Haya ni madini ya aina gani?

fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
11,109
19,991
Habari za asubuhi ndugu na marafiki wa Jamiiforums. Nimeletewa aina hii ya mawe na mdogo wangu lakini kati yetu hakuna aliyeweza kuyatambua.

Kwasababu JF ni mkusanyiko wa watu wenye maarifa mbalimbali, nikaona si mbaya nikiuliza ili tuweze kuyatambua. HAYA NI MADINI AINA GANI na thamani yake ikoje?
Bufa
Mpwayungu Village
new gal
Financial Analyst
National Anthem
financial services
Intelligent businessman Arushaone

IMG-20230704-WA0044.jpg
IMG-20230704-WA0046.jpg
 
Habari za asubuhi ndugu na marafiki wa Jamiiforums. Nimeletewa aina hii ya mawe na mdogo wangu lakini kati yetu hakuna aliyeweza kuyatambua.

Kwasababu JF ni mkusanyiko wa watu wenye maarifa mbalimbali, nikaona si mbaya nikiuliza ili tuweze kuyatambua. HAYA NI MADINI AINA GANI na thamani yake ikoje?
Bufa
Mpwayungu Village
new gal
Financial Analyst
National Anthem
financial services
Intelligent businessman Arushaone

Hamna madini apo hayo n mawe kama mawe mengine
 
Hamna madini apo hayo n mawe kama mawe mengine
Hahaha kwani mawe ni nini mkuu? Hivi ujui mawe/ miamba yote ni madini? Kwasababu miamba/rocks zimekuwa composed with different chemical compounds. Hata huu mchanga unaoukanyaga wa kujengea nyumba nao ni MADINI sema ni among of the unvalued minerals in the world. Ili upate thamani inabidi uukusanye mwingi na kuuza in bulk. Kama vile unavyoagiza roli la mchanga lenye ujazo wa Tani 10 kwa 1.5k hiyo ndio thamani yake comparing to other minerals like gold ambayo 1gram inaizwa kwa 130k. So usiseme hakuna madini hapo, elimu ni nzuri sana😊
 
Habari za asubuhi ndugu na marafiki wa Jamiiforums. Nimeletewa aina hii ya mawe na mdogo wangu lakini kati yetu hakuna aliyeweza kuyatambua.

Kwasababu JF ni mkusanyiko wa watu wenye maarifa mbalimbali, nikaona si mbaya nikiuliza ili tuweze kuyatambua. HAYA NI MADINI AINA GANI na thamani yake ikoje?
Bufa
Mpwayungu Village
new gal
Financial Analyst
National Anthem
financial services
Intelligent businessman Arushaone

View attachment 2679047View attachment 2679048Huenda ikawa ni
Citrine. Onesha upande wa pili .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom