arusha

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Moyo Medicare, Arusha hawajawasilisha michango yangu ya NSSF kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa

    Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini. Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Chake Chake avamia danguro ambalo lipo eneo la Chanjamjawiri, atoa onyo kali kwa wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo

    Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika eneo la Chanjamjawiri, Kisiwani Pemba. Katika tukio hilo, DC Zuhura amebaini kuwepo kwa kondomu...
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Arusha: Raia wa Romania akamwatwa kwa kuiba fedha bank.

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha inamshikilia raia wa Romania, Constantin Catalin Podoleanu, mwenye umri wa miaka 39, kwa tuhuma za kutumia taarifa za kadi za benki zilizoibwa na kujipatia fedha kwa njia haramu. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa OCD Matagi kwazua shangwe Arusha: Bar zafurika, wananchi wafurahia uhamisho

    Kuondoka kwa Matagi kwazua shangwe Arusha: Bar zafurika, wananchi wafurahia uhamisho ARUSHA — Hatua ya kuhamishwa kwa aliyekuwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Arusha (OCD), Georgina Matagi, imezua mjadala mkubwa jijini Arusha, huku baadhi ya wananchi, waandishi wa habari na askari wakidai kupokea...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha: Wananchi Sovoyo walalamikia kukosa maji kwa miezi mitatu

    Wananchi wa Kitongoji cha Sovoyo, Kijiji cha Ngorbob, Kata ya Mateves jijini Arusha, wamelalamikia kukosa huduma ya maji kwa zaidi ya miezi mitatu, licha ya mabomba ya maji kuwa yameunganishwa hadi ndani ya nyumba zao. Wananchi hao wamesema hali hiyo imekuwa changamoto kubwa kwa familia zao...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Hanang' hajiwalipa Wakulima na Wafugaji walioshiriki nane nane stahiki zao

    Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ haijalipa fedha za stahiki kwa wakulima na wafugaji walioshiriki katika Maonesho ya Nane Nane yaliyofanyika katika Viwanja vya Themi-Njiro, Arusha, kuanzia tarehe 28 Julai hadi 9 Agosti. Tunapowasiliana na Afisa Kilimo wa Wilaya kuhusu malipo hayo, majibu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha waifariji familia ya aliye uwawa hifandini Ngorongoro

    Maafisa wa Jeshi la Polisi wamefika mapema hii leo katika msiba wa kijana Sefu Mussa, mkazi wa Matejoo jijini Arusha, ambaye alifariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu na askari watatu wa Hifadhi ya Ngorongoro. Sefu anadaiwa kufariki baada ya yeye na wenzake kupotea njia tarehe 12 Aprili...
  8. Y

    JamiiForums Tanzania TICD ARUSHA: Kafulila katika mhadhara maalum wa Umma

    https://www.youtube.com/live/pMhiTp9NL64?si=xROoNvI7LdkavRdN Mjadala wa PPP na Maendeleo ya Tanzania Waendelea Arusha == Mjadala kuhusu nafasi ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika kuchochea maendeleo ya Tanzania unaendelea leo, Agosti 14, 2026, katika kongamano la Public...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Chupa zilizojaa mkojo zaidi ya 2,000 zakutwa ndani kwa mama ntilie jijini Arusha

    Tazama taharuki iliyotokea baada ya kukutwa chupa zaidi ya 2,000 za mikojo ndani kwa Mama Ntilie. Je, hii ni uchawi, au kuna sababu nyingine nyuma ya tukio hili la kushangaza?
  10. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Natafuta lori la mzigo tani 32 kutoka kiteto kupeleka Arusha

    Mzigo : mahindi gunia 300 kila gunia kilo 108 (Tani 32.4) Mahali ulipo : kiteto Unapoelekea : Arusha kwa mworombo. Mawasiliano : 0797870940
  11. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Matako Bar-Ya Arusha

    Mwenye picha yake aiweke hapa tafadhari..!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania PPP na dira 2050: David kafulila kuwakutanisha wadau Arusha kutafuta njia mpya za maendeleo ya Tanzania yetu

    === Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre) kimeendelea kuhimiza matumizi ya ubia kati ya Serikali na sekta binafsi kama nyenzo muhimu ya kuchochea maendeleo ya wananchi, kuongeza uwekezaji na kufungua fursa mpya za kiuchumi na ajira nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Arusha naweza kupata shamba kwa bei ya milioni moja kwa ekari?

    Habari wana jamvi. Nahitaji shamba eka 5 linalofaa kwa kilimo cha migomba. Angalau umbali usizidi kilomita 50 kutoka Arusha mjini.
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mmoja afariki. Huku basi likiteketea kwa moto kwa kugongana uso kwa uso na Toyota Alphard Arusha

    Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya basi la abiria aina ya Zugspitze Express, lenye namba za usajili T 639 AQN, kugongana uso kwa uso na gari ndogo aina ya Toyota Alphard, lenye namba T 837 EMS, katika eneo la Kingori, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Ajali hiyo...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati - Arusha na maeneo ya Njiro barabara ni mbaya kama tupo kijijini

    Barabara ya Lemara Kati, Kata ya Lemara Kati, Jiji la Arusha pamoja na maeneo ya Njiro karibu na Fiber Board imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu ya barabara, inaonekana kama tupo kijijini. Usafiri wetu ni mkubwa Bajaj kutokana na ubovu wa barabara hiyo. Wakati maeneo mengine kama...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Je kuna waandishi au vyombo vya habari vimelipwa kuichafua ARUSHA kabla ya AFCON??

    Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu. Wizara ya Habari ,TCRA na...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha hatuna deni na mama

    Kwa ambaye hajafika Arusha kwa miaka mitatu iliyopita akienda kwa sasa lazima ashangae kila kitu. Hapa namaanisha mkoa mzima wa Arusha yaani kuanzia Arusha jiji hadi huko wilayani. Yaani mkoa mzima umechafuka maendeleo ndani ya miaka mitatu tu. Mimi hadi naandika huu uzi bado ninatafakari kwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya taa za barabara kwenye barabara ya Sanawari - Ilboru, Tanki la Maji - Mollel hazifanyi kazi, zimekuwa kero

    Mimi ni mkazi wa Arusha. Naomba kuwasilisha kero kuhusu taa za barabarani ambazo hazifanyi kazi katika baadhi ya maeneo ya jiji. Taa zilizopo kuanzia Sanawari hadi Ilboru, pamoja na kipande cha barabara kuanzia Tanki la Maji hadi kwa Mollel, haziwaki kwa muda sasa. Hali hii imesababisha giza...
  19. USSR

    JamiiForums Tanzania Ugaidi Arusha: Shekhe Lema ahakumiwa kifo na Mahakama ya kanda Arusha

    Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️ Ajumuishwa na Mashekh wengine watano Ameandika...Bakari Mwakangwale SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha. Mahakama imetoa hukumu hiyo Jumatatu ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Binti adai kuvuliwa nguo na kuchomwa na pasi na mwajiri wake

    BINTI ATOKA KIGOMA ADAI KUVULIWA NGUO NA KUCHOMWA PASI YA MOTO NA MWAJIRI WAKE ARUSHA Binti anayetokea mkoani Kigoma amedai kufanyiwa ukatili mkubwa na mwajiri wake, Nema Mushi, mkazi wa Moshono jijini Arusha, akisema alivuliwa nguo, akaachwa akiwa uchi na kisha kuchomwa kwa pasi ya moto...
Back
Top Bottom