aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Urusi wajikanganya na kulipua ndege yao ya kisasa aina ya Su-35

    Yaani jamaa wanaishi kiuwoga uwoga..... Russian air defences have shot down one of the country’s most advanced fighter jets in a friendly fire incident, according to reports. The Russian Su-35 was downed over Tokmak, Zaporizhzhia Oblast, on Thursday where Ukraine is mounting its...
  2. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili ubaguzi wa aina hii uondoke? Je, Afrika tunaweza jitegemea?

    Habari JamiiForums, Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa. Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini...
  3. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fridge aina ya Mr UK inauzwa Arusha

    Fridge aina ya Mr UK linauzwa hapa Arusha, bei chee, lina warranty ya miaka miwili Kwa mawasilino zaid 0786 998 436
  4. Salahan

    JamiiForums Tanzania Biashara soksi aina zote China

    Watoto,zakike na zakiume kila size kila mtindo Kazi yangu ni kukuuzia Yuan ama kukulipia kwa supplier wako Natoa hesabu kwa baadhi ya soksi kwa rate yangu ya leo ya yuan 379 men's socks 6.5rmb(dazen) X 379=2463.5Tsh kwa dazen 1 sawa na 206 kila soksi women's socks 6.8rmb(dazen) X...
  5. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Ujue mto Lukuga, mto wenye tabia zote mbaya, mto mwizi, mto jeuri, mto muuaji, mto hatarishi kwa kila aina ya mazingira

    Huu ndio mto LUKUGA, uliochipuka kutokea Ziwa Tanganyika (Nashindwa kupata kichwa cha habari kinachofaa kubeba maelezo haya) Mto Lukuga ni kijito cha 'Mto Lualaba' katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unaochota maji ya Ziwa Tanganyika na kuyamwaga kwenye mto Kongo, kisha Mto Kongo...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya Nyumba inayofaa Kuchukulia Mkopo Bank?

    Habari zenu wakuu, nimerudi tena kuuliza swala ambalo limekuwa likinipa shida sana mwezi huu nadhani akili imewaka mpaka sasa sijui mwisho ila sijakata tamaa. Nilifungua huu uzi hapa chini nikiomba msaada kwa mwenye msaada anisaidie kunipa nyumba yake nichukulie mkopo, Bank nilizoenda zote...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

    Simsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar. Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli. Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme...
  8. komunisti

    JamiiForums Tanzania Hivi shisha ni kilevi cha aina gani na mchanganyo wake ukoje?

    Wakuu mm ni wa mikoani huku hebu nitoeni ushamba kidogoHivi inavutwaje hasa,na inawekwa kwenye kifaa kipi?
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Iringa: Kilo 276 za dawa za kulevya aina heroin na Bangi zakamatwa na watu 12 Washikiliwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya, kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, imefanya operesheni maalum katika mkoa wa Iringa na kufanikiwa kukamata jumla ya kilo 276 za dawa za kulevya aina heroin na bangi na kuwakamata jumla ya watu 12 wakihusishwa na dawa...
  10. The Boss

    JamiiForums Tanzania Aina za watu tunaobishana nao mitandaoni

    Rostam Aziz: mahakama zetu sio huru ni sahihi Kwa Dp world kuweka kipengele cha mahakama ya South Africa. Kwanini mahakama zisimchukulie hatua kali iwe fundisho. Anafikiri ukiwa na pesa unaweza iletea mahakama dharau? Mahakama zisikubali kuchafuliwa zimshughulikie haraka Sana iwe fundisho...
  11. Plastic

    JamiiForums Tanzania Smart phone yako ya kwanza kutumia ilikuwa aina gani?

    Habari mwana JF. Smart phone yako ya kwanza kutumia (kununua, kununuliwa au kupewa) ilikuwa aina gani? Binafsi ya kwanza kununua iliitwa xbo😀 Ilikufa baada ya mwezi mmoja.
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine kupokea ndege 42 za aina ya F-16

    Hapa sasa vita vitakua vinakwenda kwenye kiwango kipya, angani... ========= President Volodymyr Zelenskyy, who is currently on a visit in the Netherlands, has announced that 42 F-16 fighter jets "will be in Ukrainian skies". Source: Zelenskyy on social media, Zelenskyy and Mark Rutte during...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

    Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

    Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo...
  15. Mediaty

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kujua mimi ni mtu aina gani?

    Hello! Matumaini yangu hamjambo kabisa. Naombeni kujua mimi ni mtu aina gani, (Sanguine, Introvert, sigma, alpha n.k) maana nashindwa kujitambua. Ni kijana wa miaka 24, nina sifa zifuatazi ambazo zinanifanya nishindwe kujitambua maana zinanichanganya; Ni muongeaji sana pale ninapokua na watu...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

    Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo; 1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja 2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake 3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa 4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
  17. A teller

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu ndoa ya aina hii

    Wakuu habarini za jioni! Nafikiria kuanza mchakato wa kufunga ndoa na huyu mchumba wangu wa tangu vidudu Hadi Sasa, kutokana na Mambo kadhaa ambayo yapo nje ya uwezo wetu, naomba kufahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya serikali upoje? Nikiwa namaanisha process za kufunga ndoa ya kiserikali upoje...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Fahamu maana ya Defence mechanism na aina zake

    Hellow Africa Nataka tueleweshane kidogo vitu vichache. Defence mechanism means unconciouses starteges to avoid or reduce pain. Hii ni njia moja wapo ambayo watu wengi hutumia kupunguza wasiwasi na uwoga hii defence mechanism inakusaidia wewe kupunguza hasira. Types of defence mechanism...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Ikulu imejengwa juu ya Madini aina tofauti 28. Je, Tuipige mnada au tumpe Mwekezaji?

    Salaam Wakuu, Imegundulika Ikulu ya Tanzania iliyozinduliwa hivi karibuni iyopo Chamwino Jijini Dodoma, imejegwa Juu ya Madini tofauti 28 ikiwemo dhahabu Sio Ikulu ya Chamwino tu, bali Dodoma yote na Wilaya zake zina Madini tofauti. Huko tuendako, Tujiandae Bunge kuhamishwa na kupewa...
  20. Saa 7 mchana

    JamiiForums Tanzania Mwenye kuuza hii aina ya brush au anaefahamu mahali zinapoweza patikana, anifahamishe tafadhali

Back
Top Bottom