Natafta kazi yeyote halali Niko mkoa wa Arusha

fanako

Member
Oct 28, 2022
22
20
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, naishi mkoa wa Arusha ,elimu yangu ni kidato cha nne, naomba mwenye kazi yoyote kama kichwa cha habari nilivyo andika anisaidie, nna uzoefu mzuri katika kazi za jikoni kwa upishi wa vyakula mbalimbali ikiwa ni pamoja na usafi wa jikoni unahusika pamoja na vyombo, pia nna uwezo wa kufanya kazi za Lodge, campsite katika usafi wa kila aina

Mapokezi na pia hata usimamizi mzuri wa Lodge yako uwezo nnao maana najua good customer care/business language inahusika
Mawasiliano yangu ni 0621703000
 
Back
Top Bottom