arusha

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli za Daladala Arusha: Tsh. 1,000 badala ya Tsh. 700?

    Kuna malalamiko sana kuhusu nauli za dadadala mjini Arusha. Daladala zinatoza nauli Tshs 1000 badala ya nauli elekezi ya Tshs 700. Mamlaka zipo kimya kwenye hili. Simu zikipigwa hawapokei. Je hii ni sahihi? Tunaziomba mamlaka zilitazame hili jambo limekuwa mwiba mchungu kwa wanachi wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  3. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Treni ya Abiria Dar Hadi Arusha na Treni ya mizigo toka Tanga ndo basi tena

    Hii nchi ni shida Kila nyanja tangu tupate uhuru Hadi Sasa ni ngumu kukuta huduma ya serikali ya uhakika na wananchi wakaifurahia. Magufuli alifufua usafiri wa Treni kwenda kaskazini lakini ndani ya muda mfupi toka afariki Dunia usafiri umekufa kabisa Hadi Leo, hakuna usafiri wa Treni ya Abiria...
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Treni ya Abiria Dar Hadi Arusha na Treni ya mizigo toka Tanga ndo basi tena

    Hii nchi ni shida Kila nyanja tangu tupate uhuru Hadi Sasa ni ngumu kukuta huduma ya serikali ya uhakika na wananchi wakaifurahia. Magufuli alifufua usafiri wa Treni kwenda kaskazini lakini ndani ya muda mfupi toka afariki Dunia usafiri umekufa kabisa Hadi Leo ha, hakuna usafiri wa Treni ya...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Kutana na Eazy Credible: Mkali wa Melodic Rap kutoka Arusha anayetesa na Album ya 'ALL TIME PRAISE' (Sikiliza Hapa)

    Wadau wa burudani na wapenzi wa Hip-Hop/Melodic Rap ya ukweli hapa nchini, mambo vipi!Leo naomba kuwasogezea kazi zangu mpya kutoka kwa msanii anayechipukia kwa kasi kutoka pande za Arusha, Eazy Credible. Amekuja na ladha ya tofauti kabisa yenye ujumbe wa kusisimua na midundo ya kisasa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi walalamikia mradi wa maji wa shilingi bilioni 2.5 kutoleta manufaa Losikito, Arusha DC

    Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati kuhusu mradi wa maji uliotekelezwa katika Kijiji cha Losikito, Kata ya Mwandeti, Wilaya ya Arusha DC, ambao ulitengewa bajeti ya takribani Shilingi bilioni 2.5. Kwa mujibu wa taarifa za wananchi, mradi huo ulikamilika mwaka jana kwa gharama zinazokadiriwa...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania IGP Mstaafu Mahita: Nina mtoto Polisi "Mkono wa Chuma" kule Arusha

    "Mimi nina watoto kumi na katika kumi kuna Polisi mmoja Mahita Omary Mahita. Ukienda Arusha kama utapata nafasi nenda uliza namtaka Mahita yupo wapi, watakuambia Mahita Omary Mahita ni mkono wa chuma." Soma Pia: IGP Mstaafu Omar Mahita: Jeshi la Polisi lizingatie misingi yake, wasifanye kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya TTCL Fibre Arusha ni ubabaishaji mtupu, unalipia na kufungiwa hufungiwi huku kifurushi kikiendelea kuisha

    Huduma ya ttcl fibre Arusha ni mbovu, imejaa ubababishaji sana, mtu unalipia na unacheleweshewa kufungiwa na wakati huo kifurushi kinahesabika kinatumika. Hii tabia inakera, wahudumu hawana majibu Mazuri, ni Bora ningeendelea na watoa huduma wengine! Naomba hili ttcl wawajibike waache...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya upungufu wa Wakufunzi na miundombinu duni katika Chuo cha Ufundi Arusha

    Mimi ni mwanafunzi wa Arusha Technical College (ATC), na napenda kuwasilisha changamoto kubwa inayolikabili chuo chetu kwa sasa, hususan katika suala la upatikanaji wa wakufunzi na rasilimali za kujifunzia. Kwa muda sasa, chuo kinakabiliwa na upungufu mkubwa wa wakufunzi, hali ambayo imeathiri...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kusaga TV kwa sasa Hana mpinzani kwa habari za matukio na kijamii jijini Arusha

