arusha

  1. K

    Lodge nzuri Njiro Arusha

    Habari wanajamvi Ni lodge/ guesthouse gani nzuri Arusha maeneo ya njiro na karibu kwa budget ya 25-30k per night .
  2. tonicimmobility

    Waziri Aweso na Makalla kushirikiana kutatua changamoto za maji Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla, amekutana na Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, leo Jumatatu Novemba 24, 2025, wakizungumza kuhusu utekelezaji wa miradi ya maji mkoani Arusha. Katika mazungumzo hayo, Makalla ameonyesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi inayoendelea...
  3. DuaZaMama

    PostGE2025 Polisi: Video ya utekaji Arusha ni uzushi, tumewakamata kwa tuhuma za kuhamasisha maandamo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linapenda kutoa ufafanuzi juu ya picha mjengoe zinazoonekana katika baadhi ya mitandao ya kijamii zikieleza kuwa, kuna vijana wawili wametekwa Jijini Arusha. Taarifa sahihi ni kwamba, kwa nyakati tofauti tuliwakamata na tunaendelea kuwahoji vijana hao ambao ni...
  4. N

    PostGE2025 Arusha: Bubu ashtakiwa kwa makosa ya Uhaini

    Bubu huyo ni miongoni mwa washukiwa wa makosa ya uhaini waliopandishwa leo kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi. Yupo pia mwandishi wa habari wa Millard ayo aitwaye Thomas pamoja na watoto ambao ni chini ya umri wa miaka 18. Swali langu, bubu anawezaje kufanya uhaini? Swali la pili, Ikiwa...
  5. Just Pray

    PostGE2025 RC Makalla: Rais Samia atafanya ziara ya Kikazi Novemba 21-22 Arusha, atawatunuku Kamisheni Maafisa wa JWTZ

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa na ziara ya Kikazi ya siku mbili Mkoani Arusha kuanzia Novemba 21-22, 2025, akitarajiwa kuwa Mgeni rasmi kwenye sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ kwenye Chuo cha...
  6. Desierto

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara?

    Kwanini ni rahisi mtu anayeishi Arusha kuujua mkoa wa Kilimanjaro kuliko Manyara? Huu ni utafiti wangu tu TANZANIA KWANZA
  7. Think2

    PostGE2025 Hospitali ya Mount Meru yakanusha kuhusu video ya mochwari. Wasema ni ya kutengenezwa…

    "Menejimenti ya Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru imesikitishwa na kitendo cha watu wenye nia ya kuzua taharuki kwa wananchi kutengeneza video yenye picha za miili ya watu ikiwa na maelezo kuwa video hiyo imerekodiwa kutoka chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali hii. Tunapenda kukanusha kuwa...
  8. M

    Arusha imegeuka Goma ya Tanzania.

    Wanajeshi wanafanya doria kila mahala Meserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47 Wanajeshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo. Goma au Kisangani na Bukavu
  9. U

    PostGE2025 BBC - Tanzania Genocide special Report, video zikionesha polisi wakiua raia Mwanza, DSM, Arusha na kwingineko ni halisi na zimethibitishwa kitaalamu

    https://youtu.be/QwY9OsUGVY0?si=P-Q3GDkwdHg6GDe3 👉🏻Idhaa ya Kiswahili ya BBC imefanya uchunguzi wake wa awali na kuthibitisha pasipo shaka kuwa vyombo vya usalama vya Tanzania polisi viliua waandamanaji siku ya uchaguzi tarehe 29/10 na siku zingine zilizofuata 👉🏻Video zikionesha mauaji hayo...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Video zilizothibitishwa na NationForensicUnit zaonyesha polisi wakitumia nguvu kuwaua waandamanaji kwa makusudi Arusha na Dar

    video zilizothibitishwa na #NationForensicUnit ya nation zimethibitisha maeneo kamili ambako vikosi vya usalama vya Tanzania, wakiwemo baadhi waliovaa nguo za kiraia, walitumia nguvu kupita kiasi na kuwaua waandamanaji kwa makusudi katika Arusha na Dar es Salaam. (Picha zenye maudhui ya kushtua...
  11. M

    Maandamano tarehe 09/12 Nguvu kubwa tuwekeze Dar, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha

    Wazalendo, Ukombozi wa nchi yetu unakaribia. Tulichokifanya tarehe 29/10/2025 hawatakuja kukisahau. Tulifanikiwa kuuzuia uchaguzi. Ilikuwa muhimu vijana kuwepo kila sehemu ili kuuzuia uchaguzi. Sasa tunahitaji kuchukua nchi. Inatakiwa nguvu kazi kubwa iwe maeneo muhimu na yenye impact kubwa...
  12. Mafyangula

    Amos Makalla: NDC karibu Arusha, nawahakikishia usalama

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla, amewakaribisha wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama pamoja na maafisa mbalimbali kutoka nchi 16 za Afrika na nje ya Afrika walioko kwenye ziara ya mafunzo ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC). Makalla amewahakikishia usalama na utulivu kwa muda wote wa siku...
  13. Hance Mtanashati

    GE2025 Ahadi ya Makonda ya kupeleka Arnold Shwarznegger inasubiriwa kwa hamu WanaArusha

    Agenda kuu ya Makonda kugombea ubunge ni kumleta Anodi Shoziniga Arusha. Naona sasa arusha ndoto yao ya kumuona Anodi Shoziniga inaenda kutimia maana hiyo ndiyo ilikuwa kero yao kuu inayowakabili watu wa arusha.
  14. Ziroseventytwo

    Baada ya kimbunga Melissa kuichakaza Jamaica nimefundua watu wengi wa jamaica wanaakili kama za watu wa Arusha

    Hawaongei kwa utulivu. Wanaonekana ni wavuta bangi kuanzia vijana na wazee. Hata wanawake pia ni kama mental case.
  15. Royal Son

    Dereva wa kukodishwa nipo Arusha

    🚘 DEREVA WA KUAMINIKA ANAYEPATIKANA ARUSHA 🚗 Naitwa James, mwenye umri wa miaka 34. Nina leseni daraja A, B, D na E, na uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika kazi ya udereva wa magari binafsi na ya kibiashara. ✅ Uzoefu wa safari ndefu na mijini ✅ Naweza kwenda mikoa mbali mbali pia ✅ Ujuzi wa...
  16. M

    GE2025 Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi

    Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025) Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025. Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
  17. M

    Day 3: Wananchi Arusha wakichoma kituo kikuu cha majumuisho ya kura

  18. M

    Day 3: Wananchi Arusha wazichoma ofisi za CCM Mianzini

    Ikumbukwe, MADAI YA WAANDAMANAJI ni: 1. Uchaguzi 2025 ufutwe 2. Katiba Mpya 3. Tume Huru ya Uchaguzi 4. Waliotekwa waachiliwe huru 4. Kesi za kubambikia watu zifutwe
  19. M

    Day 3: Waandamanaji Arusha wavamia kituo cha majumuisho ya kura

    Arusha: Waandamanaji wamevamia na kukiharibu kituo cha majumuisho ya Matokeo ya Mkoa huo. Madai ya waandamnaji hao ni kuwa Matokeo ya uchaguzi yafutwe, Nchi ipate KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Iunder Tume huru ya Uchaguzi na uwepo Utawala wa Haki. Wananchi hao wanasindikizwa na...
  20. M

    Arusha: Hii kweli ni Hotel ya Abdul? Details zake zikoje?

    Waandamanaji wanachoongea hapa kinafikirisha:
Back
Top Bottom