Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha iliendesha operesheni maalum ya kuwasaka watu wanaojihusisha na uzalishaji wa dawa bandia ambapo mamlaka hiyo imefanikiwa kubaini kiwanda bubu ambacho kinatengeneza dawa bandia za mifugo...
Chama cha Mapinduzi kimefanya Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kilijadili hali ya Kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama
Aidha, kimefanya uteuzi wa Mwisho wa Wagombea wa nafasi za Uongozi ndani ya Chama kwa ngazi ya Mkoa na Wilaya ili...
EPISODE 2
Hifadhi hii ina vivutio vingi vyenye upekee wake vyenye kukufanya ubaki na kumbukumbu zisizofutika.
ZIWA MOMELLA
Ndani ya hifadhi ya taifa Arusha kuna mgawanyiko wa maziwa makuu mawili. Hakuna mito inayopeleka maji kwenye maziwa hayo bali huingiza maji kutoka chini ya ardhi.
1...
YALIYOJIFICHA JUU YA HISTORIA YA HIFADHI YA TAIFA ARUSHA NA MAAJABU YA VIVUTIO VYAKE.
EPISODE 1
Hifadhi ya taifa Arusha inapatikana kaskazini mwa Tanzania ndani ya mkoa wa Arusha. Ni hifadhi inayokadiriwa kuwa na kilomita za mraba zisizopungua 500 sq. km. Huchukua takribani dakika 45 kuifikia...
Shule ya Arusha primary ni moja kati ya shule kongwe sana nchini Tanzania zinazofundisha kwa lugha ya kiingereza. Ilianza rasmi mwaka 1932.
Shule hii ambayo kwa sasa ipo chini ya Jiji , miezi ya karibuni imekuwa na mabadiliko mazuri ya kitaaluma, na kiutendaji, chini ya mwalimu mkuu Ridhiwan...
Mzaramo Abdallah Pazi maarufu kama Dullah Mbabe anapigana na Mcongo, Erick Katompa katika pambano la Uzito wa Super Middleweight Mkoani Arusha
Wawili hao waliwahi kukutana Oktoba 1, 2021 ndani ya Viwanja vya PTA pale Sabasaba Jijini Dar es Salaam ambapo Katompa alimtwanga Dullah Mbabe...
Matukio mbalimbali katika Mkutano wa Ndani Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Ngurdoto Mkoani Arusha, tarehe 24 Novemba, 2023.
Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Arusha.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kujifanya maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutapeli wananchi katika maeneo tofauti tofauti Mkoani humo.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoani...
Niwe wazi na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Serikali imeshindwa kujenga Kwa kiwango cha kimataifa barabara kutoka Tengeru kwenda Moshi mjini?
Sasa imeanza kuziba viraka barabara yote hiyo tena bila aibu!
Tanroads wamelala usingizi.
Samia anagawa hela kwenye Mchezo.
Barabara hiyo...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela (katikati), akiwasili katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha yanapofanyika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kauli mbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”. Kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa...
Habari wakuu,
Natafuta dalali yeyote wa kunitaftia frame Arusha, maeneo ya mjini kama Standkuu, kkoo, chini ya mti, jogoo, stand ndogo, Mnazi Mmoja...nk.
Kwa yeyote mwenye connection tuchekiane DM au share namba hapa.
Natanguliza shukrani
Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti mkoani Arusha kufuatilia utekelezaji wa miradi ya umwagiliaji kwenye mashamba ya utafiti- TARI na Mashamba ya Uzalishaji wa Mbegu- ASA.
Pia, Ziara ya Kamati ya Bunge ya Bajeti ilifika kwenye shamba la Mbegu Kilimi Nzega, Tabora kufuatilia utekelezaji za mradi...
Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni
Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai...
Hasahasa maeneo ya Arusha Mjini, usipokua makini unaweza gongwa na bajaji kwa kushangaa wanawake.
Wanawake wengi huku Arusha wana makalio makubwa yenye shepu nzuri balaaa, miguu ya bia ilionona daah, huwa saa nyingine nakutana na pisi, naishia tu kuguna kwa tamaa!
Position: Part-Time Teaching Assistant
Due to expansion, we are looking for an additional part-time teaching assistant. (Working hours; Monday to Friday 7.45am -12.45pm).
You must have a Tanzanian teaching certificate or diploma and have a minimum of 2 years teaching experience with 2-5 year...
Hawa ni watu wa wapi?
Nilijaribu kufatilia wameru ni kweli wanasikilizana na wamachame wapo tofaauti na wachaga, nadhani ni ni wamasai walioamua kuhamia Machame, hupenda kubeba visu na pia kibiashara bado wana mwamko mdogo.
Kwa Mwarusha nae naona wanatahiri kama wamasai na kuna fimbo za bomani...
Habari wakuu humu ndani.
Tangu asubuhi wamekata huduma yao mitaa ya nane nane, jioni wakurudisha dakika 5 wamepita nao hadi muda huu lakini mitaa mingine umeme bado wanao.
Ni utaratibu upi unatumika kwenye migawo au hadi na sisi tumsubili Mwenezi akizuru Arusha tumpe kero zetu kuu?
Jiji la Arusha linahitaji bajeti kubwa sana ili kujenga barabara hasa za mitaani
Hii ni kutokana na aina ya ardhi ili ujenge barabara ni lazima uhamishe ule udongo wa eneo husika na kuleta udongo ule mgumu,
ikifika kiangazi vumbi ikifika masika ndo balaa zaidi.
Sina uzoefu na gharama za...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameripoti kwenye kituo Kikuu cha Polisi Arusha Mjini , kwa ajili ya kuendelea kutoa maelezo kutokana na kile kinachoitwa kufanya mikutano bila Kibali huko Ngorongoro Mwezi septemba .
Ameambatana na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama Chake .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.