ajira

  1. JamiiForums Tanzania Maalim Seif akiri kuwepo kwa ubaguzi wa ajira Visiwani Zanzibar unaosababishwa na tofauti za kisiasa

    Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi wa ajira visiwani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Amekiri kuwepo kwa ubaguzi wa ajira kwa baadhi ya Wazanzibari, unaotokana na misingi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna na gharama za kusajili Blogu

    Habari Wakubwa? Kulingana na suala la ukosefu wa Ajira nchini na Duniani kwa ujumla, baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya chuo, nahitaji kufungua blogu yangu, ambayo inakuwa kama entertainment and news media, ili niweze kujipatia chochote kitu. Naomba kujua taratibu za kisheria hususan TCRA...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza awamu ya pili ya ajira 5000 za Walimu

    Serikali imetangaza awamu ya pili ya ajira ya walimu 5,000 ili kufikia idadi ya walimu 13,000 kutokana na kibali kilichotolewa na Rais John Magufuli. Septemba 7, mwaka jana Rais John Magufuli alitoa kibali cha ajira mpya za walimu 13,000 wa shule za msingi na sekondari pamoja na mafundi sanifu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Serikali hii inatengeneza pato kubwa kuliko Serikali zilizopita, mbona haitoi ajira za walimu na watumishi wa afya kama serikali zilizopita

    Ukweli ni kwamba kabla ya awamu ya tano haijaingia madarakani, ajira za walimu na watumishi wa afya zilikuwa ni za kila mwaka, na kama sikosei, wahitimu wote walikuwa wanapata ajira. Baada tu ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani, kumekuwa hakuna ajira za uhakika kwa wahitimu wote wa...
  5. JamiiForums Tanzania Maswali na majibu ya wadau wa sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma

    Updates ! Pia nitatumia uzi huu hapa, kuweka matangazo ya ajira kutoka Sekretarieti ya ajira(Utumishi) katika Ofisi ya Rais. 🙏 Pata majibu ya baadhi ya maswali ambayo yamekuwa yakiulizwa na wadau wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kupitia njia mbalimbali za mawasiliano wakitaka...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kuhusu ajira zinazotolewa na Serikali

    Habari zenu wanajukwaa! Haya ni maumivu makubwa sana kwa umma sijui ni private issue ila ninaliona kuwa ni janga kubwa sana tuendako. Yaani nineshangaa sana ajira nafasi 21 kanda ya Engineer two TANROADS, wameitwa kwenye usaili takribani watu 1223 exactly. Hili linaashiria nini? Kuwa vijana...
  7. JamiiForums Tanzania Kujikwamua kielimu au kibiashara huku ukijitegemea

    Habari, wanajamii? Kuna wazo moja ninapenda nililete kwenu nikitumai kubadilishana mawazo nanyi. Kuna huu mfumo, uliojiimarisha hasa katika nchi za magharibi, wa kujisomesha kwa kufanya kazi au wa kuwekeza katika biashara, bila kuitegemea biashara hiyo kiuchumi. Jambo hili linawawezesha - hasa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni ipi mipango ya Serikali ya awamu ya tano katika kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania?

    Habari ndugu zangu, Sote tunafahamu ukubwa wa tatizo la upatikanaji wa ajira nchini kwa miaka ya hivi karibuni. Kwa kipindi tulichopo, hakuna tofauti baina ya msomi wa masters na aliyeishia darasa la pili, maana wote wanakimbilia kazi primitive zisizohitaji ujuzi wowote wa kielimu (mfano...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inawabagua walimu wenye shahada kwenye ajira?

    Kuna kitu hakipo sawa kwenye ajira za walimu. Kwenye kila kibali cha ajira kinachotoka idadi ya walimu wenye shahada wapatao fursa ya kuajiriwa serikalini huwa ni ndogo sana kulinganisha na walimu wa ngazi zingine za kielimu kama vile cheti na diploma. Kielelezo kizuri ni ajira zilizotoka juzi...
  10. JamiiForums Tanzania Fani zenye ajira kwa sasa, vijana someeni fani hizi

    FANI ZENYE AJIRA KWA SASA NA MKWANJE MREFU Na, Robert Heriel Leo sina maneno mengi, watu wengi wamekuwa wakilalamika ajira hakuna, sijui maisha magumu, wengine imefikia hatua ya kujidhuru kwa kutumia madawa ya kulevya, pombe, kujiuza na kudanga kisa tuu hawana mbele wa nyuma, hawana lila wala...
  11. JamiiForums Tanzania Tuijenge Tanzania yetu. Ajira za Mafundi Uashi

