Tanzania imejaliwa Madini ya kila aina lakini..

rodgers123

Senior Member
Jul 12, 2015
159
125
Nimejaribu kupitia tovuti hii hapa na kuona Tanzania ina kila aina ya madini.

Na yanachibwa kweli kweli lakini bado wananchi tunahangaika .

Wajameni hii imekaaje?

Kuna mwenye jibu anipatie.

Mfano Chuma, sema ndio mchina kesha beba.

Tanzania Iron Ore Iron reserves in Tanzania are located mainly in Liganga, Uluguru Mountains, Mbabala near Lake Tanganyika, Karema, Manyoro Gondite, and Itewe. The Liganga iron ore mine holds the biggest iron resources in Tanzania with proven reserves of 126 million tonnes.

Tanzania China International Mineral Resources Ltd (TCIMRL) has invested USD 1.8 billion at Liganga for the establishment of an iron ore mine and iron and steel complex to produce 1.0 million tonnes per year of iron and steel products, vanadium pentoxide, and titanium dioxide. The project is expected to be completed by the end of 2020.

Read more at: Minerals Archives and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
 
Shida tuna viongozi wezi kweli kweli, wao wakishirikiana na majizi, ya nje, wanatupiga hatari,
Mkapa aliuza mashirika ya, umma, Kikwete akauza madini na gesi, Maghu akaburunda akaiba mpaka pesa hazina,
Dawa ni moja, ccm hawatatoka kwa uchsguzi na kura, Dawa ni mapinduzi ya jeshi au wananchi waingie barabarani,
West Africa wameisha anza,
Majeshi yamechukua nchi,
Huwa, najiuliza ndani, ya jeshi LA Uganda, hakuna mwenye akili? Mnaendeleaje kuwa na Rais aliyekwisha poteza uwezo wa kuongoza, Hana jipya,kwenye vikao urusi, alikuwa ana sinzia tu!
Kwanini hapinduliwi!
Msuya, Pinda,warioba, Sumaye, lowasa, Kikwete, Mwinyi, bado wanalipwa mishahara! Mpaka watakapokufa,
Why! Mtu kama Mwinyi, mtoto wake ni raisi, mwingine ni mbunge, wanashindwa kweli kumlea mdingi wao?
 
Back
Top Bottom