Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

IDDY S MHANDO

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
10,189
13,680
Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo.

Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi kinafanyika hata kikiwa Cha haramu, Huwa nawaza pengine Kuna kiongozi mkubwa Zaidi ya Rais ambaye anamshinikiza Rais kufanya lolote analolitaka Yani huyo KIONGOZI anaogopewa na Rais kuliko kitu chochote😭😭😭😭

Lakini kibaya Zaidi ni kama viongozi wetu wanaamua kuongoza nchi Kwa kumkomoa huyo KIONGOZI wao mwenye mamlaka makubwa juu ya Rais....maana sielewi pengine huyo KIONGOZI ni MAMA wa KAMBO wa Taifa hili Ambae watoto {viongozi} wanaamua kimakusudi kumfadhaisha,

Nasema kuwa tunaongozwa na kiongozi alie juu ya Rais Kwa sababu waliopo madarakani ni kama awamuogopi kabisa Rais na ni kama wanayoyatenda yana baraka za Rais...

Nimebahatika kutembelea mikoa mbali mbali ambayo jitihada za ujenzi wa barabara zilionekana kufanyika na Kwa asilimia kubwa ujenzi umekamilika na barabara nyingi ni mpya kimatumizi lakini kimuonekano zimeisha chakaa hata miaka miwili hazina.​

IMG_20230408_185608_828.jpg

Hivi sasa hakuna kitu hatari kama barabara zetu hizi, unakutana na shimo kubwa katikati ya barabara huku tukiwa tunalipa Kodi. Kila kitu kimepanda bei.

Mimi nashauri tungetaifisha Kila kitu na tukiona haitoshi tuwaite wakoloni waje watutawale tena maana kujitawala sisi wenyewe hatuwezi...

Imagine sisi ni matajiri wakubwa tuna Kila kitu...lakini hatuna tunachofaidika na huo utajiri tulio nao... Tuna mbuga za wanyama, tumezungukwa na Maziwa makubwa makubwa, tumezungukwa na bahari...tuna madini na mengine hayapatikani popote isipokuwa hapa Tanzania. Lakini hapa hapa nyumbani asilimia 45 ya wakazi wake wanashindwa kabisa kupata Milo mitatu Kwa siku... Kwa kifupi asilimia 75 ya Wananchi wa Tanzania Wanaishi chini ya Dola Moja😭😭😭😭🙆🙆🙆

Viongozi mnapo mkomoa kiongozi wenu mkubwa juu ya Rais {mama wa kambo} mkumbuke kuwa tunaopata tabu ni sisi Wananchi wa kawaida ambao asilimia 65 hatuna sehemu za kulala... tunahifadhiwa Kwa ndugu jamaa na marafiki😭😭 tunaelekea Zaidi ya miaka 60 sasa tokea tupate uhuru lakini...

✓Barabara mbovu na Kila siku zinatengenezwa....mpya huku zile za mwanzo zikizidi kuchakaa.

✓hospitali hakuna dawa na Kila siku zinajengwa mpya.

✓wanafunzi wanafeli wengi kiufupi elimu imeharibiwa na kuvurugwa kisiasa Bado tunajenga madarasa na shule mpya. Huku shule za mwanzo zikiwa hazina walimu Wala vifaa vya kufundushia.

✓umeme ni janga kubwa Bado unatusumbua licha ya kukua Kwa sayansi na technology Bado tunategemea umeme wa maji hii ni AIBU kubwa sana.

✓bado ujinga haujaisha watu wanabambikiwa kesi huku mafisadi wanaopaswa kuwa jela wakidunda TU mtaani 😭😭😭

Tuna Zaidi ya miaka 60 sasa tokea tupate uhuru lakini Bado tumeshindwa kupambana na Adui watatu ambao ni 1. UJINGA 2. UMASIKINI NA 3. MARADHI....

Na bado tunao wimbo wetu wa Taifa ambao Kila kiongozi akipanda jukwaani kuomba kura lazima aanze na beti hizi ambazo ni ELIMU, BARABARA, MAJI, NA AFYA.