    Asalaam Alaikum. Ajira Ajira Ajira. Mafundi Waashi (Masons) waume kwa wake wenye uzoefu wa kazi na wanaoweza kufanya kazi kwa kujituma bila kusimamiwa.Wawe na shauku na uwezo wa kujifunza na hatimae kufundisha ujenzi. Malipo na marupurupu ni ya viwango vya juu kwa wazoefu wataokidhi vigezo...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Poleni vijana mnaomaliza vyuo kipindi hiki. Mnanyanyaswa na kudharauliwa sana na viongozi, eti mjiajiri wakati wao wana ajira

    Jana job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. Maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri. Poleni kwa sababu hata serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi yake...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ajira za welding and metal fabrication ni zipi?

    Jamani kama mtu amemaliza chuo cha ufundi veta amepata certificate ya level II (VC2) na Level III (VC3) anaweza kuajiriwa sehemu gani au anaweza kuomba kazi sehemu gani naombeni msaada jamani.🙏🙏🙏
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli TAMISEMI imefuta Ajira za Walimu walioajiliwa wenye Ngazi ya Diploma?

    Habarini ndugu Naomba nifikishe hili suala maana nina wasiwasi sana na Ajira yangu mpaka sasa kwasababu nilisubiri sana mpaka kuipata. Siku ya Jumamosi tarehe 19 Dec nilipokea simu kutoka kwa Afisa Ajira wilaya ya Tandahimba (kwa mujibu alivojitambulisha), akisema kua Ajira yangu imesitishwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI fuatilieni Wakurugenzi wa Halmashauri zote kuhusu ajira mpya za Waalimu kuna urasimu mkubwa

    Sote tunafahamu kwamba Katibu Mkuu wa TAMISEMI alitangaza majina ya waalimu wapya mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu. Akatoa maelekezo kwa waajiriwa wapya kwenda kuripoti kwenye Halmashauri walizopangiwa kuanzia tarehe 1 hadi 14 Desemba. Katibu Mkuu huyu alikwenda mbali zaidi na kuwaelekeza...
  16. JamiiForums Tanzania Ombi la kazi ya ualimu

    Habari, Mimi nimwalimu niliehitimu katika chuo kikuu cha elimu kishiriki cha Dar es salaam na kutunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya Economics pamoja na Political Science and Public Administration. Hivyo natafuta kazi ya Ualimu (kufundisha) ngazi yoyote kama ifuatavyo Advanced Level...
  17. JamiiForums Tanzania Tufanye nini ili nchi yetu iondokane na kilimo cha kimaskini na kilimo kiwe ajira?

    Tanzania ni nchi inayofaa sana kwa kilimo tuna ardhi nzuri na kubwa sana, pia tuna maji mengi sana. Ni moja ya nchi zenye maji mengi duniani lakini ajabu yetu kilimo chetu ni cha kimaskini kupita maelezo. Wakulima ni maskini wa kutia aibu. Kwa ardhi tuliyonayo kilimo kinaweza kuwa kimbilio la...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kazi na Ajira angalieni mfumo wa makampuni kukodisha wafanyakazi

    Mfumo wa ukodishaji wa wafanyakazi umeshika kasi sana hususani kwa makampuni Mengi makubwa hapa nchini, hili lipo sana sana kwa yale makampuni yaliyo na chimbuko la nje ya nchi. Mfumo huu unaviashiria vya ukwepaji wa mambo fulani ikiwemo kodi kwa Serikali, utakatishaji wa fedha na kunyonga...
  19. JamiiForums Tanzania kigezo cha uzalendo kitumike kutatua swala la ajira

    Habari waheshimiwa! Kuna kauli moja au msemo mmoja wa waswahili unasema mla nawe ndio mfa nawe. Nawaomba waheshimiwa kwa nafasi zao walizoteuliwa na kuchaguliwa wasije kuwasahau vijana waliopigwa na mvua na jua na kukesha mpaka kunakucha kuakikisha ushindi unapatikana huwe wa goli la kichwa au...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA

    Wanaotafuta kazi, ajira, internship, apprenticeship, kujitolea, pitia HAPA. Jiulize, je wewe ni: 1. Unayejali kazi (Professional) 2. Mwadilifu (Ethical) 3. Mwenye mtazamo sahihi (Right attitude) 4. Mbunifu, utakayeongeza thamani uendako (creative, add value). Jiandikishe TAESA.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…