Nipo Arusha natafuta kazi yoyote

Darucha

Member
Dec 28, 2020
98
150
Kama wahenga walivyosema kwenye miti huwa hapakosi wajenzi Mimi ni kijana umri wangu miaka 25 natafuta kazi jamani ya Aina yoyote elimu yangu ni kidato Cha sita ni kijana muaminifu na mtiifu pia jamani nataka kufungua ukurasa mpya kwenye maisha yangu ukweli ni kwamba.

Nilikuwa kwenye moja ya chuo hapa Arusha ila kutokana na matatizo ya Ada nimehairisha masomo yangu na nguvu zangu nataka niziweke kwenye baadaye yangu nyingine sichagui kazi nitafanya kazi yoyote naombaeni mnisaidie jamani au mnipe connection sehemu ambayo naweza kuupata kazi sitawaangusha jamani nitaonesha uaminifu wangu na uchapakazi wangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom