arusha

  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Pombe ya viroba mbona bado ipo Arusha

    Hallo wanaJF? Heri ya mwaka mpya. Hii ni wiki ya pili nashuhudia vijana wa hapa mtaani wakinywa pombe za kwenye karatasi almaarufu kiroba nikawauliza "Oya vipi machalii hizo zaga mmeokota jalalani nini? Wakanijibu Bushmamy mbona haya makitu yapo tele chuga hapa" Wanaendelea kaniambia, "Kama vip...
  2. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania TRENI DAR- ARUSHA MWEZI UJAO

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema kuanzia mwezi ujao wakazi wa Mkoa wa Arusha, wataanza kufurahia huduma ya usafi ri wa treni ya abiria. Kamwelwe alisema wakazi hao ambao walikuwa wakisikia usafiri huo kwa wenzao wa Mkoa wa Kilimanjaro, sasa wajiandae kupata...
  3. F

    JamiiForums Tanzania X-Mass in pictures Moshi, Arusha, Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tabora, nk

    Heri ya Xmass wana JF! Karibuni tusherehekee xmass japo kwa picha. Share picha za shamra shamra za xmass hapa kutoka popote ulipo, pamoja wana JF.
  4. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dr. Madeni akabidhi madawati 3,900

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr. Maulid Madeni amekabidhi madawati na Meza 3900 kwa Afisa Elimu Sekondari wa jiji hilo kwa ajili ya wanafunzi wapya wanaoijunga na elimu ya sekondari mwaka 2020 lengo ikiwa ni kuondokana na tatizo la uhaba wa madawati na meza. Akikabidhi madawati hayo, Dr.Madeni...
  5. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Zelothe Stephen Zelothe achaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa CCM Arusha

    Wadau. CCM Mkoa Wa Arusha imepata Mwenyekiti Mpya Ambaye Ni Ndg Zelothe Stephen Zelothe kufutia Uchaguzi wa Kidemokrasia uliofanyika Leo. Matokeo Kamili: Ndg. Zelothe Stephen Zelothe Amepata Kura 468. Dkt Batilda Burian Amepata Kura 339. Ndg.Bakari Msangi Amepata Kura 48. Msimamizi wa...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dar Lux Arusha ni kweli basi zilizopo mpaka Jumatatu ni za 40,000? Hamko serious na kazi

    Jana saa mbili usiku nilifika ofisi za Dar Lux kujua tiketi za kupeleka watu Dar leo na kesho. Mdada mmoja bila aibu akasisitiza basi zilizopo ni za 40,000 eti luxury tu.. Aisee nikachoka kabisa nikiwaza yale mabehewa yetu shida tu yako mbali from Arusha Mamanager husika tuambieni ni kweli...
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Yule mama aliyekuwa diwani jijini Arusha amelalamika walikuwa wanatishwa na kutukanwa matusi ya nguoni. Je, Mbowe dikteta?

    Udikteta wa Mbowe unaendelea kuthibitishwa na yafuatayo kung'ng'ania Madaraka, kuua kufokea na kutisha wapinzani wake kulazimisha kanuni zilizo nje ya utaratibu wa Chama kuteua watu wa kabila lake kwa kuwapa nafasi za upendeleo kwa mfano Katibu mkuu Kuwa mkwilima wake Msemaji wa Chama kuwa...
  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Madiwani wengine wawili wa CHADEMA jiji la Arusha watimkia CCM

    Hii imetokea Leo tarehe 6/12/2019 hii ni Taa nyekundu kwa CHADEMA
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Arusha sio

    Wakuu salama, Sina. Mengi ya kuandika hapa, Nina. Miaka kadhaa hapa Arusha lakini kuna baadhi ya mambo hunishangaza kidogo 1) Ujambazi, wezi wa hapa hawaogopi chochote, mfno mzuri usiku wa. Leo wameingia kwenye nyumba ya mjeda, mwanamke na mume wake wote ni wajeda lakini cha kushangaza wazee wa...
  10. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Madiwani watano wa CHADEMA jiji la Arusha wajivua madaraka

    Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Dk Maulid Madeni amesema amepokea barua za kujiuzulu za madiwani watano wa Chadema Jiji la Arusha. Mbali na barua hizo za kujiuzulu, madiwani hao pia wamemuandikia barua katibu wa CCM Wilaya ya Arusha wakiomba kujiunga na chama hicho tawala nchini Tanzania...
  11. Cyangungu

