A
Anonymous
Guest
Habarini wanaJF,
Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari.
Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha nauli,watoa huduma hii ya usafirishaji yaani daladala ndani ya mkoa huu walikua tayari wamekwisha pandisha na hilo sina shida naloa kwani pia gharama za uendeshaji zilipanda...
Shida yangu kubwa ni hata baada ya mamlaka kutoa viwango rasmi jiji hili watoa huduma hawana kabisa muda wa kufuata miongozo iliotolewa ,imagine kutoka sakina mpka sanwari inanibidi nitumie 2000 per route na hapazidi hata km 20 yaani sakina to miamzini 1000 na mianzini to sanawari 1000 na route tajwa hazifiki io bei kwa maelekezo ya umbali.
Basi ikipendeza iwe route moja sakina to kwa mrefu via mianzini bila kupita stand ndogo anagalau tupunguze makali ya gharama za nauli mara mbili na barabara ni moja ...naomba kuwasilisha.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli