A
Anonymous
Guest
Merchandising executive kwa jina la Perumal aliyepo kiwanda cha A to Z katika kampuni ya Red Earth amekuwa na tabia endelevu ya kuwatukana, kuwabagua, kuwadhalilisha na kuwaonea watanzania wanaofanya kazi katika ofisi ya merchandising kiwandani hapo.
Malalamiko hayo yalipelekwa kwa uongozi wa kiwanda lakini hakuna hatua zilizochukuliwa dhidi yake badala yake wale walio peleka taarifa kwa uongozi wakafukuzwa kazi, Perumal amekuwa ni Tatizo sugu kiwandani hapo na alifikia hatua ya kusema serikali ya Tanzania ni dhaifu hawezi kufanywa chochote.
Tunaomba uongozi wa Mkoa wa Arusha na ofisi za kazi mkoa wa Arusha wafike kiwandani hapo kuwahoji wafanyakazi juu ya tabia za mtu huyo lakini pia wawatafuta wale waliokuwa wanafanya kazi ofisini hapo waliofukuzwa baada ya kupeleka barua ya malalamiko kwa uongozi wa kiwanda kwa ajili ya kuwahoji na watawasaidia maelezo na email walizowatumia uongozi.
Tusaidiane kupaza sauti kukemea uonevu maeneo ya kazi na kuifanya Tanzania salama.