arusha

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aagiza timu ya Wataalamu kuchunguza madai ya maji yenye uchafu Sombetini Arusha

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com ambaye ni Mkazi wa Sombetini kusema kuwa kuna changamoto ya maji yasiyo salama kutoka kwenye mabomba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA), hali ambayo ilikuwepo kwa miezi kadhaa nyuma na sasa imejirudia na kuwasababishia Magonjwa ya Tumbo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha apiga marufu upigaji wa fataki kusherekea Mwaka Mpya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kama ilivyo desturi tunapoelekea kufunga mwaka, kunakuwa na shamrashamra za Wananchi kufurahia kumaliza mwaka wakiwa salama na kuingia mwaka mpya. Jeshi hilo limewataka Wananchi washerehekee kwa amani na utulivu sikukuu hiyo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Jeshi la Polisi lawafutia madaraja Madereva 776 kwa kukosa sifa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama. limeendela kuimarisha ulinzi na usalama hali iliyopelekea kupunguza vitendo vya uhalifu katika Mkoa huu. Sambamba na hilo katika kuhakikisha lina dhibiti ajali za barabarani, hivi karibuni Jeshi la Polisi...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha yaahidi kuulinda mkoa Kidijitali, Wananchi waombwa kutumia fursa hiyo

    Jeshi la Polisi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linakwenda na mifumo ya kisasa na mabadiliko ya kitekinolojia ikizingatiwa mji huo ni kitovu cha utalii hapa nchini huku Mkoa huo ukipokea wageni wengi kutoka ndani ya nchi na mataifa mengine ambapo umeamua kuja na mfumo mpya...
  5. Architect E.M

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa Airtel Arusha Internet haina 4G

    Yaani Airtel ni kero kweli. Mtandao mkubwa namna hii mji mzima internet iko 2G? Hata hapa napost kwa shida. Kupiga huduma kwa wateja, ni mlolongo wa maelezo recorded na huwezi kupata direct access ya mtoa huduma. Ni kero juu ya kero. Kama mmeshindwa kazi semeni tuhame.
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Arusha laelezea lilivyojipanga kwa ulinzi Sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya 2024

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama linaendelea kuimarisha ulinzi ambapo limebainisha kuelekea Sikukuu za Krismasi na mwaka mpya (2024) litahakikisha sikukuu hizo zinasherekewa kwa amani na utulivu hasa ikizingatiwa kuwa Mkoa huo...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi, LATRA wapiga faini mabasi yaliyozidisha nauli Arusha

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) wamefanya ukaguzi wa kushtukiza ili kubaini kama Wananchi wanalipa nauli halali zilizotangazwa na Serikali mapema mwezi huu ambapo wamebaini baadhi ya wamiliki na mawakala...
  8. Bobldi

    JamiiForums Tanzania Plot for sale Arusha njiro

    Kiwanja kiza uzwa Arusha njiro mkono kina Square meter 1080 kipo karibu na barabara na huduma zote zaki jamii kwa mawasiliano zaidi tupigie 0623869717
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Akagua Eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Jijini Arusha

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth ambalo litajengwa uwanja mpya wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji Elfu thelathini utakaotumika katika michuano ya AFCON 2027. Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekagua eneo hilo Desemba 15...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa 3,520 wakamatwa na Mifugo 8,970 nchini

    Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo nchini limesema kwa kipindi cha mwezi januari mpaka novemba mwaka huu limefanikiwa kukamata mifugo 8970 iliyokuwa imeibiwa maeneo mbalimbali hapa nchini kati ya mifugo 15065 maeneo mbali mbali hapa nchini. Akitoa taarifa hiyo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa Arusha: Rais Samia tusaidie Jiji la Arusha ni chafu

    Maoni ya Mkazi wa Arusha kuhusu mazingira ya Jiji hilo na kero nyingine mbalimbali.
  12. Execute

    JamiiForums Tanzania Matukio ya kulipua mabomu kule Arusha yaliisha baada ya hawa mashehe wanaohukumiwa sasa kukamatwa

    Naipongeza mahakama kwa kuwatia hatiani hawa wapuuzi walioua na kujeruhi wengine kwasababu ya itikadi za kipumbavu. Mtu yeyote atakayefundisha kama yule marehemu ilunga anapaswa kushughulikiwa mapema kabla hayajatokea maafa kama yale ya arusha na zanzibar.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa na Serikali kwa zaidi ya miaka kumi katika Gereza Kuu la Kisonge Mkoani Arusha. Masheikh hao...
  14. Darwin 9

    JamiiForums Tanzania Rais Samia jenga barabara ya njia nane Dar to Mwanza, Morogoro to Mbeya, Dar to Arusha

    Mheshimiwa Rais samahani sana, na pole na majukumu yako mama. Sisi WaTanzania ambao kwa bahati mbaya tumewai kufanikiwa kutoka nje ya nchi hii kiukweli roho imekua ikituuma kuona vi nchi vidogo ambavyo vingine havitufikii kwa rasilimali na utajiri tulio nao, et navyo vina barabara bora na kubwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Makame Mbarawa - Upanuzi wa Airport za Arusha, Lindi, Mwanza pia mwekezaji gati namba 8 bandari ya DSM apatikana

    08 December 2023 Arusha, Tanzania 16th Joint Transport Sector Review Meeting Hayo yamejiri leo katika mkutano wa 16 unaohusisha wadau wa sekta ya Uchukuzi ukiotayarishwa kwa pamoja baina ya Wizara ya Uchukuzi kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Tawala wa Mikoa na serikali za mitaa ( TAMISEMI /...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TPF NET Arusha yasema elimu zaidi itamaliza vitendo vya ukatili

    Mtaandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha umesema elimu Zaidi itasaidia kuibadilisha jamii ya watanzania katika kukabiliana na vitendo vya ukatili vinavyotokea katika maeneo tofauti tofauti huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa elimu ili kubadilisha fikra potofu kwa wananchi. Kauli hiyo...
  17. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani kwa Moshi au Arusha naweza safirisha nayo mzigo kwenda Marekani?

    Habari wanajukwaa mko salama? Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake. Natanguliza shukuran.👏
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi (TPF-NET) Arusha yawaonya Jamii za Kifugaji zinazoendelea na Ukatili kwa Watoto na Wanawake

    Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha kuelekea Siku 16 za kupinga ukatili umeendelea na kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ambapo wametoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa jamii za kifugaji kata ya Lengijave wilaya ya Arumeru Mkao wa Arusha na kuwaonya baadhi ya wananchi wa jamii ya kifugaji...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Sabaya Senior (Loy Sabaya) apata Ushindi wa Kishindo Uenyekiti CCM Arusha

    Usiyempenda kaja. --- Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo. Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
  20. MAranatha7

    JamiiForums Tanzania Kwako Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro: Ajali imefunga mawasiliano kati ya Arusha na Kilimanjaro, saidia kufungua barabara maana Askari wako wamelala

    Kumetokea ajali ya lori la futi 40 katikati ya daraja kubwa na hatari la mto Kikafu tangu saa 4 usiku, raia wamejitolea kuleta winch ndogo na kufanikiwa kutoa kichwa cha lori lkn kontena limebaki barabarani na kufunga barabara 75%. Magari toka Kenya, Manyara na Arusha yamekwama na yanayouokea...
Back
Top Bottom