A
Anonymous
Guest
Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa!
Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane.
Cha ajabu ni kwamba mita kama 200m kutoka maeneo haya maji yapo muda wote na idara ya maji (AUWSA) wapo tu hakuna msaada wowote.
Wananchi tunanunua maji mwezi mzima na bado tunaletewa bill ya maji kubwa tofauti na matumizi.
Tunaomba msaada tafadhali hali ni mbaya sana bila maji