Wee ndio boss wa hiyo hotel, unaipigia promo eeh?
Subiri watakuja hapo, na watatoa mrejeshoo.
Hapana; nina safari ya kwenda Aurusha na familia yangu. Natafuta hotel ya kukaa siku mbili ili tuweze kwenda Ngorongoro. Bei ya hoteli nyingi zinaazia dola 200 lakini hawa wanapia bei chini ya dola 100. Ndiyo maana nikauliza kama kuna anyeijua. Unajua kuwa cheap is expensiveLipia tangazo mkuu.
Kwanini usi contact nao ili upate uhakika??Hapana; nina safari ya kwenda Aurusha na familia yangu. Natafuta hotel ya kukaa siku mbili ili tuweze kwenda Ngorongoro. Bei ya hoteli nyingi zinaazia dola 200 lakini hawa wanapia bei chini ya dola 100. Ndiyo maana nikauliza kama kuna anyeijua. Unajua kuwa cheap is expensive
Dogo the Icebreaker mtu wangu hujalala tu?Lipia tangazo mkuu.
Hapana; nina safari ya kwenda Aurusha na familia yangu. Natafuta hotel ya kukaa siku mbili ili tuweze kwenda Ngorongoro. Bei ya hoteli nyingi zinaazia dola 200 lakini hawa wanapia bei chini ya dola 100. Ndiyo maana nikauliza kama kuna anyeijua. Unajua kuwa cheap is expensive
www.Booking.comHapana; nina safari ya kwenda Aurusha na familia yangu. Natafuta hotel ya kukaa siku mbili ili tuweze kwenda Ngorongoro. Bei ya hoteli nyingi zinaazia dola 200 lakini hawa wanapia bei chini ya dola 100. Ndiyo maana nikauliza kama kuna anyeijua. Unajua kuwa cheap is expensive
$100 itakuwa powaa.. kama unatakwa watoto wafurahi sogea Gran MeliaHapana; nina safari ya kwenda Aurusha na familia yangu. Natafuta hotel ya kukaa siku mbili ili tuweze kwenda Ngorongoro. Bei ya hoteli nyingi zinaazia dola 200 lakini hawa wanapia bei chini ya dola 100. Ndiyo maana nikauliza kama kuna anyeijua. Unajua kuwa cheap is expensive
Ye anataka chini ya $100$100 itakuwa powaa.. kama unatakwa watoto wafurahi sogea Gran Melia
chini ya $100 hotel nyingi ni kubahatisha ubora wa huduma na mazingiraYe anataka chini ya $100
Oya mkuu mb9na una ni ignore reply zangu asee?
Qmmk mtoto wa kiume una lilia kujibiwa reply, manena Busu la KengeOya mkuu mb9na una ni ignore reply zangu asee?
Huyo mkuu namsumbua maksudi alikuwa ananitukana nafurahi sasa hivi kachokaQmmk mtoto wa kiume una lilia kujibiwa reply, manena Busu la Kenge
Usiku halali anamuota yeye, na akinywa maji anamuona kwenye gilasi,,,,Qmmk mtoto wa kiume una lilia kujibiwa reply, manena Busu la Kenge
Kama Dola 100 ni ndogo, nenda Grand Melia ni pesa kidogo tu kama $500 kwa siku.Contact nao nimeshapata wakanipa bei zao. Hawawezi kuniambia ukweli kuhusu ubora au udhaifu wa hoteli yao. Ndiyo maana natafuta third part opinion
Sir Keir Starmer chalii huko. Nigel anachukuwa nchi.Usiku halali anamuota yeye, na akinywa maji anamuona kwenye gilasi,,,,
Washaanza kutuuliza maswali ili watupige bomba...Sir Keir Starmer chalii huko. Nigel anachukuwa nchi.