The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.
Wasalam,
Kwa baadhi yetu ambao pets hasa mbwa na paka ni sehemu ya maisha yetu na tuna mapenzi na wanyama hawa lakini pia tuna ufahamu wa aina mbalimbali za wanyama hawa. Naomba kusaidiwa aina ya mbwa huyu (puppy).
Nilikuwa na shepherd mdogo lakini wajanja wakapita nae 😅, hivyo sikutaka kujipa...
Afrika ni bara tajiri sana duniani.
Lina rasilimali za kila aina kuanzia ardhi nzuri inayofaa kulima mazao ya kila aina, maji, hali nzuri ya hewa, uoto wa asili ikiwemo misitu, madini, mafuta, gesi n.k.
Viwanda vingi duniani vinaendeshwa na raw-materials toka Afrika.
Cha kustaajabisha, nchi...
Habari zenu wadau na wapenda bike, aisee niende moja kwa moja kwenye mada.
Kampuni ya Bajaj wamekuja na toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125hd isiyokuwa na paper oil filter.
Tuone kama muendelezo wa uboreshaji huu utaweza kuboresha engine za boxer maana toleo hili jipya jamaa wameondoa...
Wanawae wanautani sana mfano
Mtu na wifi yake unakuta wanaitana mume wangu au mke wangu
Ila mwanaume kukuta wanataniana mke wangu au mume wangu na shemeji yake ngumu sana
Wanawake anaweza mwambia mwenzie nakupenda au akamuita mwezie mpenzi wangu
Mwanaume ukithubutu mwambia ivyo mwanaume...
Nimejaribu kupitia tovuti hii hapa na kuona Tanzania ina kila aina ya madini.
Na yanachibwa kweli kweli lakini bado wananchi tunahangaika .
https://www.tanzaniainvest.com/minerals
Wajameni hii imekaaje?
Kuna mwenye jibu anipatie.
Mfano Chuma, sema ndio mchina kesha beba.
Tanzania Iron Ore...
Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya
Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
Chati ya kinyesi ya Bristol ilitengenezwa mnamo 1997 kama zana ya tathmini ya kliniki. Kuna aina saba za kinyesi kulingana na Chati ya hiyo.
Chati ya kinyesi ya Bristol ni msaada wa matibabu ulioundwa na kuainisha kinyesi katika vikundi saba.
Baada ya kujisaidia, kile unachokiona chooni...
Wahenga wanasema tembea ujionee. Ikiwa hii ni mara ya pili kutembelea mkoa wa Xinjiang Uygur, nimebaini kwamba hata utembee mara ngapi katika sehemu mbalimbali za mkoa huu, basi hakika hamu haitakwisha na kizuri zaidi ni kwamba utagundua mambo mengine mengi mapya. Nasema hivi kwasababu huu ni...
Wakuu hamjamboni nyote?
Naomba kufahamu hiyo gari pichani ni aina gani na inagharimu kiasi gani ukiamua kuinunua kwa fedha za Kitanzania ikiwa mpya kabisa
Naomba pia kujua kiwango cha matumizi ya mafuts pet kilometa
Aksanteni niwatakie usiku mwema
Habarini ya kazi.
Naomba kufahamu kwa wanaojua, hivi kuku aina ya Malawi wale wanaopatikana sana Mbeya huatamia na kuangua mayai yao ama nao ni kama chotara wa kawaida wanataga tu pasipo kuatamia mayai?
Hey
Hakuna watu wanakera kama hawa mtu anapoomba hela anasumbua sana simu azikauki lakini akishapa iyo hela umemtumia hajibu sms kama amepata yaani ulie tuma umpigie umuulize umepata kumpigia simu ni kama unaomba asante ase mimi nakwazika sana
Nilipita njia ya makaburini, nikakuta kwenye baadhi ya makaburi kwa juu kumewekwa chupa ya chai na vikombe vya chai, kuna moja ya wazee waliopo hapo maeneo ya karibu aliniambia hizo chupa na vikombe unaona vimechoka ila kwenye ulimwengu wa roho hizo ni chupa mpya na vikombe vipya kabisa...
Kwa maelezo ya wanasheria mbalimbali, huu mkataba una mapungufu mengi mengine yanayoonekana kuondoa uhalali na hata maana ya mkataba wa pande mbili.
Kwa mfano, kwakuwa kwenye mkataba, Mama amesaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai ambayo yeye hana mamlaka yoyote na wala serikali hiyo haijampa...
Kusema kwamba viongozi wote wa sasa wameshindwa kujiamini ni taarifa ambayo haiwezi kuwa sahihi na isiyojitosheleza. Kuna viongozi wengi katika nyanja mbalimbali ambao wameonyesha ujasiri na imani katika uongozi wao. Ni muhimu kutambua kwamba viongozi ni watu na wanakabiliwa na changamoto na...
Kuna clip zinatembea zikionesha vijana wa mkoa wa Arusha wakiwa mochwari kwaajili ya kuchukua mwili wa mwenzao aliyefariki kwa ajali ya pikipiki.
Namna ya maisha ya vijana wa Arusha wanavyoishi, kuvaa, kuongea, ku-behave nafikiri tunahitaji mjadala wa kitaifa. Yaani wanafanya mambo ya kizamani...
Habari za asubuhi ndugu na marafiki wa Jamiiforums. Nimeletewa aina hii ya mawe na mdogo wangu lakini kati yetu hakuna aliyeweza kuyatambua.
Kwasababu JF ni mkusanyiko wa watu wenye maarifa mbalimbali, nikaona si mbaya nikiuliza ili tuweze kuyatambua. HAYA NI MADINI AINA GANI na thamani yake...
Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo.
Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.