusu kudaiwa kunyongwa hadi kufa na msichana wa kazi limechukua sura mpya baada kuhusishwa na imani za kishirikina huku ikidaiwa kuwa ni tukio lake la tatu. Wakizungumza jana na Nipashe kwa nyakati tofauti, majirani wa eneo la tukio walizungumzia mazingira ya...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mtoto anyongwa na Mfanyakazi wa ndani

    Mtoto wa mwaka mmoja, Tifan Osward wa Olasiti Arusha amenyongwa na msaidizi wa kazi za ndani aliyeajiriwa miezi miwili iliyopita. Msaidizi huyo ambaye ametokea Mkoa wa Mara aliajiriwa na wazazi wa mtoto huyo miezi miwili iliyopita. ACP Justine Masejo, Kamanda wa Polisi Arusha amesema tukio...
  19. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Elisaria Pallangyo ni nani? Je, anafaa kuwa DC wa Arumeru?

    Habari Wakuu, Watu wa Arusha inaonekana bado wanamhitaji sana Jerry Muro. Nimepitia Kwenye blog moja hivi kuna habari nimesoma watu wa Arusha wanaomba Jerry Muro arudi Arusha awe Mkuu wa Mkoa. Lakin I piia nimeona Nina LA MTU mmoja anayefahamika kwa jina LA Elisaria Pallngyo ambaye watu Wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Canter ya kubebea mizigo yangu kwa wiki Tsh. 200,000 Arusha

    Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu. Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Back
Top Bottom