arusha

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) – Arusha wanafanya kazi kimazoea, wanasababisha mafuta yasipatikane

    Kuna uzembe wa kukithiri katika utendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (Government Procurement Services Agency - GPSA) Mkoa wa Arusha kipindi hiki kigumu, unaletaje gari moja ya mafuta inahudumia Kanda nzima ya Kaskazini. Tuliomba wafanye shortlist ya baadhi ya vituo vya mafuta...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la Usafiri kwa Wananchi tunaoishi MOSHONO - ARUSHA

    Wananchi tunaoishi Moshono Arusha tunapata sana shida ya usafiri wakati wa asubuhi tunapoenda kwenye shunguli zetu na jioni tunaporudi majumbani. Hali hii imechangiwa na baadhi ya madereva wa daladala zinazoenda Moshono kuzuia Bajaji zilizokuwa zinafika hadi Moshono zisiende tena Moshono na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Usafiri wa Arusha Mjini – Loliondo umepanda kutoka Sh 18,000 hadi 28,000, LATRA hii ni sawa?

    Jamani sisi Wanangorongoro tunateseka sana wakati wa kusafiri kutoka Arusha Mjini kwenda Loliondo, kinachotusumbua ni upandashwaji wa nauli kiholela bila ya kufuata utaratibu uliowekwa na LATRA. Kampuni ya Loliondo Coach ndiyo kampuni pekee inayotuhudumiwa. Nauli ilikuwa ni TSH 18,000...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuna maji mtaani mwezi mzima, idara ya maji Arusha (AUWSA) hawashughulikii

    Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa! Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane. Cha ajabu ni kwamba...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa arusha jiwe gizani: Kuanguka kwa dola ni pale MTAWALA anapozidi nguvu mamlaka za Katiba na sheria,. nepotism and the like

    "Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika. Ameandika Mch. Peter Msigwa Historia inaonyesha: mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali , Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko...
  6. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI CHADEMA wametumia Picha ya AI kuongeza idadi ya wafuasi kwenye mkutano wao Arusha?

  7. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Hoteli Jijini Arusha

    Kama unaijua hoteli inayoitwa "New Hotel Aquiline Arusha" nipe mrejesho. Bei zao ni chee sana
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tathimini: Kwa huu mziki waliouwasha CHADEMA Leo huko Arusha kama kungekuwa na tume huru na Katiba mpya CCM wasingetoboa uchaguzi 2025

    Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na kamati maalumu ya wanaCCM hawakuzidi hata watu ishirini. Ndio maana inawafanya CCM kudhurumu uchaguzi na kukaa madaraknai kwa nguvu. Katiba inasababisha kuwa tume ya uchaguzi isiwe huru Leo...
  9. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Marufuku ya Siasa, CHADEMA yarudi Kwa Kishindo Arusha

    Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa...
  10. LESIRIAMU

    JamiiForums Tanzania Trafiki Arusha mmezidi

    Kipindi Makonda akiwa Rc Arusha alitoa ushauri kwa polisi wa usalama barabarani kupunguza usumbufu kwa wenye vyombo vya moto Kitendo kilicho saidia hata kupunguza foleni barabarani. Nita jaribu kutoa mifano ya usumbufu uliopo sasa barabara za Arusha mjini baada ya Makonda kuondoka. Kama una...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukatili Shalom Center, Kisongo - Arusha

    Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali ya watoto wanaolelewa katika kituo cha watoto yatima kinachojulikana kama Shalom Center, kilichopo Kisongo, Arusha. Kwa masikitiko makubwa, kuna taarifa zinazoonyesha kuwa watoto katika kituo hicho wanakumbana na vitendo vya ukatili na...
  12. MURUSI

    JamiiForums Tanzania LATRA Arusha ni wameshindwa kusimamia Daladala kuhusu kujipandishia nauli kiholela?

    Hawa LATRA Arusha ni kama wana share kwenye vyombo vya usifiri au kuna bahasha wanapitiziwi ili wakae kimya. Nauli mpya zimeanza kutumika mei mosi, ila cha ajabu Arusha ndio sehemu pekee Dalaladala wana kiwamgo chao cha nauli nje ya nauli zilizo tolewa na LATRA na mbaya zaidi LATRA wapo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Wadau wajadili masuala ya uzalishaji wa habari pamoja na usambazaji wake katika mazingira ya Kidigitali

    Katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani 2026, Wadau wa Sekta ya Habari wamekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya tasnia hiyo, hususan katika kukabiliana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia. Akizingumza leo Aprili 29, 2026, Mwenyekiti wa Mkutano...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Akamatwa kwa kumuua mtoto wake wa miezi nane na kumtenganisha kichwa na kiwiliwili

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Salmin Rajab (29) fundi ujenzi, mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Sahiri Salmin mwenye umri wa miezi nane, kwa kumchinja shingoni na kutenganisha kichwa na kiwiliwili. Akithibitisha kutokea kwa...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania General Tyre Arusha kugeuzwa mabanda ya biashara kama kwa Mromboo

    Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Balozi Waziri Salum amesema anakusudia kubadilisha matumizi ya eneo la kiwanda cha tairi cha General Tyre kilichopo Mkoani Arusha kutokana na kiwanda hicho kusimamishwa uzalishaji tangu mwaka 2007 na kutumia kiasi kikubwa cha Fedha kwa ajili ya huduma...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Upandishwaji nauli kiholela jijini Arusha

    Habarini wanaJF, Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari. Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha nauli,watoa huduma hii ya usafirishaji yaani daladala ndani ya mkoa huu walikua tayari wamekwisha pandisha...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu atoa maagizo mawili Uwanja wa AFCON Arusha

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba leo, Ijumaa, Aprili 17, 2026, ametoa maagizo mawili kwa wanaosimamia mradi wa ujenzi wa Uwanja wa soka wa Arusha utakaotumika kwa Fainali za AFCON 2027. Maagizo hayo ni uharakishwaji wa mradi huo pamoja na matumizi stahiki ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa tuhuma za kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni - Arusha

    Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine Masejo amesema wanamtafuta mtu mmoja anayedaiwa kujaribu kumbaka bibi mwenye umri wa miaka 80 mkazi wa Sinoni Jijini Arusha kufuatia picha mjongeo inayoonekana katika mitandao ya kijamii ikimuonesha...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mmoja akamatwa akituhumiwa kumfanyia ukatili Mtoto

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaje Johnson Jonas mkazi wa Matejoo Jijini humo kwa tuhuma za kumpiga mtoto mwenye umri wa miaka kumi na tatu kufuatia picha mjongea inayosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii ikionesha tukio hilo. Akitoa taarifa hiyo, Kamanda wa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu 6 wakamatwa kwa kutuhumiwa kumuua Askari Arusha. Walimshambulia wakidhani ni mwizi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu sita kwa tuhuma za mauaji ya Askari Polisi aitwaye Roland Mollel ambaye ni mkazi wa Arusha yaliyotokea Aprili 15, 2026 muda wa usiku. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Justine...
Back
Top Bottom