LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,206
- 14,916
Kipindi Makonda akiwa Rc Arusha alitoa ushauri kwa polisi wa usalama barabarani kupunguza usumbufu kwa wenye vyombo vya moto
Kitendo kilicho saidia hata kupunguza foleni barabarani.
Nita jaribu kutoa mifano ya usumbufu uliopo sasa barabara za Arusha mjini baada ya Makonda kuondoka.
Kama una toka Morombo stand kuna trafiki, ukifika Field force kuna trafiki, ukifika Darajani kuna trafiki, ukifika Safina kuna trafiki, ukija juu kidogo ya Jr uta kutana nao, ukifika Mbauda zambarauni hao hapo, Ngarenaro hao hapo, Summit wengine hao imagine huo ni mwendo ambao hakuna kilomita 10.
Mahali oa dakika kumi sasa tuna tumia dakika 45 hadi saa moja kwa usumbufu wa trafiki, na elewa wanacho taka ni mshiko.. Viongozi wa polisi Arusha tuna omba rekebisheni hili tatizo..