arusha

  1. Wafanyabiashara wa malori ya mizigo wamekuwa kero kwa abiria Stendi ya Kilombero

    Kituo cha magari madogo ya abiria Kilichopo kilombero jijini Arusha maarufu kama stand ya Kilombero kimezidiwa na wingi wa shughuli nyingi za kiuchumi hususani biashara tofauti na Lengo kuu la kituo hicho cha daladala. Kituo hicho ndio kitovu cha daladala karibu zote zinazoelekea sehemu...
  2. M

    Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

    Maandamano hayo yaliongozwa na viongozi wa dini, na wananchi walijitokeza kwa wingi kupinga matendo ya mapenzi ya jinsia moja. Hali hii imetokana na baada ya vikundi vya kutetea mapenzi ya jinsia moja duniani kuzidisha kasi na msukumo wa kuhalalisha matendo hayo. Tuliona presha nchi ya Qatar...
  3. K

    Rais Samia amualika nabii mkuu Geodavie Ikulu ndogo ya Arusha na kumpongeza

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa kutoa milion 100 pale Samunge. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kanisani kwake jana, Nabii mkuu...
  4. AUWASA Arusha mnakata maji bila taarifa

    AUWASA jiji la Arusha kwakweli mnaenda kinyume na kauli mbiu ya Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan. Leo tumesikiliza hoja za manaibu waziri pamoj Raisi pale USA - River na alituhakikishia suala la kumtua mama ndoo kichwani lakini cha kushangaza hata wenye mabomba mjini Arusha hawana maji...
  5. Zaytun Swai amuomba Rais Samia mashamba yafufuliwe ili kuinua uchumi wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AMUOMBA RAIS SAMIA MASHAMBA YAFUFULIWE ILI KUINUA UCHUMI WA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum CCM - Arusha na Mjumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge Mhe. Zaytun Swai amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufufua Mashamba ya Maua na...
  6. M

    Maafisa usafirishaji (Bodaboda) wakimsindikiza Rais Samia Arusha

    Msafara wa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa Jijini Arusha wakisindikiza Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akielekea Usa River kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri Chanzo: Ikulu
  7. Lema amuomba Rais Samia kurejesha biashara ya Tanzanite Arusha

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu kurejesha biashara ya madini ya Tanzanite ili ifanyike katika Jiji Arusha. Lema amesema hayo leo Machi 4, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa lengo ni kukuza uchumi, ajira na...
  8. WanaCCM Arusha wamtaka Mrisho Gambo naye aitishe mkutano wa hadhara kujibu mapigo ya Lema

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa, Arusha kumekucha upya baada ya Godbless Lema kutua nchini na kulitikisa jiji lolote la Arusha kwa kishindo cha mapokezi, shamrashara mitaani na mkutano mkubwa wa hadhara. Sasa makundi mbalimbali ya wanaCCM yameamua kupiga kelele kwa mbunge wa Jimbo la Arusha mjini...
  9. Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

    Hello! Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana. Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa? Nyie wafuasi wa CHADEMA...
  10. Nini umuhimu wa semina ya viongozi inayofanyika Arusha?

    Wakati wananchi wakiendelea kuteseka na kupanda kwa bei za bidhaa mbalimbali pamoja na gharama za maisha kiujumla, inasikitisha kuona jicho la serikali linazidi kuelekea katika matumizi ya hovyo ya fedha za umma. Mpaka kiongozi anateuliwa, maana yake anafahamu majukumu ya kiuongozi na mambo...
  11. R

    Arusha wanataka Roma Mkatoliki arudi nchini. Je, atakubali kurejea?

    Baada ya Lema kupata mapokezi makubwa Arusha nimependezwa na Kauli ya wananchi wa Arusha kutaka Roma arejee home. Ikumbukwe Roma siyo mkazi wa Arusha Bali ni Mtanzania aliyetoroka nchi. Wananchi wa Hali ya chini wanamkumbuka Roma na kumwombea usalama arejee nyumbani lakini wasanii wenzake...
  12. DOKEZO Arusha: Kituo kikuu cha Mabasi ya kwenda mikoani chawa kero kwa watumiaji wake, hakilingani na hadhi ya jiji

    Kituo kikuu cha mabasi ya kwenda mikoani kilichopo jijini Arusha kimekuwa kero kwa watumiaji wake kutokana na adha mbalimbali zinazowakabili abiria pamoja na wanaowasindikiza. Kituo hicho kikuu cha mabasi kipo hapo tangu uhuru hadi na sasa kitu ambacho hakiendani na hadhi ya leo hii kutokana...
  13. Mbunge Zaytun Swai akemea vitendo vya ukatili wa kijinsia - Mkoa wa Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Mhe. Zaytun Swai ametoa salamu za pongezi kwa WanaCCM katika hafla ya kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa Ndugu Halima Mamuya. Mhe. Zaytun Swai amempongeza Ndugu Halima Mamuya na amesema ni heshima kubwa kwa wanawake wa Tanzania na...
  14. Kamishna Jenerali wa Magereza akabidhiwa Detention Centre na ICTR Arusha

    Hii imefanyika Feb 23,2023. International Criminal Tribunal for Rwanda ambayo imemaliza kazi yake, imekabidhi Detention Centre kwa Kamishna Jenerali, kuitumia anavyopenda. Ni Detention Centre ya watu mia moja(100). Kila chumba kina choo. Lipo jiko pale. Haiitwi jela. Inaitwa Detention...
  15. Kumpokea Lema mkoani Arusha imekuwa ni Biashara kwa CHADEMA? Hii Michango ya nini?

    Tumesikia na kuona maandalizi ya Kumpokea Lema ambae kwa utashi wake aliamua kwenda kuishi huko Canada. Lema ameamua kurudi kwa sababu anazojua yeye huenda huko alipo wememchoka n.k. lema ameamua kurudi kwa style ya aina yake ya kupatiwa mapokezi. Sina tabu na yote hayo, tabu yangu ni kwa nn...
  16. Idara ya maji Arusha, hawapo makini katika utendaji wao wa kazi

    Idara ya maji Arusha, hawapo makini katika utendaji wao wa kazi na pia hawajali wateja wao, wanacho juwa ni kusoma meta za maji na kutuma bili, hiii siyo sawa. 1: Maji ya arusha Kwa sasa ya Latha ya chumvi niliwapigia simu na kusema watafanyia kazi Hadi Leo ni kimya 2: Bomba limepasuka hii ni...
  17. M

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
  18. Mafuru adai heshima ya AICC ilipotea, atairejesha upya

    MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Ephraim Mafuru ameahidi kufanya kazi kwa bidii, ili kurudisha heshima iliyopotea ya kituo hicho. Mafuru ameyasema hayo leo mbele ya waandishi wa habari wakati akiripoti kwenye kituo chake kipya cha kazi na kusisitiza...
  19. Askari Polisi sita wafukuzwa kazi Arusha

    JESHI la Polisi Mkoani Arusha limewafukuza kazi askari wake sita katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya jeshi hilo. Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake jana,bila kuwataja majina ya askari hao, Kamanda wa polisi mkoani...
  20. Vijana wa Arusha acheni ushamba na ujinga

    Kiukweli hapo awali nilikuwa nikijua kuwa vijana wa Kisukuma ni washamba, kiukweli ni washamba lakini uzuri wao wanapenda kuelekezwa na kujifunza na kujikubali pia. Lakini sasa katika uchunguzi wangu nimekuja kugundua vijana wa Arusha ndio washamba na ni wajinga zaidi kwa sababu; 1. Ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…