Kati ya Dodoma na Arusha wapi pazuri kujenga apartment kwa ajili ya biashara ya Airbnb?

Nauliza wadau wapi ni pazuri ambapo soko kwa sasa lipo.

Kuna rafiki yangu yupo Canada ana wazo la kufanya hiyo biashara.
Airbnb wenye awareness nayo na pesa ya kulipia ni watalii,inalipa sana sehemu za watalii Zanzibar na Arusha
 
Nauliza wadau wapi ni pazuri ambapo soko kwa sasa lipo.

Kuna rafiki yangu yupo Canada ana wazo la kufanya hiyo biashara.
Dodoma kwa kuwa na inakua na ni makao makuu ya serikali ,njoo uwekeze Dodoma zinalipa na Nimeona utakuja kunishukuru.Nipo Dodoma,ingawa ni mwenyeji wa Mbeya.
 
Nauliza wadau wapi ni pazuri ambapo soko kwa sasa lipo.

Kuna rafiki yangu yupo Canada ana wazo la kufanya hiyo biashara.

Dodoma, msalato airport italeta mabadiliko sana Dodoma, maana wageni wa kaskazini hiy9 route watafanya sana.

Pia ni rahisi kupata kiwanja kizuri eneo zuri la Dodoma kuliko Arusha, Msalato airport ikiisha italeta mabadiliko sana, mimi nimejiandaa sana kuyakabili.
 
Shida sio kuwa uwanja mkubwa wa ndege , isue ni kitu gani kita influence watu wapande ndege kuja huko msalato

Na kwa bahati mbaya zaidi watalii ndo huwa wanapanda ndege zaidi za kimataifa

Sasa Mimi na ww tujiulize watakuja Dodoma kufanya nn
 
Back
Top Bottom