arusha

  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Arusha: Tawa yakabidhiwa rasmi mashamba ya Lente, Loldebes na Amani Wilayani Monduli

    SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Oktoba 3, 2023 imekabidhi rasmi mashamba ya Lente, Loldebes na Amani yaliyopo wilaya ya Monduli Mkoani Arusha kutoka kwa Msajili wa Hazina na kwenda kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kwa ajili ya shughuli za uhifadhi na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Serikali inapambana na Wamasai kutoka Arusha kwenda pwani na Morogoro; hakuna kabila linalopitia magumu haya

    Masai amejionea rangi zote; kila anapokwenda anaambiwa kaa mbali waache wawekezaji. Amechapwa huko Ngorongoro, Manyara, Pwani na sasa huko Morogoro. Hawa jamaa hadi unawaonea huruma kwa namna wanavyopitia wakati mgumu. Kibaya zaidi viongozi wao wamekaa kimya wasisulubiwe. Sijui...
  3. Kitchener

    JamiiForums Tanzania viwanja vya Dodoma & Arusha vijengwe kwa AFCON

    Naishauri serikali ijenge viwanja hivi haraka iwezekanavyo, kwa ajili ya kugombania michezo ya AFCON 2027. Kenya wanajenga viwanja vyao vizuri sana na kuna uwezekano michezo mingi ikachezwa kule kama hatutachangamka. Dodoma wajenge uwanja hata wa watu 30,000 tu, na Arusha 30,000. tukimaliza...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima tengua uamuzi wako wa kuunga mkono sheria ya maadili Arusha, hili ni bomu unatengeneza

    Moja kwa moja kwenye mada, Uongozi wa Kijiji Arumeru, Mkoa wa Arusha ulipitisha sheria ndogondogo za kukuza maadili baada ya matukio ya vijana kuuawa kwa makosa ya kuiba na mmomonyoko wa maadili ikiwemo kunyoa viduku na kuvaa vimini ndio sababu! Waziri Dkt. Gwajima D uko serious kabisa ku...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mdada anaejiuza Shivaz Arusha, kakutwa amenyongwa gesti

    Hii habari nimeiona Millard Ayo, wazee baada ya hili tukio Shivaz, kuna usalama kweli sasa hivi hapo, si patakuwa panawaka moto. Doria za 24 hours za polisi plus malaya wengine kuhama hiyo sehemu Inakuaje unamnyonga mtu halafu unakimbia, story doesn't add up. --- Wakizungumzia tukio hilo...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ukikutwa umevaa Suruali ya kubana, Sketi fupi Faini Tsh. 50,000

    Kutokana na kuporomoka kwa maadili hasa kwa vijana katika maeneo mengi nchini, uongozi wa Kijiji cha Olevolosi, Kata ya Kimnyaki wilayani Arumeru, Mkoa wa Arusha umeweka sheria ndogo mbalimbali na kupitishwa na mkutano mkuu wa kijiji. Miongoni mwa yaliyopitishwa ni pamoja na kupiga marufuku...
  7. F

    JamiiForums Tanzania The Hexagon Arusha Stadium, uwanja wa kisasa kabisa wa mpira wa miguu kujengwa Olmoton Arusha

    Mwananchi Communications Limited Serikali ya Tanzania imejipanga kwelikweli katika kubeba jukumu la uenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 itakayoshirikiana na nchi za Kenya na Uganda. Mara baada ya nchi kutambua kuwa inataka uenyeji wa fainali hizo zitakazokuwa za 36...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Chaser GX81 ipo Arusha kwa bei ya 1.98m

    Gari hiyo hapo. Bei ni milioni moja laki tisa na elfu themanini (1,980,000). Whatsapp 0656388678
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya basi Machame safari Kutoka Dar ~ Arusha zimeadimika barabarani shida nini?

