Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,202
- 1,296
Basi bwana baada ya kumaliza chuo sina mia sina kitu, nkaenda kujibanza kwa sister maana alikuwa ameolewa na wamejenga.
Ni vigumu kukaa kwa sister wako aliyendoani lakini sister wangu na mumewe tuliishi vizuri saaana. Basi nilimaliza chuo mwezi wa 7, Basi nkaanza application za kazi, nilkataa katu katu kuomba kazi physically maofisini.
Yaani nilikuwa naomba kazi online (via email) n.k, kufika mwezi wa 10 nilikuwa nimefanya application 14, na hakuna niliyoitwa hata interview.
Basi mwez wa 11 nikapitia email zangu nkaomba feedback ya application yangu ya kujitolea kwenye shirika moja la Wamarekani, nilipata contacts zote za Director General wa hilo shirika mtandaoni Basi nkamu-email kimasihara, ikumbukwe barua ya kuomba kujitolea nili-type kwenye simu kimasihara na ilipangwa vibaya, Basi yule boss akarespond email yangu akasema nafasi ikipatikana watanicheki.
Tarehe 24/12 napigiwa simu na manager nkafanye interview, yaani huo mwaka sikujua vya Christmas, nilipanda gari kutoka Dar Hadi mkoani nkapiga interview, tulikuwa 4 me nkatoboa nkapata kazi.
Director alipotoka Marekani kuja Bongo, alisema we chalii una confidence hatari, uliwezaje kupata contacts zangu, nkamuambia nilizipata kimasihara.
N.B Hivyo niliandika barua kimasihara ya kuomba volunteering, nkaandika emails ya kuulizia my application kimasihara, Sina hili Wala lile nkaitwa interview kimasihara, na nkaajiriwa mazima badala ya voluteering, so nkaajiriwa kimasihara.
Wale mliopata ajira kimasihara ebu shusha nondo.