Kuna sauti inaniambia kuwa TUSIPO BADILI AINA ya UONGOZI miaka 20 mbele Tanzania INAENDA KUFILISIKA kabisa na kuwa OMBA OMBA🙆🙆🙆😭😭😭
{Mimi siamini katika dini maana kama maombi tumefanya sana na mabadiliko hakuna hivyo naona maombi bila vitendo ni sawa na makelele TU...}

Hiki kikundi Cha watu wachache wanaoifaidi ASALI ya nchi yetu Kwa kuilamba hivyo hivyo na kuitawanya tawanya bila mpangilio....siku nchi hii itakapo Baki mapango matupu, pori yatakapo isha na kubaki jangwa...hapo ndipo walamba asali watakapo ikimbia nchi na kuhamia mafichoni....walalahoi tutajifia wenyewe na shida zetu🙆🙆😭😭😭🙆🙆🙆​
 
Sema yote mkuu
Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo.

Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi kinafanyika hata kikiwa Cha haramu, Huwa nawaza pengine Kuna kiongozi mkubwa Zaidi ya Rais ambaye anamshinikiza Rais kufanya lolote analolitaka Yani huyo KIONGOZI anaogopewa na Rais kuliko kitu chochote😭😭😭😭

Lakini kibaya Zaidi ni kama viongozi wetu wanaamua kuongoza nchi Kwa kumkomoa huyo KIONGOZI wao mwenye mamlaka makubwa juu ya Rais....maana sielewi pengine huyo KIONGOZI ni MAMA wa KAMBO wa Taifa hili Ambae watoto {viongozi} wanaamua kimakusudi kumfadhaisha,

Nasema kuwa tunaongozwa na kiongozi alie juu ya Rais Kwa sababu waliopo madarakani ni kama awamuogopi kabisa Rais na ni kama wanayoyatenda yana baraka za Rais...

Nimebahatika kutembelea mikoa mbali mbali ambayo jitihada za ujenzi wa barabara zilionekana kufanyika na Kwa asilimia kubwa ujenzi umekamilika na barabara nyingi ni mpya kimatumizi lakini kimuonekano zimeisha chakaa hata miaka miwili hazina.​

View attachment 2674798
Hivi sasa hakuna kitu hatari kama barabara zetu hizi, unakutana na shimo kubwa katikati ya barabara huku tukiwa tunalipa Kodi. Kila kitu kimepanda bei.

Mimi nashauri tungetaifisha Kila kitu na tukiona haitoshi tuwaite wakoloni waje watutawale tena maana kujitawala sisi wenyewe hatuwezi...

Imagine sisi ni matajiri wakubwa tuna Kila kitu...lakini hatuna tunachofaidika na huo utajiri tulio nao... Tuna mbuga za wanyama, tumezungukwa na Maziwa makubwa makubwa, tumezungukwa na bahari...tuna madini na mengine hayapatikani popote isipokuwa hapa Tanzania. Lakini hapa hapa nyumbani asilimia 45 ya wakazi wake wanashindwa kabisa kupata Milo mitatu Kwa siku... Kwa kifupi asilimia 75 ya Wananchi wa Tanzania Wanaishi chini ya Dola Moja😭😭😭😭🙆🙆🙆

Viongozi mnapo mkomoa kiongozi wenu mkubwa juu ya Rais {mama wa kambo} mkumbuke kuwa tunaopata tabu ni sisi Wananchi wa kawaida ambao asilimia 65 hatuna sehemu za kulala... tunahifadhiwa Kwa ndugu jamaa na marafiki😭😭 tunaelekea Zaidi ya miaka 60 sasa tokea tupate uhuru lakini...

✓Barabara mbovu na Kila siku zinatengenezwa....mpya huku zile za mwanzo zikizidi kuchakaa.

✓hospitali hakuna dawa na Kila siku zinajengwa mpya.

✓wanafunzi wanafeli wengi kiufupi elimu imeharibiwa na kuvurugwa kisiasa Bado tunajenga madarasa na shule mpya. Huku shule za mwanzo zikiwa hazina walimu Wala vifaa vya kufundushia.

✓umeme ni janga kubwa Bado unatusumbua licha ya kukua Kwa sayansi na technology Bado tunategemea umeme wa maji hii ni AIBU kubwa sana.

✓bado ujinga haujaisha watu wanabambikiwa kesi huku mafisadi wanaopaswa kuwa jela wakidunda TU mtaani 😭😭😭

Tuna Zaidi ya miaka 60 sasa tokea tupate uhuru lakini Bado tumeshindwa kupambana na Adui watatu ambao ni 1. UJINGA 2. UMASIKINI NA 3. MARADHI....