    JamiiForums Tanzania Inatarajiwa madiwani kumi na wawili wa Chadema Arusha mjini watajiunga na CCM kuanzia kesho

    Acha wale watano waliounga juhudi leo kuna namba kubwa zaidi tena ikitarajiwa kuamua kwa pamoja kurejea CCM muda wowote kuanzia kesho. Duru zinatabanaisha maombi ya madiwani hao yapo mezani yakifanyikiwa kazi na Ofisi ya CCM Mkoa wa Arusha na hata wangeruhusiwa leo kufanya hivyo wangefanya...
  12. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Serikali yaridhishwa na utekelezaji mradi mkubwa wa maji Arusha

    SERIKALI imeonyesha kuridhishwa na utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji uliogharimu shilingi bilioni 520 unaotekelezwa katika halmashauri ya jiji la Arusha kwa lengo la kuhudumia wananchi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usambazaji wa Maji na Usafi wa Mazingira kutoka Wizara ya Maji...
  13. Influenza

    JamiiForums Tanzania Arusha: Aliyekuwa Mgombea wa Ujumbe katika Serikali ya Mtaa akutwa kwake akiwa amefariki huku akiwa na alama kukatwa shingoni

    Aliyekuwa Mgombea katika nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa ya eneo la Mnara wa Voda, kupitia CHADEMA kabla ya Chama hicho hakijajitoa kushiriki, Sirili Homary amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake huku akidaiwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Baraza la madiwani kuamua hatima ya umeya Arusha

    Arusha. Baraza la Madiwani wa Jiji la Arusha linatarajia kukutana hivi karibuni kuamua hatima ya nafasi ya meya wa jiji hilo, baada ya Calist Lazaro kujiuzulu nafasi hiyo na kujiunga na CCM. Lazaro alijiunga CCM juzi na kupoteza nafasi zake za udiwani, umeya, uenyekiti wa mameya na madiwani wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rushwa Imekithiri Baraza la Ardhi na Nyumba Arusha

    Licha ya kuwa Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Jemedari Rais Mhe. John Magufuli kuwa katika mstari wa mbele kupiga vita rushwa, lakini katika hali ya kusikitisha vitendo vya rushwa vimekithiri Baraza la Ardhi na Nyumba Arusha. Wengi wa wanaohitaji huduma kutoka kwa waheshimiwa...
  16. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Kuna mwingine atahama CHADEMA baada ya Meya wa Jiji la Arusha kuhamia CCM

    Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM. Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA. Inasemekana Godbless Lema...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lema amtaka Humphrey Polepole kugombea ubunge Arusha Mjini

    Hii ni baada ya Polepole kuropoka kwamba CCM itashinda ubunge Arusha Mjini . Lema amemtaka Polepole kuchukua fomu yeye mwenyewe binafsi na apande jukwaani ili kupambana naye kwa lengo la kukata mzizi wa fitna , Polepole pia ameombwa kuchukua polisi wote wa Arusha wamlinde yeye tu na kura zote...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania Arusha: TAKUKURU yamtia mbaroni muweka hazina wa kikundi aliyedai fedha zimepotea kishirikina

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mweka Hazina wa Kikundi cha Ujasiriamali cha Imani kwa tuhuma za kula Tsh. Million 39 za Wanakikundi na kudai zimeyeyuka kishirikina Wanakikundi 28 juzi walikesha wakilia nyumbami kwa muweka hazina huyo, Halima Mwidadi, Mkazi wa...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Instructor II (Electrical) at Arusha Technical college

    Employer: Arusha Technical college ATC Date Published: 2019-11-15 JOB SUMMARY: DUTIES AND RESPONSIBILITIES: (i) Teaches up to NTA level 6 and may assist teaching in higher NTA levels; (ii) Assists in conducting tutorial and practical exercises for students under close supervision; (iii)...
  20. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi serikalini, Arusha Technical collage, Mzumbe University na Ocean Road Cancer Institute

    VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Forest Services Agency (TFS), Mzumbe University (MU), The Ocean Road Cancer Institute (ORCI) and Arusha Technical College (ATC), President’s Office Public Service Recruitment Secretariat invites competent, experienced, highly organized and...
Back
Top Bottom