    Hii kampuni ilianza Kwa speed ya 5G , Kwa safari Za Dar Es Salaam kwenda arusha. Ili fungua Ofisi kila mahali Huku Dar Es Salaam na Arusha . Ukilipanda ulikuwa Unapewa soda , juice na pipi sasa gari zimeadimika barabarani Tatizo ni nini!! Au wanahisi walichomoa Huku Hisa zao!!
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ugonjwa wa mlipuko wagonjwa watengwa kambi maalumu

    Kumeibuka ugonjwa w a kuhara na kutapika na hivyo Kupelekea Wagonjwa kuwekwa kambi maalumu katika Kituo cha Afya cha Moshono. Wagonjwa wote waliopata tatizo hilo la kuharisha na kutapika wamewekwa katika eneo maalumu na chini ya Uangalizi Maalum huku wengine wakiwa wamevalishwa phone? ampers...
  11. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fridge aina ya Mr UK inauzwa Arusha

    Fridge aina ya Mr UK linauzwa hapa Arusha, bei chee, lina warranty ya miaka miwili Kwa mawasilino zaid 0786 998 436
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania NSSF Arusha kuna kero ya huduma mbovu, kila siku wanasingizia ‘network’

    Mimi ni mkazi wa Arusha, kero yangu ni kuhusu Ofisi ya NSSF Arusha, kuna usumbufu mwingi wanaofanyiwa baadhi ya watu wanaoenda kudai mafao. Awali, niliambiwa na wenzangu kuhusu usumbufu uliopo kwenye taasisi hiyo na uwepo wa mazingira ya kutengenezwa kutoa ‘kitu kidogo’. Nilifika hatika ofisi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mjasiriamali anayetengeneza marashi (perfume) Arusha

    Habari, Nimejaribu google lakini napata wauzaji wa perfume tu. Natafuta wale wajasiriamali wanaotengeneza wenyewe perfumes Arusha. Whatsapp 0656388678.
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Dar, Mwanza na Arusha

    Wakati tukiwa tunasubiri kuwaona Max na Pacome wakifanya vitu vyao pale mjini Chigali, tujifunze kitu kuhusu tofauti ya ngumi za mtaani kati ya Arusha, Dar na Mwanza. Nitajikita zaidi kwenye behaviour ya mashuhuda wa ngumi. Hii itakusaidia wewe kijana mpambanaji unae safiri katika mikoa...
  15. The Eric

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

    Salaam Wakuu Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm. Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni. Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
  16. Egifrid12

    JamiiForums Tanzania Athari za mgao wa umeme Arusha

    Subject: Kukabiliana na Tatizo la Kutatizwa kwa Umeme Arusha - Wito wa Uongozi na Ushirikiano 🔌🏙️ #ArushaCrisisYaUmeme 🏙️🔌 Wapendwa Wananchi wa Arusha, Tunaingia katika hali inayohitaji umakini na hatua za pamoja. Kutatizwa kwa umeme mara kwa mara Arusha kumegeuka kuwa suala la wasiwasi, na...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Magige Bega kwa Bega na Ujenzi wa UWT Mkoa wa Arusha

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Catherine Magige ameshiriki kwenye Baraza la UWT Wilaya ya Monduli ambapo amechangia vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mashine ya kuchapisha (Photocopy Machine), kwaajili ya kukamilisha ukarabati wa Ofisi ya Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya...
  18. Daktari W Sindabhalla

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

    Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM. Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice. Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii. Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi wakosa madaraja, washangazwa pesa za madaraja zilizotoka halmashauri kurudishwa tena halmashauri

    Wananchi wa kata mbili za Sinoni na Lemara wameshikwa na mchangao wa aina yake baada ya halmashauri ya jiji la Arusha kurudisha pesa walizokuwa wametoa kwa ajili ya ujenzi wa madaraja mawili ambalo ni kiunganishi kati ya kata hizo mbili. Awali baada ya pesa hizo kupatikana kutoka halmashauri...
  20. Bhaghosha

    JamiiForums Tanzania Bill ya maji Arusha yapanda kwa asilimia 50%. Kuna nini?

    Wandugu, hivi mmepitia bili zenu za maji mwezi huu, hasa wa Arusha. Naona imepanda kwa karibu asilimia 50. Kuna nini kinaendelea. Ni hitilafu au ndiyo gharama ya maji imeongezeka? Inatisha.
Back
Top Bottom