aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Aina ya uongozi tulio nao; anayechelewesha msafara ng'ombe wa mbele, anatandikwa wa nyuma

    Bara la Afrika pamoja na kuwa na raslimali za kila namna lakini bado ndo bara linaloongoza kwa umaskini kati ya mabara yote 7. Hii inachagizwa na ukosefu wa viongozi bora. Viongozi wengi wa nchi za Kiafrika wanafanana karibia kwa kila kitu (ukitoa wachache tu wanaojitambua). Wengi wao hawana...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Samsung A04 used

    Habari wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, 👉 Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu. 👉 Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa isipokuwa tu haisomi earphones na badala yake huwa natumia earpod za ku-connect na bluetooth. 👉...
  3. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Aliyemuumba ndiye aliyesema tuishi naye kwa akili, huyu kiumbe ni wa aina gani?

    Salamu ni chanzo cha umasikini,huwezi elewa hili hadi uwe na Akili timamu! Wakati nikiwa mdogo nilidhani nyoka ndiye kiumbe hatari kuliko vyote duniani,lakini kumbe nilikuwa sijafahamu ilikuwa ni akili ya kitoto tu!. Nilipokuwa mtu mzima nimekuja kugundua kiumbe aitwaye "Mwanamke" ndiye kiumbe...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je illuminati ni watu wa aina gani? soma hapa uweze kuwatmbua

    The original Illuminati were a Bavarian secret society founded in 1776. Their stated goals were, to coin a phrase, “woke”—to eliminate superstition, religious influence over public life, and the abuse of power by the state and the wealthy. Naturally, they were banned almost immediately, and the...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi bado inapokea kichapo, Ukraine yalipua ndege sita za Urusi za aina ya SU-25

    Jameni tusisahau Urusi bado inapokea kichapo.... Ukraine destroyed six Russian Su-25 fighter jets in the Tavriya sector of the front in October, the Tavriya Defense Forces’ spokesman, Colonel Oleksandr Shtupun, said on national television on Oct. 30. "As you can see, they do not feel safe,”...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nini kimefanya beer aina ya Heinken na Windhoek kupotea kabisa sokoni?

    Wanabodi, Nini kimetokea hadi kufanya beer aina ya windhok na Heinken kupotea sokoni? Nimepita maeneo tofaut tofauti, wanalalamika beer hakuna! Hii inapelekea bei yake kuwa juu tofauti na uhalisia. Shida ni nini?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Naweza kuwa Mwenezi yeyote yule mnyeyekevu au mcheza rafu na mkorofi

    Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani. Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
  8. The Boss

    JamiiForums Tanzania Aina za watu Maofisini

    Kama unafikiri kufanya kazi kwa bidii tu kunatosha.. utashangaa unafeli kila siku kwenye maofisi ogopa sana watu, hata uwe mchapakazi vipi, waelewe watu kwanza ili uweze kufaulu. Hizi ni baadhi ya aina za watu. 1. Machawa Hawa kazi Yao kujipendekeza na kuwachafua wengine ishi nao Kwa...
  9. sakasaka

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufanya Configuration ya TV Box aina ya D Sport D1

    ...
  10. Protector

    JamiiForums Tanzania Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
  11. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Spare parts za powertillar aina ya KUBOTA

    Habari wakuu. Kama kichwa kinavojieleza sisi wakulima msimu unakaribia ni muda wa kuandaa mashamba sasa kuna spare za powertillar nimezitafuta bila mafanikio anayejua supplier wa spare za Powertillar aina ya KUBOTA anisaidie.
  12. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za binadamu na tafasiri zake

    (1 ).Low Arch Feet Personality Traits Hii ni kwa watu ambao nyayo zao Hazina uvungu. Hizo hapo chini ndio Hali zao za maisha. low arch feet personality If you have low-arched feet with little or no arch at all, your personality traits reveal that you may realist, extroverted, outgoing...
  13. Extrovert24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usifanye mahusiano na mtu wa aina hii

    Natumai mko poa wana jamvi, Sasa Niende moja kwa moja kwa Mada tajwa hapo juu. Watu wa aina hii ni lazima uwaepuke katika kuingia nao kwenye mahusiano au kufanya nao urafiki wa ndani sana kiasi kwamba Kila jambo lako waweza mueleza. Watu wenyewe ni wa aina hii 1. Mtu ambaye hukufanya ujihisi...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Profesa aliyeko Mubashara ITV na Radio One: Soda aina ya Pepsi ina Vijiko Nane (8) vya Sukari

    Tujiandaeni tu Kufa/ Kufariki kuanzia sasa. Kinachoniuma GENTAMYCINE nimeanza kuinywa hii Soda ya Pepsi tokea nikiwa Chalii (Mdogo) hadi huu Uzee wangu na nikipiga Hesabu za haraka haraka kwa Mahesabu ya huyu Profesa mpaka sasa (leo) nitakuwa nimeshakunywa Vijiko Milioni 750 vya Sukari...
  15. Mr Lukwaro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unataka mwanamke wa aina Gani?

    Kwa dunia ya sasa kuna wanawake wa aina mbili. 1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi..... 2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote...... 3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za kutafuta hela...... 4. Msaliti ila kila anachopata anakula na wewe...... 5. Anaependa "Tit for tat" ...
  16. AKILI KIJIKO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

    Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao sasa ni kufunga ndoa ya kimya kimya bila kuhusisha ndugu maana wanakuwa kikwazo katika hili. Licha...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Ukikua kiumri taste ya baadhi ya aina ya chakula inapotea ama nini?

    Nakumbuka nikiwa mdogo hadi miaka ya shuleni nilikua napenda sana wali maharake, pilau na vitu kama hivyo, ilikua wali na mimi, mimi na wali. Cha kushangaza siku hizi ugali ndio umekua kama default food yangu, ugali nyama, samaki, dagaa ama mboga za majani, ndizi choma nyama, samaki. Maharage...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kuna aina tatu za watu (Idiot, tribalistic and citizens). Je, Tanzania kundi gani ni kubwa?

    Idiot - asiyependa kufikiri, mbinafsi na asiyetamani wengine wafanikiwe bali kila kitu anatamani ajilimbikizie yeye tu. Tribalistic- asiyefikiri nje ya box, anayeamini kwenye kundi dogo mawazo finyu. Mkatili kwa wanaompinga. Asiyefikiri kuacha alama chanya hapa Duniani. Anayeweza yeye na jamii...
  19. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Vidonda ya tumbo

    Vidonda vya tumbo ni michubuko inayotokea kwenye kuta za mfumo wa chakula, hasa kwenye sehemu ya tumbo au pia sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo. Ukubwa wa vidonda hivi hutofautiana, kuanzia millimita chache hadi sentimita kadhaa. Dalili za ugonjwa huu mara nyingi hutegemea umri pamoja na eneo...
  20. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya wanawake wanapenda wanaume wafupi?

    Mwanamke mrefu anapenda mwanaume mrefu. Mwanamke mfupi, anapenda mwanaume mrefu, Sasa mwanaume mfupi atapendwa na nani?
Back
Top Bottom