Baada ya ujio wa Makonda nimeshudia mambo mengi na mengine yataendelea kutokea kama ifuatavyo.
1. Mji umechangamka, kila mtu anataka kusikia kauli ya mkuu wa mkoa.
2. Wakuu wa mikoa mingine wanaanza kujifunza upya.
3. Lema anahaha, muda si mrefu anaenda kukosa watu wa kwenda kwenye mikutano...