Na bado tunao wimbo wetu wa Taifa ambao Kila kiongozi akipanda jukwaani kuomba kura lazima aanze na beti hizi ambazo ni ELIMU, BARABARA, MAJI, NA AFYA.

Kuna sauti inaniambia kuwa TUSIPO BADILI AINA ya UONGOZI miaka 20 mbele Tanzania INAENDA KUFILISIKA kabisa na kuwa OMBA OMBA🙆🙆🙆😭😭😭
{Mimi siamini katika dini maana kama maombi tumefanya sana na mabadiliko hakuna hivyo naona maombi bila vitendo ni sawa na makelele TU...}​
 
Hatuna SEKTA Wala Wizara hata Moja ya KUJIVUNIA Kila kitu HOVYO HOVYO.

1. Nilitamani Mfumo wa ELIMU ubadiroshwe kabisa .

2.Wachungaji na mashehe wafundishwe WATOTO waajiliwe na SELIKALI KUFUNDISHA upendo, UTU dhambi nk

Nilitamani wanafunzi wafundishwe MAADILI , kwa UKALI WA HALI YA JUU.

MAADILI UZALENDO NA MUDA YAWE NI MASOMO KUANZIA DALASA LA TATU.
 
Bajeti kusahau..
Ustawi wa Jamii na sekta zake

Elimu kwa mapana na uduchu wa hela wikishupalia magari yao na maposho yao, wakijifanya hawaoni watoto wa shule za kata wakihangaika kupata vitabu vya shule, chakula na USAFIRI.

Uwekezaji kwenye Afya ya raia
 
Ukiacha kwamba ni chuki zinakusumbua ila it won't happen kamwe..

Strategies put and being implemented are very right
 
Hatuna SEKTA Wala Wizara hata Moja ya KUJIVUNIA Kila kitu HOVYO HOVYO.

1. Nilitamani Mfumo wa ELIMU ubadiroshwe kabisa .

2.Wachungaji na mashehe wafundishwe WATOTO waajiliwe na SELIKALI KUFUNDISHA upendo, UTU dhambi nk

Nilitamani wanafunzi wafundishwe MAADILI , kwa UKALI WA HALI YA JUU.

MAADILI UZALENDO NA MUDA YAWE NI MASOMO KUANZIA DALASA LA TATU.
Hiyo ndio Tanzania kilicho Baki waibinafsishe TU nchi yote...hii nchi imetushinda Kila mtu anajiamulia lake...Kila kukicha jambo jipya linazaliwa lazamami linaachwa😭😭😭
 
Alisema mtanikumbuka
Na tunamkumbuka kweli...! Japo ni kama KIFO chake kilipangwa maana hizi barabara zote alizo Jenga kwenye utawala wake zipo kwenye hali mbaya sana...Yani ni mpya lakini zinahitaji matekebisho...Jana nimepita kwenye Yale Madaraja ya frying over nikajiwazia TU na yenyewe yasije kuwa yamejengwa chini ya kiwangu...likatupata la kutupata
 
Hatuna SEKTA Wala Wizara hata Moja ya KUJIVUNIA Kila kitu HOVYO HOVYO.

1. Nilitamani Mfumo wa ELIMU ubadiroshwe kabisa .

2.Wachungaji na mashehe wafundishwe WATOTO waajiliwe na SELIKALI KUFUNDISHA upendo, UTU dhambi nk

Nilitamani wanafunzi wafundishwe MAADILI , kwa UKALI WA HALI YA JUU.

MAADILI UZALENDO NA MUDA YAWE NI MASOMO KUANZIA DALASA LA TATU.
Ukiacha kwamba unasumbuliwa na chuki ila ujinga umezidi maarifa Yako..

Rais sio tuu kafaulu Bali kafaulu karibu sekta zote ikiwamo hata Hilo la Mitaala,next January tuanzaana na Mitaala mipya ya Elimu.
 
Rais aliyepo
Soma vizuri ulielewe bandiko langu Mimi Sina niliposema namchukia Rais na Wala Sina sababu za kumchukia, ila nauchukia mfumo wa UONGOZI wa nchi yetu...ambao haumuwajibishi Moja Kwa moja kiongozi anafanya utumbo kwenye UONGOZI wake...hivi wewe unaona ni hali ya kawaida Kila siku wimbo ni ule ule MAJI, UMEME, BARABARA, AFYA NA ELIMU...tokea tupate uhuru tumeshindwa kabisa kubadilisha beti za huo wimbo...!
 
Back
Top Bottom