    Nimekuwa namfuatilia Sana kwenye platform ya TikTok na YouTube...huyu jamaa nimemkubali Sana kwenye habari za MATUKIO ya kijamii ya hivi karibuni hususani MATUKIO mawili yaliyotokea hivi karibuni ya Kiongozi wa Serikali kumpa maua yake na lile tukio la Mama mpita njia akiwakataza wananchi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyakazi wa Joshmal Hotel (Arusha) hatujalipwa mishahara wala kuwekewa NSSF kwa muda mrefu

    Naandika ujumbe huu kwa niaba ya wafanyakazi wenzangu wa Joshmal Hotel, Arusha, ili kuwasilisha changamoto kubwa tunayokabiliana nayo mahali pa kazi. Sisi wafanyakazi tumekuwa tukifanya kazi kwa muda wa zaidi ya miezi sita hadi mwaka mmoja bila kulipwa mishahara yetu. Zaidi ya hayo, hatujawahi...
  12. BigTall

    JamiiForums Tanzania Arusha: Masheikh 8 kati ya 12 waachiwa huru, walipotoka nje wamekamatwa tena na Polisi, haijulikani walipo

    Kuna tukio lililotokea mkoani Arusha, leo Juni 5, 2026 ambapo masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa gerezani walifikishwa mahakamani. Inadaiwa kuwa kati yao, masheikh 8 waliachiwa huru na mahakama, huku wanne wakirejeshwa gerezani. Hata hivyo, baada ya wale wanane kutoka nje ya mahakama...
  13. Moles_OG

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mtu anayefanya kazi NIDA Arusha

    Habari za wakati huu ndugu zangu, kwanza nikiri tu kwamba JF imekuwa msaada sana kwangu pindi ninapokuwa na issues mbalimbali, response imekuwa kubwa. Kwa leo nilikuwa naomba mawasiliano au kama kuna mtu anayefanya kazi ofisi za NIDA Arusha (Especially ofisi za Kisongo) ili nimuombe anisaidie...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Arusha na Moshi kuna shida gani hasa kiroho?

    Matukio mengi ya kutisha na kushangaza mkoani Arusha yanatafsiriwa na jamii kwa mitazamo miwili tofauti imani za kiroho/giza (kama vile ushirikina na laana) na sababu halisi za kijamii na kisaikolojia. Mkoa wa Arusha umekuwa ukigonga vichwa vya habari kwa matukio ya ukatili uliopindukia...
  15. W

    JamiiForums Tanzania CCM (Arusha): Walioweka makava kwenye Pikipiki za Chama wanyang'anywe

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimewaonya viongozi wa chama wanaotumia vibaya mali za chama huku kikisisitiza kuwa hakitavumilia uzembe na ubadhirifu unaofanywa na baadhi ya viongozi katika ngazi mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 48 wa SCTIFI Waanza Jijini Arusha

    Mkutano wa 48 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza leo, Mei 29, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha. Mkutano huo umeanza kwa kikao cha ngazi ya Wataalamu kitakachofanyika kuanzia Mei 29...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mzani wa magari wa Njiro, Arusha ni mbovu na fedha zinakusanywa kimazoea

    Wakuu, Hapa Arusha kuna mzani moja wa Jiji iliyopo maeneo ya Njiro, baada tu ya roundabout ya Impala. Mzani huu naufahamu huu mwaka wa tatu. Kila gari kubwa linalopita hapa linatozwa kati ya 5,000 hadi 10,000, lakini la kushangaza ni kwamba mzani haugfanyi kazi, yaani ni mbovu, ila fedha...
  18. Trainee

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Moshono, Njiro au Morombo (Arusha)

    Vyumba viwili vya kulala, sebule na jiko Gharama ya 200k-250k kwa mwezi Ikiwa inajitegemea ni vyema zaidi Shida ni ya fasta sana tafadhali
  19. W

    JamiiForums Tanzania Dereva Arusha: Unafanya kazi ya Kanisa mshahara ni Haleluya

    Wakazi wa Jiji la Arusha wamejikuta wakipata adha kubwa ya usafiri baada ya baadhi ya madereva wa daladala kugoma kuingiza magari yao barabarani wakipinga kile walichodai kuwa ni manyanyaso kutoka Land Transport Regulatory Authority (LATRA). Mgomo huo ulioshuhudiwa leo Jumatatu Mei 25, 2026...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Arusha: Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Joseph Mkude amesema Viongozi wanne wa Madereva wamekamatwa kufuatia mgomo wa usafiri uliobuka Mei 25, 2026 Jijini humo. Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari, Mkude amesema Viongozi hao walikamatwa ili watoe msaada kwanini wamefikia hatua ya kuwaambia wenzao...
Back
Top Bottom