Wadau hiyo gari ya hiyo dada ni aina gani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Wakuu hamjamboni nyote?

Naomba kufahamu hiyo gari pichani ni aina gani na inagharimu kiasi gani ukiamua kuinunua kwa fedha za Kitanzania ikiwa mpya kabisa
Naomba pia kujua kiwango cha matumizi ya mafuts pet kilometa

Aksanteni niwatakie usiku mwema

FB_IMG_16899642133493852.jpg
 
Back
Top Bottom