arusha

  1. S

    JamiiForums Tanzania CPA Habibu Suluo LATRA Mkoa wa Arusha wako juu yako? Daladala za Kikatiti na King'ori zinageuzia Maji ya Chai

    Mkurugenzi mkuu wa LATRA unataka tutumie lugha ipi ili uelewe kuwa abiria tunaosafiri kutoka Arusha mjini kwenda Kikatiti ja King'ori tunashushwa Maji ya Chai wakati magari yana vibao vimeandikwa Kikatiti na mengine King'ori. Mnasubiri mpaka wananchi wajichukulie sheria mkononi? Tumechoka na huu...
  2. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Hoteli za Kitalii Arusha Nyingi Hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni

    Arusha ni jiji la kitalii, na wageni wengi hufika kila siku kwa shughuli za kitalii, lakini malalamiko ni mengi kuwa Hoteli Nyingi za kitalii hazijakidhi Hadhi ya Kuhudumia Wageni, Mamlaka husika ya mambo ya kitalii na MaHoteli mnatumia vigezo gani kutoa vibali? Pia bila kusahau TANESCO...
  3. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Arusha: Naomba kujuzwa yalipo Maduka ya Laptop

    Habari wana-JF, Kwa wale wakazi na wenyeji wa Jiji la Arusha naomba mnipe taarifa kuhusu maduka yanayouza laptop used & refurbished nzuri. Nimeangalia online nimepata maduka kadhaa ila nataka kupata na mapendekezo kwa watu ambao mnajua maduka mengine.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Polisi watambua waliotoa huduma bora kwa Wananchi Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha katika kuhakikisha linaboresha huduma bora kwa Wananchi limeendelea kuwatambua na kuwapongeza Askari wa Jeshi hilo wanaofanya kazi vizuri zaidi ya kuhudumia wananchi Mkoani humo. Akitoa vyeti vya Pongezi kwa Askari hao katika siku ya ‘Police Day’ leo Januari 26...
  5. S

    JamiiForums Tanzania LATRA Mkoa wa Arusha haya mateso ya usafiri wa King'ori na Kikatiti yataisha lini? Daladala zinaishia Maji ya Chai. Abiria wanateseka

    Kuna daladala zimepewa leseni za kusafirisha abiria kutokea maeneo yafuatayo; 1. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kiong'ori 2. Oldonyosambu, Monduli, Morombo, Intel, Kisongo kupitia stand ndogo kwenda Kikatiti Haya magari kwanza hayaanzii safari sehemu...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Various Posts at Arusha International Conference Centre (AICC) January, 2024

    1. Position: Medical Officer II – 4 Posts Employer: Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To attend in and out patients. ii. To attend emergency medical duties. iii. To carry out investigations of admitted patients. iv. To ensure that prescribed...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Sales Executive at Tabono Consult January, 2024

    Position: Sales Executive Work Location (primary): Arusha, Tanzania Job Type: Contract Based Duties and Responsibilities: Market and sell company capabilities in terms of products and services to existing customers and prospects, works with the sales manager to develop new customers, and...
  8. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Makonda Arusha ulidoda

    Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli, Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana. CCM kwakujua Makonda si lolote si chochote walikimbia uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kufanya mkutano Soko la...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli za Makonda huko Kilimanjaro, Tanga na Arusha: Je, anaona waliopo wanapwaya?

    Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM. Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. Bashite inasemekana amekuwa na kauli zisizo safi masikioni, be it kwa wadogo ama wakubwa zake...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi, Walimu na Wanafunzi kuanzisha club za kupambana na uhalifu shuleni

    Mkaguzi wa kata ya Mkundi Mkoani Morogoro Mkaguzi msaidizi wa Polisi A/INSP Anna Manumbu amebainisha kuwa Jeshi hilo kwa kushirikiana walimu na wanafunzi wanaunda club za kupambana na uhalifu mashuleni ambazo zitaongeza kasi ya kupambana na uhalifu na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia...
  11. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania AKIBOA vs Madereva Moshi Arusha Ngoma nzito

    Madereva wanaoendesha mabasi kati ya Arusha na Moshi wameibua tuhuma nzito juu ya viongozi wa chama cha wasafrishaji Moshi Arusha (AKIBOA) kwamba wanawatoza sh. 2,000 kila wanapopakia Abiria . Kwamba fedha hizo hawajui zinapelekwa wapi na hawapewi stakabadhi ya malipo. Tuhuma hizo zipo kwenye...
  12. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Changamoto zifuatazo zipo Ofisi za uhamiaji Arusha

    Hapo vipi, Kwanza niseme ngozi nyeusi chini ya hii sayari ndio race inayongoza kufanya vibaya Duniani kwa sababu kadha wa kadha. Nije kwenye mada husika, kiukweli Migration ya Arusha inatia aibu kubwa sana. Kwanza, wale watu wa mapokezi wana kauli chafu sana kwa watu wanaokuja kushughilikia...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Various Posts at Arusha International Conference Centre (AICC) January, 2024

    VACANCY ANNOUNCEMENT Ref.No.JA.9/259/01/A/466 1.0 BACKGROUND INFORMATION On behalf of The Arusha International Conference Centre (AICC), Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) invites dynamic, proactive, experienced and suitable qualified Tanzanians to fill two (2) vacancies; post of...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa. TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Asema uhalifu Arusha umepungua, awaomba Wastaafu kuwa mabalozi Wazuri uraiani

    Mwenyekiti wa Usalama Wilaya ya Arusha Mjini ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Ndugu Felician Mtahengerwa amesema uhalifu umepungua kwa kiasi kikubwa Jijini humo kutokana na kazi kubwa inayoendelea kufanywa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama. Mkuu huyo...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LATRA yakamata mabasi yanayochezea mifumo ya usalama Mkoani Arusha

    Baadhi ya wahusika wa mabasi ya abiria wanaochezea mifumo ya usalama na mwendo katika mabasi wamenaswa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Mkoa wa Arusha. Afisa Mfawidhi wa LATRA Mkoa wa Arusha, Joseph Michael ameongoza zoezi la ukaguzi katika maeneo tofauti katika maegesho ya magari...
  17. Jugado

    JamiiForums Tanzania Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

    Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani.... Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe...
  18. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Chumba, Sebule, Choo na Jiko Arusha Moshono mpaka Siara nahitaji.

    Wadau habari zenu. Nahitaji nyumba tajwa hapo juu kwa budget ya 150k mpaka 180k iwe ndani ya fence luku ya kujitegemea tafadhali. Ikiwa kuanzia Moshono Corner/Kilimani mpaka Siara itapendeza zaidi. Natanguliza shukran kwenu.
  19. S

    JamiiForums Tanzania KERO LATRA Arusha ni kichefuchefu: Nauli mpya za daladala wananchi tunapigwa sana

    Suluo mkurungenzi mkuu binafsi nakuamini, pale Arusha kuna mabasi yameandikwa Oldonyosambu-King'ori via stand ndogo, Intel-Kikatiti-via stand ndogo na kadhalikq maana vituo viko viko vingi. Mh. Suluo ukweli ni kwamba hakuna anayeshimu hiyo ratiba. Hakuna basi linaanzia huko yote yanaanzia...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Shule za serikali za wasichana Arusha

    Nahitaji kumhamishia binti yangu toka shule ya kutwa kwenda ya Bweni chaguo la haraka ni shule za Mkoani Arusha. Naomba wadau mnijuze shule nzuri za wasichana za Serikali za bweni zilizoko Arusha Ahsanteni
Back
Top Bottom