Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco
Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa hamasa bado ipo juu sana.
Sasa tunawasubiri waje waseme hawa wote ni AI 😀