Jiji la Arusha inaonekana bora zaidi bila daladala

morees

JF-Expert Member
Apr 21, 2019
288
612
Leo hii nimebahatika kupita jijini hapa na kushuhudia hali ya jiji hili bila ya kuwepo daladala.

Mbali na adha wanayopata raia wanaotumia usafiri huu wa ndani. Mji umekuwa nadhifu na wa kupendeza sana. Jam zimepungua lakini pia makelele na vurugu za daladala.

Ni wakati sasa wa mamlaka kufikiria kuondoa kabisa usafiri huu ulio pitwa na wakati.
 
Back
Top Bottom