all members

Donald Clayborn "Don" Sleet (November 27, 1938 – December 31, 1986) was an American jazz trumpeter. He was a member of Howard Rumsey's Lighthouse All-Stars and Lenny McBrowne and the Four Souls. Widely considered a gifted musician, compared to the likes of Art Farmer and Kenny Dorham, Sleet had a short career as a result of his drug abuse, recording only one album as a leader.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    Wilaya gani katika mkoa wa Ruvuma ni rafiki kwa kilimo cha vitunguu?

    Jamaani mashamba yanayoweza kuwa rafiki kwa kilimo Cha vitunguu mkoa wa ruvuma yapo wilaya gani?
  2. M

    Kuna ukweli wowote kuwa baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi?

    Kuna ukweli wowote kuwa kuna baadhi ya wanawake ukilala nao unapata mikosi? Kumekuepo na story nyingi mtaani hasa kwa vijana na wazee kuwa kulala na kila mwanamke unaweza pata mikosi. Kuna yeyote alishawai kutana na hichi karibu tushare..!
  3. D

    SoC03 Ubora wa elimu huchagizwa na huchagizwa na uongozi bora

    Elimu inahitaji kuzingatia utofauti na usawa. Uongozi bora unahitaji kuheshimu na kuthamini tofauti za kitamaduni, kijinsia, na kiuchumi. Shule na vyuo vinapaswa kujenga mazingira ya kujifunza yenye usawa, kuhakikisha upatikanaji sawa wa elimu kwa wote, na kutoa fursa sawa za uongozi. Pia, elimu...
  4. D

    SoC03 Je, wajua afya bora katika jamii inaanza na mimi na wewe?

      Mara nyingi, tunapozungumzia afya, tunawaza tu juu ya upatikanaji wa huduma za matibabu na jinsi ya kudumisha afya yetu binafsi. Hata hivyo, afya ni zaidi ya hilo, Ni muhimu kutambua kwamba uwajibikaji wa kiafya hauhusiani tu na kujali afya yetu binafsi, bali pia kwa kugusa sehemu kubwa ya...
  5. Max Mwinuka

    SoC02 Thamani ya Elimu katika Ukombozi wa Jamii

    Elimu ni jumla ya maarifa aliyonayo mtu yanayomuwezesha kutatua changamoto za maisha yake ya kila siku. Elimu si ile tu inayopatikana shuleni na vyuoni bali ni maarifa yote yapatikanayo katika mazingira husika au mazingira yanayo tuzunguka. Elimu ni kitu muhimu sana katika mapinduzi ya kifikra...
  6. KENZY

    Jf chat: All members chat

    Kama unajihisi mpweke ama upo bored au unahamu ya kuchati na wasiofahamika na wanaofahamika!,hapa ndo mahala pake,njoo tupunguze stress,upweke,tucheke na tulie pia!. Say hi to everyone and every time we will be there. We chat.. Hello jf..?
  7. Mr HQ

    Naomba msaada: Nahitaji kufungua store ya vyuma (all metal)

    Nahitaji kufungua store ya vyuma (all metal) naomba kujua kiasi gani cha mtaji niandae.🙏🙏🙏
  8. Faru dume

    Tulivyowaza tukiwa watoto

    Poleni wananzengo, Si vibaya kukumbuka nyakati zilizopita pindi tukiwa watoto wadogo ukiachana na maswali ya kidadisi kama vile "Eti mama mimi nimetoka wapi?" Je ulishawahi kuwaza nini kipindi cha utoto wako ukaja gundua sio kweli ulivyokuwa ukihisi? Mfano mimi nilijua watu wazima hawaendi...
  9. Kimwerymdodo5

    Eid Mubarrak to all members of JamiiForums

    Eid imeangukia Mokonda Day😁😁. Enewei, muwe na sikukuu njema wakuu.
  10. Magari ya kukodisha

    WanaJf tupeane code sehem za Bata Christmas

    Wazee wenzangu Wazeee wa bata Wazeee wa location Tuambiane sehem gani zinabamba kipindi hiki cha sikukuu Bata yako utakulia wapi Mimi leo niko slip way hapa nashangaa watoto wazuri Krismas nitakuwa 5n
Back
Top Bottom