Mwenye wazo la biashara Arusha kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) aje hapa

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,013
Kama upo Arusha na una wazo la biashara kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) ila huna mtaji niandikie meseji inayoelezea wazo lako kisha tuma kwenda namba 0768174862. Nitatoa mitaji kwa mawazo nitakayoona yanatekelezeka na kwa masharti tutakayokubaliana.

Karibuni.
 
Kama upo Arusha na una wazo la biashara kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) ila huna mtaji niandikie meseji inayoelezea wazo lako kisha tuma kwenda namba 0768174862. Nitatoa mitaji kwa mawazo nitakayoona yanatekelezeka na kwa masharti tutakayokubaliana. Karibuni
Kwa chugga labda bange......
 
Kama upo Arusha na una wazo la biashara kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) ila huna mtaji niandikie meseji inayoelezea wazo lako kisha tuma kwenda namba 0768174862. Nitatoa mitaji kwa mawazo nitakayoona yanatekelezeka na kwa masharti tutakayokubaliana. Karibuni
Unaomba kama unaombwa au vipi bhana
 
Biashara nyingi za mitaji midogo, huwa ni za kujiaibisha,lazima ujitoe ufahamu ili ufanye, mfano; kuchoma mahindi, kutembeza kahawa, mboga mboga, kuzibua vyoo n.k
 
Kila la heri kwa wenye idea ila dah, elfu hamsini halafu iwe tena partnership.
 
Back
Top Bottom