Hivi karibuni, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alitoa kauli inayokwenda kinyume na ukweli, akizilaumu kampuni za China kupeleka wafanyakazi wake wengi barani Afrika na kunyima fursa za ajira wanazoweza kupata wenyeji wa Afrika.
Alipozungumza na wahitimu wa “Mpango wa Viongozi...
Habari zenu Wana jf, kijana wenu fresh from school natafu ajira kwenye angle zifuatazo kiwandani
Quality control
Production plan and control
Project management
Asanteni
Wakuu Salaam,
Natafuta kazi yoyote katika fani ya Mathematics, research and statistics.
Napatikana muda wote kwa namba hizi: 0712778881
Nina experience ya kutosha.
Wapendwa habari!
Samahani naomba kuuliza nimekosea kujaza details za academic qualification nikajaza cheti Cha degree Mara mbili network ilikuwa inasumbua kumbe imejiupdate.
Nakuja kuangalia CV preview naona degree Mara mbili. Halafu hakuna option ya kudelete wanaojua nifanyeje wapendwa? Maana...
Shirika la kazi duniani ILO limesema mamilioni ya watu ulimwenguni wamepoteza ajira zao au kupunguziwa muda wao wa kufanya kazi kufuatia janga la virusi vya Corona.
Katika ripoti yake ya tathmini iliyotolewa leo shirika hilo la kimataifa limeeleza kwamba, ikiwa janga hilo halitoongezeka soko...
Kufuatia Machaguzi ya kwenda kujiunga na elimu ya kidato cha 5 na vyuo vya Kati. Nimeona wizara (TAMISEMI) imewapangia wanafunzi wengi sana kwenda kusoma vyuo vya kati.
Kwa kozi zingine ambazo ukiziona unaanza kumuonea dogo huruma. Mfano: Public Administration, Tour Guide, ualimu, Business...
Basi bwana baada ya kumaliza chuo sina mia sina kitu, nkaenda kujibanza kwa sister maana alikuwa ameolewa na wamejenga.
Ni vigumu kukaa kwa sister wako aliyendoani lakini sister wangu na mumewe tuliishi vizuri saaana. Basi nilimaliza chuo mwezi wa 7, Basi nkaanza application za kazi, nilkataa...
Mwingiliano wa utamaduni kati ya China na Afrika hivi sasa umekuwa mkubwa sana. Ni kutokana na maingiliano haya ndio maana pande hizi mbili zimekuwa zikifahamu baadhi ya tamaduni za pande zote mbili. Sote tunafahamu kwamba utamaduni umejikita na kuonekana kwenye mambo mbalimbali, yakiwemo lugha...
Habari za majukumu ndugu zangu, kwa mwenye connection ya ajira au kibarua naomba msaada, nipo MBEYA elimu kidato Cha sita naitaji nipambane ata kibarua kidgo ili nipate sehemu ya kujikeep bize nkisubr Mambo ya vyuo. Kwa mwenye msaada wowote namba yangu ni 0782284770
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga yuko salama kufuatia ajali ya Chopa iliyotokea katika Kaunti ya Siaya Jumapili jioni. Chopa hiyo ilikuwa imemsafirisha kutoka Kisumu hadi Gem katika Kaunti ya Siaya ilipoanguka.
Taarifa kutoka kwa Msemaji wake Dennis Onyango ilisema Chopa ilianguka...
Makubaliano yanasema kwenye taasisi na wizara zote za Muungano ajira iwe Zanzibar 21% na Tanzania 79%.
Issue hapa naona haijakaa sawa maana mzanzibari anaweza kuingia kwa hizo 21% lakini pia hiyo asilimia 21% ikijitosheleza anaweza kuingia kwenye taasisi hiyo hiyo kama Mtanzania maana nae ni...
Siku hizi imekuwa kama sifa kumsikia Mtu akijinadi kuwa yeye ni bingwa wa kuagiza bidhaa kutoka China au sehemu nyingine ya Dunia.
Kwa vyovyote Mtu kama huyu hawezi kufurahi akisikia mipango yoyote ya Nchi kutengeneza bidhaa zake yenyewe, na atafanya kila linalowezekana kuhujumu juhudi kama...
Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo ikapita.
Kipenzi chetu Mungu akamchukua kazi ya Mungu haina makosa (RIP Rais Magufuli)
Tukaja mama...
Habari wadau..!
Leo nimeona nisikae kinyonge niombe kazi hapa JF,maana nimesikia watu wanalipana 100milion kwa siku nchi hii.
Sasa na mm naomba mwenye koneksheni ya wizara ya fedha tupeane natafuta kazi hata ya kufagia, tukale wote keki,Cv yangu ipo poa tu nina PhD ya wanyamapoli😂😂😂
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Ujenzi wa Viwanda ndio jibu sahihi la kupunguza changamoto ya Ajira Nchini kwa ngazi zote.
Amesema, "Changamoto ya Ajira ipo duniani kote ikiwemo hapa kwetu Tanzania. Kila Serikali inaweka utaratibu mzuri wa kukabiliana nayo"
Ameeleza...
Ajira kugawanywa bara na visiwani nafikiri sana kuwa ingefaa ajira zipatikane kupitia taratibu za ushindani, bila kujali mtu anatoka wapi, iwe kwa taasisi za umma, serikali ya JMT, iwe kwa ajira kwenye vyombo vya usalama.
Ni nini kimepelekea kubadili mfumo wa ajira? Kama watu wa upande mmoja...
Awamu ya tano ndiyo iliyoasisi ajira za kifichoni. Taratibu hazikufuatwa kabisa kabisa. Awamu hiyo ilipoingia tu Taasisi za Serikali kwa kiasi kikubwa ziliacha kushindanisha wafanyakazi. Ikawa ni kuchukua tu mtoto wa dada weka pale.
Ndugu yake Spika weka pale, nk. Ndugu yangu alisafiri na Mkwe...
Sekta binafsi ndiyo mwarobaini wa ajira nchini. Nchi za ulaya pamoja na kuwa na teknolojia pamoja na wataalamu lukuki lakini hazijafikia kiwango cha kuwa na madaktari wanaozurura mtaani, walimu wanaozurura mtaani pamoja na wauguzi wanaozurura mtaani eti kwa kisingizio cha ajira ni tatizo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.