arusha

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Arusha: Askari Polisi apigwa kama Mbwa koko

    Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja. Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video, wakamtembezea...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi adaiwa kuwapiga Vijana Wawili Waliokuwa Wamefungwa Pingu Kuelekea Kituoni cha Polisi

    Leo hapa Arusha Ungalimited Maeneo ya Soko Mjinga alikuja Polisi akakamata vijana wawili akawafunga Pingu, akaanza kwenda nao kituoni sasa cha ajabu njiani akaanza kuwapiga na fimbo kichwani mmoja damu zikaanza kumvuja. Basi Vijana hao walimkamata polisi kama unavyoona kwenye video...
  3. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Inapotajwa Mwanza, Dodoma, Dar es salaam, Arusha, Tanga, Mbeya nk Zanzibar hakuna jiji?

    Ni ubaguzi ulioje.
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Diploma kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) tunasota kupata AVN Namba kutoka NACTVET

    Kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), kuna changamoto ya kupata Award Verification Number (AVN) Kwa Wanafunzi waliohitimu Diploma AVN ni Number inayotolewa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwa wanafunzi waliohitimu Diploma, inayowasaidia kuomba mkopo...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Utalii wa Mikutano Arusha: Madereva wa taksi wafunguka wanavyonufaika kiuchumi

    Mikakati ya makusudi ya kukuza utalii wa mikutano (MICE) ndani ya Jiji la Arusha imeanza kuzaa matunda, huku makundi mbalimbali ya kijamii yakishuhudia manufaa makubwa ya kiuchumi kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja hadi jamii kwa ujumla. Miongoni mwa wanufaika wakuu ni madereva wa taksi ambao...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Afya Msingi Arusha: Safari ya SDGs

    Mkutano huu unatoa fursa ya tafakari ya pamoja katika safari yetu kama Taifa, Afrika na dunia kwa ujumla katika kufikia malengo ya Maendeleo Endelevu- Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Nchemba awasili Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atua Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
  9. babukijana

    JamiiForums Tanzania Kumbe enthroversy na introversy ni ni hawa Gen Z wa Arusha?

    Ni vitoto fulani hivi vinajiona vya kishua vishamba shamba tu hata Ngarenaro haviwezi kufika kama hamna mlinzi. Wanafanya nini mda wote vyumbani kwao. Ni kupiga puli,kucheza game kulala× repeat. Baba pays Videmu ndo hivi vinajifanya visagaji havimtegemei mtu vinaweza kulea malaya yoyote. Baba...
  10. babukijana

    JamiiForums Tanzania Kumbe enthroversy na introversy ni ni hawa Gen Z wa Arusha?

    Ni vitoto fulani hivi vinajiona vya kishua vishamba shamba tu hata Ngarenaro haviwezi kufika kama hamna mlinzi. Wanafanya nini mda wote vyumbani kwao. Ni kupiga puli,kucheza game kulala× repeat. Baba pays Videmu ndo hivi vinajifanya visagaji havimtegemei mtu vinaweza kulea malaya yoyote. Baba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa matokeo ya Wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) una shida na hakuna anayetatua

    Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kituambie Wanafunzi tunaosoma hapo, kuna nini katika mfumo wao wa matokeo? Kuna changamoto nyingi ambazo hazina majibu na zile zinazopewa majibu yanakuwa mepesi, mfano Wanafunzi kutokuwa na matokeo wakati ratiba ya supplementary imetangazwa, sasa jiulize unatoaje...
  12. Texas Tiger

    JamiiForums Tanzania TSh 6M kwa mwezi ndiyo level ya kuishi maisha comfortable Dar au Arusha bila kila mwezi kuwa na financial stress.

    Yes sir. Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently. Fikiria hivi. You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend. 1. Assume unaishi Dar bado hujajenga. Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sakila Chini, Mtaa wa Mbuyuni - Arusha hakuna maji, Hospitali, Shule wala duka la dawa

    Kwetu ni Arusha sehemu wanaita Sakila Chini, Mtaa wa Mbuyuni, tangu enzi za bibi zetu hakuna maji hakina shule hakuna hospitali hakuna chochote miaka na miaka naomba tupazie sauti tupate hata maji tu tunanunua maji kwa pikipiki dumu moja mia tano hata barabara hatuna. Viongozi wana trekta...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) boresheni huduma zenu za online, zinatukwaza Wanafunzi

    Changamoto yangu ni Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mwanafunzi unakuwa na changamoto ya kurekebishiwa taarifa za mitihani unakuta kwenye hard copy ipo vizuri lakini kwenye mfumo wamekuwekea ABS au ABSc. Unafuatilia zaidi ya miezi mitano wanakuambia wanafanyia kazi, mara ingia ofisi fulani wa...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Azindua PAPU Tower Arusha

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 2 Septemba 2023 — kuzinduliwa kwa PAPU Tower Arusha Rais Mhe Dr. Samia Suluhu Hassan alizindua rasmi Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower), lililopo Philips, Arusha. Alifanya hafla hiyo pamoja na viongozi wa PAPU, akiwemo Katibu Mkuu Dkt. Sifundo Moyo.
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi: Malisa alikamatwa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake. Soma: Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana Aidha baada ya mahojiano wameachiwa...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Arusha airport yajiweka tayari kwa AFCON 2027

    Uwanja wa Ndege wa Arusha umeboreshwa kwa kuongeza muda wa huduma hadi saa 24, kutoka kufungwa saa 12 jioni. Njia ya kuruka na kutua ndege imeongezwa kutoka km 1.64 hadi km 1.84, huku eneo la maegesho ya magari likipanuliwa hadi takribani mita za mraba 15,000, hatua zinazoongeza uwezo wa uwanja...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kampuni ya Mabasi ya Machame Investment Arusha na Dodoma ruhusuni abiria wenu watumie vyoo bila kulipia

    Ofisi za Kampuni ya Mabasi ya Machame Investment Arusha waweka huduma ya choo lakini ni ya kulipia hata kwa abiria, unapaswa kulipia Shilingi 300 hata kama una tiketi. Jambo hili lipo pia katika Ofisi ya Machame Dodoma njiapanda ya Area c, kuna choo ambacho ni cha kulipia nafikiri siyo kitu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Private Media za Arusha zinatoza Wanafunzi fedha ili waruhusiwe kufanya field, ni sawa?

    Private Media za Arusha (radio za Arusha) mfano mzuri ni SUNRISE ARUSHA FM na radio zingine wanatoza wanafunzi wa field Sh 50,000 up to 70,000 sasa sijui kama ni utaratibu umewekwa au wakina nani wamejiamulia maamuzi hayo! Ili mwanafunzi aruhusiwe kufanya field anatakiwa kutoa hela, mfano mzuri...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Moyo Medicare, Arusha hawajawasilisha michango yangu ya NSSF kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa

    Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya kuwa makato yalifanyika wakati nilipokuwa kazini. Nimejitahidi mara kadhaa kuwasiliana na uongozi wa...
Back
Top Bottom