KERO Chuo cha IAA Arusha hakina mchanganuo unaoeleweka kwenye malipo ya ada

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Chuo cha uhasibu Arusha (IAA) kimekuwa na gharama kubwa ya malipo ya Ada kulinganisha na vyuo vingine vya serikali pia mlipaji hapewe mchanganuo wa malipo hayo ya Ada.

Kiasi kilicho pelekea baadhi ya wanafunzi kusitisha masomo Kwa kukosa Ada hiyo yenye kima cha juu.

Ambapo wanatoza 1,833,000 Kwa wale wanasomea tahasusi za tehema na 1,733,000 kwa tahasusi zisizo za tehema.
 
Back
Top Bottom